Comments on: RUMMY NANJI

By: LIKOKO ZE MASSIVE
ebwana huyu mtu mzima yuko shikopa ile mbaya na anajina kubwa ile usipime  its time wa kumpa shavu huyu man bcoz yuko frengwa kila idara.

By: Mama Malaika
Hongera yake…. hapa UK anasikika na muziki wake wazungu wanaupenda sana.

By: Mwaju
anayesema kwa kuwa ulaya na india hawajawahi kuwapa weusi umiss basi nasi tusiwape umiss wasio waafrika ni mbaguzi usilipe baya kwa baya lipa baya kwa jema,India waafrika watoke wapi mbona mara nyingi tumeona marekani na ulaya kuna mamiss waafrika wanawakilisha nchi zao miss world,kama kupinga akapinge bungeni kwanza,weupe weusi wote ni watanzania,watanzania hatutataki ubaguzi,hoyce temu kama alitoa mtamshi ya kumbagua miss tz 07 anafaa apewe adhabu ya kunyang’anywa passport au nyingine sheria inayoruhusu,dunia nzima itasoma kwamba watz WABAGUZI KITU AMBACHO TUMEPINGA MIAKA YUOE HATUTAKI UKABURU

By: Mkoba
Huyo Rummy anatengeneza mziki wa kizungu kuwauzia wazungu, kama yeye ni mkazi wa ughaibuni, leo nyie mnampigia kelele ooh sio mbongo ni muhindi, hapigi mziki wa kitanzania,sasa mnataka atengeneze bongo flava atamuuzia nani huko uzunguni?,hiyo cd yake aliotengeneza sio kwa ajili ya soko la afrika au kwa waafrika, ni kwa wazungu wenye hela ya kununua cd ughaibuni na sio kwenu mnaojifanya wazalendo sana na kuishia kuburn mziki kila siku. kama uhindi au uarabu na kazaliwa kariakoo sidhani kama anajijutia kuwa na asili hiyo, na wala sidhani kuwa anaukana utanzania wake, nina uhakika kuwa anajithamini kwa jinsi alivyo. Nyie mnaosema kuwa ooh wahindi wa kariakoo wanatudharau sie walala hoi, wee kama huishi pale kariakoo au hujulikani mitaa ile ofcourse hata huyo mlala hoi wa mitaa ile atakuchunia pia.

They say: “DONT JUDGE THE BOOK BY LOOKIN´AT ITS COVER”

Get to know the person before you talk rubbish about him, labda utakuta uzalendo zaidi ndani kuliko wewe unaejifanya mzalendo sana. Watanzania wengi tu waliokwenda kutafuta maisha bora ughaibuni hawana nafasi ya kufanya kile wanachotaka, kama huyo RUMMY hana ubavu au chance ya kuimba sindimba au taarabu anatengeneza kisumni chake kwa kuimba rock n roll wee kauka tu usikonde, ni vibaya kama akijitangaza kuwa yeye sio mtanzania yungali ni mtanzania. Chungeni haya maoni yenu mnayotoa humu yasilingine na ya wakenya. Kumbukeni Tanzania hatuna ukabila.

By: deo cashmoney
ubaguzi upo..kama sio mtanzania wa kwali astahili kuwa miss tanzania.ulaya au india nani ampe mweusi umiss????bongo amkeni sio ubaguzi Imeshaandikwa…black with black….

By: mpenda mziki wa bongo
Simon kitururu,inabidi ukubai kuwa umeshindwa,na katika swala unalojaribu kulizungumuzia juu ya utashi wa kuelewa,labda tatizo hili lipo!ni hivi mheshimiwa.

(a)sisi walalahoi wa jua kali bongo hatuujui ubaguzi na

wala huyo mwananchi mwenzetu hatumvui utaifa wake,bali wenzetu hao walio na asili ya ki asia huwa wanajibagua na kutubagua,sasa mbegu hizi zilipondwa na wenzetu zimekuwa sumu katika jamii yetu

(b)mziki hapigao ni chaguo lake kwetu sio shida hili mradi anapata mkate wake huko aliko

(c)bongo celebrity!mziki kitu gani?!mziki unaweza kulitambulisha na kulitangaza taifa kwa maana hii mziki ni kioo na ni nembo kwa jamii

(d)Kitururu wapo watanzania wengi wanaohitangaza bongo huko ughaibuni kama vile watangazaji wa radio mbali mbali,wanamziki na beuty queen warembo lakini!tusingependa tuburuzwe kuwakubali hata kama wanafanya utumbo.

