June, 2007

WATU WAZIACHIE HISIA ZAO-MICHUZI JR

  Hatutoshangaa hata kidogo ukituambia kwamba siku hizi unapowaongelea kina Michuzi ni vyema ukafafanua zaidi unamuongelea yupi. Kuna Ahmad na kuna Muhidin. Leo… 18

KWAHERI AMINA CHIFUPA!

Hizi hapa chini ni baadhi ya picha kutoka kwenye msiba wa Amina Chifupa ambaye kama alifariki dunia jana usiku. Kwa sababu alizaliwa tarehe… 19

AMINA CHIFUPA HATUNAYE TENA!

                      Hivi punde BongoCelebrity imepokea habari za kusikitisha sana kwamba aliyekuwa mbunge wa vijana, Amina Chifupa (pichani) amefariki dunia muda mfupi tu uliopita…. 65

K-LYINN: UREMBO SIO SURA NA MAUMBILE TU

Jina lake halisi ni Jacqueline Ntuyabaliwe, nyota yake ni Sagittarius (Mshale). Wengi bado tunamkumbuka kama mrembo aliyetwaa taji la Miss Tanzania mwaka 2000… 92

KWA KINA NA MASOUD KIPANYA(KP)

  Ukiiona katuni yake gazetini, huhitaji kutambulishwa au kusaka sana jina la mchoraji hata pale anapokuwa hajaweka sahihi yake. Taswira yenyewe ya katuni… 71

DAR-ES-SALAAM!

  Kama wewe ni mpenzi wa muziki wenye midundo ya reggae au michanganyiko ya reggae na aina zingine za muziki kama zouk,african jazz… 4

BONGO FLAVA NI CULTURE,HUWEZI KUIPOTEZA-AY

  Ahadi ni deni. Kama BongoCelebrity ilivyoahidi hivi karibuni, majuzi tumefanya mahojiano na mwanamuziki mahiri wa muziki wa kizazi kipya AY au Mzee… 44

UKIAMBIWA MICHUZI NI MVIVU UTAKUBALI?

Ukimuita Issa atakuitikia,ukimuita Muhidini hatoshangaa, ukimuita Michuzi atakuitikia kisha mtaketi chini na kuzungumza mengi. Hivyo ndivyo ilivyo kuwa hivi karibuni BongoCelebrity ilipopata nafasi… 57

JIVUNIE UAFRIKA,SAHAU “MKOROGO”-FLAVIANA

Flaviana Matata, mrembo wetu wa Kitanzania ambaye hivi majuzi tu amefikisha umri wa miaka 20, ndiye kwa mapana na marefu, katika siku za… 57

Copyright © Bongo Celebrity