Comments on: UNAMKUMBUKA LAWRENCE MWALUSAKO?

By: iddy wa namanga border
hi,mwalusako pole na majukumu vipi yanga imekunda?

By: Bonifasi
Nilikuwa mshabiki mkubwa wa Pan Afrika enzi hizo za L Mwalusako.Pan Afrika ilikuwa ikitumia uwanja wa Sheik Amri Abed arusha kama uwanja wake wa nyumbani.Wachezaji wote aliowataja L Mwalusako nilikuwa nawajua kwa sura kwasababu wakati huo nilikuwa bado nasoma mjini Arusha.Bwana L Mwalusako umenikumbusha mbali sana.

By: noel
LICHA YA JUJU MACHUNGU YANGU NA KAMA SIYO MBAYA NAOMBA NINGEJULISHWA ITIKADI[UNAZI]WA VIONGOZI KUANZIA WAZIRI WA MICHEZO NA NAIBU WAKE,RAIS TFF,NA MSAIDIZI WAKE,KATIBU MKUU TFF,MSEMAJI TFF[KAIJAGE]NA HUYU ALIECHAGULIWA JUZI JUZI NK JE UNAZI WAO UMELALIA WAPI[KAMA NI WA UPANDE MMOJA NAOMBA RAIS AANGALIE UPYA SWALA HILI ILI KUBALANCE MAMBO VINGINEVYO ITAKUWA RAHISI HISIA ZETU KUTOKUBALI MAAMUZI MENGINE HATA KAMA YANA MANTIKI

By: samuel
Mwalusako umenigusa mno.Mimi ni kati ya watu wanoamini kua kwa hali ilivyo sasa,wakina Mwalusako,Makumbi Juma,zamoyoni Mogella,na wengine wengeweza kucheza soka la kulipwa ulaya na kwingineko,na kwakua watu hawa bado wapo,ni kwanini tusiwatumie katika kamati za ufundi ktk timu zetu na kuachana na juju kama ndio kazi ya kamati ya ufundi kwa timu zetu?Watanzania tunakosea na kwa mwendo wa wazee wa timu na juju,hatutafika hata kidogo!!!!!!!!!!!!!!!!!

By: wazir juma
Ndugu ahkasante umenikumbusha mbali,

nimesoma na moshi majungu shule moja

jamuhuri kiwelu darasa moja lakini kuna

vijana wa kitanzania walio kua wanacheza mapira sana lakini hawakua na bahati ya kuendelezwa na kusaidiwa na taifa, na wakati

huo mpaka ujulikane na ndipo upewen nafasi

ya kuchezea timu kubwa,

pia nimecheza na mpira na gebo peter,smmy mwijande wa cda dodoma, kassm matitu shule ya msingi muhimbili.

Ndio maana tanzania kitaifa hajafika mahari

popote au haina wachezaji wa kulipwa kwa sababu ya Tabia ya kupendelia waso jua kucheza na viogozi wasio kua na qualities of

leaning.

Nchi imeanza kua na mwelekeo mpya kwa sababu

siasa za nchi zimeanza kua za ushindani kwa

kila sehemu mchezo wa mpira umeanza kua biashara ,ili ucheze vizuri ulipya pesa nyingi ujulikane na maisha yako yawe mazuri.

wako wapi wachezaji wa zamani nilio kua mdogo

nikienda kuwaona wakati ule,mehi yangu niliyo ipenda ni kati ta yanga na simba wakati

emanueli makaidi wa simba alipo ingia uwanjani na njiwa akiwa amefunga kitambaa chekundu kichwani, mpira hakumalizika wakati kitwana alipo mumiza goti marehemu willy mwaijibe, wachezaji hatari walikua kitete, kibadeni,baki chogo muluya,kajore, na baraza

omari kapera,khalid abedi na haidari abedi

wakati huo tenga na jella mutagwa bado wanafunzi.

By: abdallah a. mabina
Nakumbuka siku nyingi nikiwa mdogo darasa 4. nashikwa mkono kweda uwanja wa taifa kuangalia mechi, nanilikua napenda kukaa nyuma ya goli na marafiki zangu augustino francis, A,milanzi, Ambaye baba yake sasa ndio raisi wa timu

ya mzizima inayoshiliki ligi ya TFF ngazi ya mkoa, nami nikiwa katibu wa young boys inayoshiliki ligi hiyo pia… pia historia inanikumbusha marehemu baba yangu mdogo Elias robart, aliyechezea kagera,simba, mavumbi omary, godfrey mwiga nawengine wengi.. nawaasa chipukizi wasasa mpira ni..nidham,kujituma,kujifunza,uvumilivu,chakula,mazoezi,mapumziko.

By: John Mlay
Namkumbuka vizuri Lawrence zamani za Pugu high school(Mwakanga), ukiwa nae na Madundo(now Prof. Madundo) kikosi kimekamilika.

By: DIDA MOSHI
Mi ni mtoto wa Moshi Majungu,  in my 20s, Naishi Lewisham, South London.  Nimefurahi sana kupata kumbukumbu za back in the days, za baba yangu, ktk picha hii nae alikuwa in his 20s, ama kweli siku zinakwenda!! naona alikuwa chekibob,kama kina “BECKS”. Baba alikuwa  mchezaji mzuri saaana!!! { i think some people will agree with me on that one}  Thank you so much for the photo, umenikumbusha  saana na lots of memories. GOD BLESS YOU ON EVERYTHING and keep on representing OUR BEATIFUL  country TANZANIA.

By: Ed (USA)
Mimi kipindi ambacho Mwalusako unawika nilikuwa mwanafunzi primary na secondary nikishabikia simba. Nilikuwa nakushabikia Mwalusako ulipokuwa akichezea taifa stars. Ni kweli wakati ule simba na yanga ilikuwa moto sana. Ninajiuliza mara nyingi, iwapo kiwango cha mpira wakati huo kilikuwa juu, mbona hatukufanikiwa kufika mbali kimataifa?

Hakuna wakati ulikuwa unanikosesha raha kama timu zetu wakati ule zinapofikia kupangiwa na timu za misri. Nafikiri hata wachezaji walikuwa wanaathirika kisaikolojia. Tunaweza kujitahidi tukicheza nyumbani lakini kwao ilikuwa balaa.

Kitu kingine ningependa kujua wakati ule akina mwalusako mnacheza je, waamuzi walikuwa wanasimamia vipi mpira wa mabavu? Mazingira yalikuwa yananizuia kwenda mpirani kushuhudia, lakini nilikuwa msikilizaji mzuri wa redio Tanzania na kusoma magazeti. Nakumbuka yanga walikuwa wanampa kazi ya ziada Athuman Chama kumzuia Zamoyoni Mogela. Sijui kama uchezaji ule bwana Mwalusako una nafasi katika soka la leo?

Nakupongeza sana Mwalusako jinsi ulivyokuwa hodari uwanjani bila kuaffect maendeleo yako shuleni.

By: mungi
mimi ni mpenzi wa yanga damu kabisa mtu kama mwalusako nadhani alikuwa ni pekee yanga ambaye ni mwanafunzi chuo kikuu.

Lakini mtu ambaye amenivutia sana miaka ya 80 ni abubakar salum sure boy na nilikuwa nimepangawa zaidi siku ya mechi na elmeric ya sudan kwani alisawazisha bao dakika ya 91

nawatakia kila la kheri wachezaji wetu