Kauli zenu umlio ughaibuni mziangalie kabla ya kutoa maoni

By: gabriel
simon kitururu ,baba nimekubali umeshinda nakubali kushindwa . ama kweli hapa iko kazi .

big up mlimani,msondo na che mundugwao nk

down ,down with pikaso wa plastiki

By: Simon Kitururu
Hivi Mziki ni nini?

Duh!

@Gabriel+Mpenda Mziki wa Bongo.

Nimeelewa msemalo.Naheshimu Msemalo.

Topiki kubwa hii!Ni rahisi kutoeleweka.AU?

Haburuzwi Mtu lakini.

Nachojaribu kusema kwa sentensi fupi ni kuwa, Kama uzuri ulipo jichoni mwa mtu. Sikio vilevile liko kichwani kwa mtu, kuelewa pia kuko ubongoni mwa mtu. Kila mtu anachake.

Katika mfano wangu ambao haukueleweka, labda niseme kuwa Usimkane mtu ubongo kwa sababu tu ya ukurasa mmoja ambao hauwezi kumuelezea mtu kisawasawa, muonekano mmoja, Mziki fulani apigao…nk

Duh!

By: mpenda mziki wa bongo
Napenda kukujibu bwana Simon Kitururu,mtu kama wewe uapojaribu kutoa maoni jaribu kuhangalia sana vinginevyo utajikuta unajiharibia jina na heshima yako.

Kwanza sisi wengi tulio nyumbani,tusependa kuburuzwa au kulazimishwa kufagilia kitu kama mziki usio katika mtazamo wa kitanzania haswa kwa kipindi hiki cha mageuzi ya utamaduni,pia lazima uje kuwa siku hizi sisi watanzania tunajua kusema HAPANA na tuna maana hiyo HAPANA.

(3) Swala la bendi ulizozitaja kuwa mziki wao hauna maadili ya kitanzania kama wasanii wa bongo flava nk.

ndio lakii wasanii hawa wanaujumbe kwa walio wengi hapa nyumbani na tunawakubali kwa mchango wao na ni wenzetu sasa usitulazimishe kumkubali mtu ambae hatuhuoni mchango wake katika utamaduni na mziki wa kitanzania.

(4)Kuhusu bendi ulizozitaja kuwa zinahishia na majina JAZZ,na bendi kama vile twanga pepeta,sikinde hata hiwe msondo,utake usitake bendi hizi zilizo hapa nyumbani ndizo zinatubuludisha walalahoi,sina maana kuwa tuna zibagua bendi za watanzania mlio nje lakini

tutasikilza aina gani ya mchango na mziki wao katika kuhitangaza Tanzania,msiwe kukaa kwenu ughaibuni kukawa ndio kigezo cha kutulazimisha tukubali hoja au kila mnachokisema!BONGO CELEBRIY KWA WABONGO WANAOHIFANYIA KITU BONGO SIO KWA KILA MTU ,na kuhusu

Ubaguzi hapa watanzania halisi hatuhujui ubaguzi hila wenzetu wenye asili ya kihindi na hata walichanganya damu kidogo huwa wanapenda kujimega pande na kuta wao kuwa superiol kwa sisi wananchi tulio wengi

mfano wakati wasanii wetu wanahimarisha BONGO FLAVA wenzetu hawakupenda mafanikio ya watoto wa walalahoi bada yake waliamua kuanzisha BONGOBANGLA hili mradi kuwepo uhindi fulani.jaribu kutia hakili

By: gabriel
simon kitururu karibu sana bwana .kwanza napenda nianze kwa kumpongeza huyo bwana rammy mimi kile kitendo tuu cha kujaribu (irrespectively) kwamba ni aina gani ya muziki anapiga ni hatua kubwa kwa sababu mimi siwezi hata piga marimba tuu achia mbali gitaa.hongera zake

lakini tunapaozungumzia mziki wa kitanzania sina maana ni ngoma za utamaduni (traditional dances ) au wengine huziita forlk music nk hivyo ulivyotaja hapo juu vinahusiana (nahisi)na muziki wa kiutamaduni

mimi nazungumzia mziki wa kisasa  wa kitanzania (ORIGINAL) amabao mtu akiusikia anajua bila kuuliza tu kwamaba ah! huo ni mziki wa bongo mathalani, mziki wa bendi za akina vijana jazz wakati wa maneti,msondo ,mlimani, bima lee,washirika, miduara nk yoote hii inatumia vyombo vya kisasa lakini ni wa kwetu na siyo wa kikongo .kiwest afrika,siyo kwaito ,siyo hip hop  ni mziki originaly wa kwetu

vionjo vyake ni vyetu .

