Mojawapo ya videos ambazo sisi wahariri wa BongoCelebrity tumezikubali ni hii ya Mandojo na Domokaya katika wimbo uitwao Dingi. Je hiki ni kisa cha kweli? Mahojiano rasmi yatakujieni hivi karibuni.

You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

Feedback / Comments

6 Responses to “KISA CHA KWELI?”

  1. Comment by Karim Mussa on May 25th, 2007 11:26 am

    Great music,great story,great site.Keep em coming

  2. Comment by dada on June 28th, 2007 8:36 pm

    hawa watoto wazuri sana. wana talent ya ajabu. Nyimbo yao hii ni nzuri sana, na in maneno na mazuri na yanawagusa wengi. I can’t wait for their interview.

  3. Comment by mgendi on July 10th, 2007 8:29 am

    vijana wako makini, its real, this hapens into our daily lives.
    thanx 4 the site…. keep on moving guys

  4. Comment by Dorice Protas on August 1st, 2007 1:38 am

    dah: yaani hawa washikaji wanatisha si mchezo, huu wimbo wao una message nzuri sana, kwa kweli umetulia. waendelee hivyo hivyo wasibweteke na mafanikio yao.

  5. Comment by Dorice Protas on August 1st, 2007 1:40 am

    yaani hawa washikaji wanatisha si mchezo, huu wimbo wao una msg nzuri sana, waendelee hivyo hivyo wasibweteke na mafanikio yao. big up wazee.

  6. Comment by amina on February 29th, 2008 5:37 am

    bravo

Leave a Reply