Comments on: UKIAMBIWA MICHUZI NI MVIVU UTAKUBALI?

By: kamana mlenda
Huyu Bro namfahamu tangu enzi za YMCA Disco, pia nimeishi nae kwa muda mrefu pale Magomeni mtaa wa Dosi kweli ni Kioo cha kuigwa katika Jamii-Mchapa kazi, Hapendi kujikuza pamoja na umaarufu wake hapa mjini,mbunifu, mshiriki wa mambo mbalimbali ya kijamii (Hana maringo) kwa ujumla ameshehena kwa mambo mazuri-BIG UP BRO na endelea kufuata Ndoto zako

By: Evarist Nyomolelo
kaka michuzi big up sana…. wewe ni kichwa na kaza buti…sisi ambao tupo kwenye fani hii ya Tecnologia ya Habari inabidi tukutane na tupeane ushauri… make Contact with me I have a lot to advice you in this field….

By: Abraham Charles@IFM
hi! kaka michuzi nimependa kazi yako mimi .lakini nlikuwa nataka kuonana na wewe iinipate elimu juu ya blog yako kwani mimi nimwanafunzi wa hapo chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).je nakupataje

By: savegod
Kaka Michuzi kazi yako tunaikubali hasa kwa viongozi wa kitaifa umeonyesha kazi mbalimbali wanazozifanya pia wanamichezo na wasanii mbalimbali. umewahabarisha watu wengi kupitia kazi yako ya media.WATANZANIA TUNAHITAJI VIJANA WACHAPAKAZI KAMA WEWE.Hongera kwa kaziunayoifanya ni nzuri na inavutia.

By: muharram mchume
Naona Michuzi amesahau pia kuwa alikuwa mpiga picha mchuu wa mchezo wa volleyball pale YMCA na kuufanya mchezo huo kuwa nambari two baada ya football wakati ule kwani watu wa Green Buffaloes na Indeni wa Zambia wanamkumbuka. Bila kusahau bidii zake kuendeleza mchezo huo kwa publicity.

TUNAHITAJI WATU WA AINA YA MICHUZI NOTHING IS IMPOSSIBLE THE SKY IS THE LIMIT

By: mapendo
Nakupongeza kwa utafiti wako

By: Kabaka
AACHE KUBANIA WATU MAONI YAO KUWALINDA WANAOONYESHA SURA KWENYE BLOGU YAKE!

ANAJISHUSHIA HESHIMA.

By: esther
nakupa hongera kwa uzalendo wako kaka yaani umeni impress kweli kama kweli unajali kazi na wala sio kipato.tupe contact yako tukutafute kwenye harusi zetu.

Ubarikiwe

By: Josephine
Muhidin

Nimfurahia sana mahojiano kwani yametoa picha kadhaa ikiwa pamioja na:Bidii inalipa, nimejifunza mengi toka kwako, humbleness inalipa wengi huwa hatujui, uungwana unalipa pamoja na kuchukua muda mrefu, mkweli hasa ulivyoelezea wakati unampiga baba wa Taifa na experience hiyo wengi wamewahi ipata, You are a hard working person, I do appreciate that!ma mengine mengi!keep it up!

By: Baptist mgalama
Nakupongeza sana Mheshimiwa kwa kazi nzuri unlizofanya na unazoendelea kufanya.  Kama utakumbuka ni kuwa kuna siku nilikuomba kuwa Lile darasa la Kupiga picha ulilokuwa unaliendesha -Daily News on Saturday , nilikuomba lisiishie pale bali uandike kitabu.  Kitabu kitasaidia sana hasa hawa vijana wa sasa kwa kuwa wewe umeanzia Dark room mpaka sasa tuko kwenye Digital.Kama umekwishakitoa ni vizuri mimi kama mwanafunzi wako nitafurahi sana.