bongo flava kweli kwa mirindimo tuu ni mziki wa kufurahisha  siwakatishi tamaa wasanii  wake wamefanya kazi  lakaini nataka kuelezea maoni yanagu binafsi

mimi sikubaliani na wanaosema bongo flava ni mziki wa tanzania ni mziki fake siyo original kwa sababu  ikisikiliza utasikia baadhi yao wanapiga hip hop kama ya wamarekani japo kuwa hawaifikii ile original ya wamarekani ,wengine wanapiga kwaito ilhali hawaifikii ile kwaito original ya south africa ,wengine wanapiga ragga ana reggae lakini ukisikiliza utaona ni ubabaishaji wanajaribu kuwafikia wenyewe  ambao dance hall,ragga na reggae ni mziki wao kiasili. mziki wanapiga staili ya zouk lakini wanakwambia hiyo ndio bongo flava mziki wa tanzania ,wanapiga charanga,calypso wanakuambia huo ni mziki wa tanzania  au r&b ya kimarekani wanaimba kiswahili na kusema eti ni mziki wa tanzania , mbaya zaidi  hata bendi zetu sasa zinaanza na zingine zilishaanza zamani kupiga mziki wa kikongo mfano twanga pepeta ,mchinga sound,hata msondo sasa wameanza nao (inasikitisha )hizi bendi wanajitahidi kweli kuiga staili ya wakongo ya mziki

haya kwenye mziki wa dini siku hizi napo ndio kabisa wanajaribu kuiga wa-south frika au mambo ya ndombolo  the question is WHRE IS OUR OWN  KIND OF MUSIC ?

hata kama ni urban music mimi nasema bado tunapaswa tufanye kile kilicho chetu originally  kwani nchi nyingi tu wana urban popular music lakini ukisikiliza unajua kabisa kwamba huu ni wa nchi fulani mfano wa karibu ni wa kwaito ya afrika ya kusini  ule ni urban ,au popular music lakini ina identity yao kamilifu wala ubishi

similarly

mziki wa kongo wala hau-ulizi mara mara mbili unajua tu huo ni wa congo au ukisikia techno soukous wala huulizi unajua kabisa huo ni wa congo kinshasa na congo libreville

kwa maoni yangu nafikiri wenzetu wamefanikiwa sana kimataifa katika maana halisi ya kimataifa kwa sababu distributors  wa labels kubwa au wasambazaji ,promotors wa  kimataifa au promotors wa festivals za kimataifa wanavutiwa na aina ya mziki wanayopiga kuwa ni original sikiliza muziki ya akina:

oliver mtukudzi ,bueno vista sociale club,awilo ,mafikizolo,angelique kidjo,hugh masekela ,50 cent,tupac,beyance,anu malik(hindi)ali fateh khan, ismail lo,afrikando,bob marley,third world,lucciano,

wenge bcbg,extra musica , nickel buck,keny rogers,andrea boccheli,guns and roses nk haya ni baadhi tuu ya majina ya wanamuziki wachache  ambao ukisikiza miziki yao utajua huo mziki ni wa nchi gani au asili yake ni wapi au ni aina gani ya mziki utaitambua tuu kwa urahisi

pia ninaamini kwamba kama hao promotors wa kimataifa wakitaka aina fulani ya mziki wataenda kutafuta na kumpromoti yule anayepiga huo muziki kiasili na siyo mtanzania anayejaribu kuiga huo muziki ndani ya jina la bongo flava. mfano kama wanahitaji kwaito wataenda kimantiki afrika ya kusini na wala si tanzania  au kama ni sebene na ndombolo iwe ya yesu au ya kidunia watampromoti yule aliye original na bora ambaye ni wakongo wenyewe lakini si twanga pepeta  au k-Lynn

haya ndio maoani yangu kuhusiana na suala la mziki wa kitanzania  lakini  nasupport mziki wetu na wasanii wetu wanaofanya juhudi za wazi kuweka mziki wa kitanzania  (original)ktk ramani

sijawahi mimi kusikia ati mtu anaendelea kwa kutegemea kukopi kazi ya snaa ya mtu mwingine kama yupo basi mnieleimishe

pia tuache misifa ,tusijigambe kwa sababu ya mziki wa kukopi wa kuiga tujigambe kwa  kilicho chetu tuwasupport wanmuziki wetu hapa nyumbani hasa wale wanaohangaika usiku na mchana kupiaga na kuendeleza mziki wenye identity ya kitanzania

tukubaliane kutokukubaliana nakaribisha mawazo tofauti

akhsante