
Kila siku ya Alhamisi ifikapo saa moja jioni, watanzania wengi hujikita mbele ya luninga zao tayari kuangalia Ze Comedy. Wewe ni mmojawapo?
BongoCelebrity iko mbioni kuwaleteeni mahojiano rasmi na vijana wanaounda kundi hili. Pamoja na maswali kutoka kwetu,tungependa pia Ze Comedy wajibu maswali kutoka kwenu wasomaji na watembeleaji wa tovuti/blog hii. Je una swali ambalo ungependa kuwauliza Ze Comedy? Tuandikie swali/maswali yako kupitia anuani pepe yetu; bongocelebrity at gmail.com
Picha kwa hisani ya Yahya Charahani.
Feedback / Comments
49 Responses to “ZE COMEDY”
Leave a Reply


sending...
Yes wawa waaaaaaaaaaaaa!!!!!
Nawafagilia kinyama wazee kwa kuweka mambo hazaran,Mnaonaje kama nikijiunga nanyi????Ahh achen kunibania.
BIG UP SANA MAZEE!!!!
Nawapenda sana ze comedy haswa masanja na Ammy J. naomba kujua historia zao na nini wanachokifanya kwa sasa wameoa na wana watoto wagapi?wana wazazi wanaishi wapi kwa sasa kwa kweli nawapenda sana mwanawane
Mko juu sana ! Ila uigizaji mlioanza juzi kati siyo wenyewe kabisa…. kwa mfano wa kummaliza jamaa yetu mmoja kuwa yeye ni “kwisha”- yaani toka Celebrety hadi kuuza matikiti maji kwa baiskeli ! Mi nimemuona karibuni tu, hali yake ni mbaya, lakini siyo kiasi hicho….
Amijee, mbona umeacha kubonyeza KIZENJI ???
mko full kinoma nawapa big up, ila naomba siku moja mrudie kibao cha znz star NAIAMINI pale mlifunika kinoma hakuna hata shoo moja iliyokamata pale… ..
mko full kinoma nawapa big up, ila naomba siku moja mrudie kibao cha znz star NAJIAMINI pale mlifunika kinoma hakuna hata shoo moja iliyokamata pale… ..
hivi mkiekt kama mademu hamsumbuliwi na viburudisho vyenu?
USHAURI WA BURE KWA AMMY J, ndugu yangu jitahidi sana hiyo misemo yako isifanane na aya za quran usije ukauwasha moto bure si unawajua WAISLAM?
simpendi jamaa aneye legeza domo,toeni huyo
keep it up namjaribu kuisogeleajamii kwa ufasaha
sio siri the comedy nawagilia kinoma ila tu huyo anaigiza kama wahaya kwa upande wangu naona hawapatiii coz kaweka maringo kupitiliza ombi either aaache kuwaiga au atafutwe mwingine anayeza kuwaiga wa kabila hilo….
ombi langu mtoe basi CD ili iwe rahisi kuona ambavyo tunakua tume miss….mfanye kama vile Mr bean anavyotoa CD zake…
KEEP IT UP GUYS…..
MASAHIHISHO
sio siri the comedy nawafagilia kinoma ila tu huyo anaeigiza kama wahaya kwa upande wangu naona hawapatiii coz kaweka maringo kupitiliza,ombi either aaache kuwaiga au atafutwe mwingine anayeweza kuwaiga kabila hilo….
ombi langu mtoe basi CD ili iwe rahisi kuona ambavyo tunakua tume miss….mfanye kama vile Mr bean anavyotoa CD zake…
KEEP IT UP GUYS…..
Baadhi ya maigizo yenu mmekuwa mki walaani wasanii waliofanikiwa na kisha kuponda mali na kuwa hoi kifedha.Je mnatumia mifano yao ki vipi ili msipitie njia hiyohiyo?
Hawa jamaa wanastahili pongezi, kwakweli kazi yenu nzuri sana vijana,songeni mbele tuu bila woga! All da best guyz.
AMMY J nilikwambia cku nyingi khs hiyo misemo yako lkn hukutaka kunickia haya sasa USHALIKOROGA ULINYWE HILO………….
masanja big up sana wewe ni bingwa mzee…. huwa nikikuona najiskia furaha sana,hasa ukiigiza muondoko kama wa joti
masanja big up mazee.nafurahi zaidi ukinitembelea muondoko kama wa joti,wewe kichwa bwana kaza buti bingwa wangu
ebwana wazee mko juu kinyama yaanni full babake ila muanze kutoa cs na ma dvd wana ili watu mba;i mbali tuweze waona na pia muweke baadhi ya show zenu kwenye net watz tulioko nje twa wamiss kinyaaamaaaaaaaa
Yap jamaa nawakubali sana siku ya kwanza kwaona nolifurahi sana ile cjui mdebwedo tunabonyeza kizenji aaaaa bomba sana kazeni buti.
Nye! nawafaglia sana wote,kama ninaruhusiwa ntawatumia vichekesho vingi vya kutosha.
WAKOLA
maze mpo juu ila wachukueni wale jamaa wa kipindi cha mizengwe hasa yule mlevi atawapa shavu kinyama
can you helme
naomba niangalie picha za comedy please
big up sana anaye legeza domo atoke fast
washikaji mnatisha sana mko ju kinomaaaa mimi nawafagilia wote lakini Masanja/ Joti nahuyo anaye act kama waziri nawafagilia zaidi big up sana masanja laki Jot hilo pengo mshikaji duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
eeeeeeeeeeee mi kwa kweli sina hata la kusema maana juzi walisali kwa jina la …. then wakaweka na muda lini wajibiwe maombi yao then kesho yake bara bara ikaanza kutengenezwa fagilia Ze Comedy wembe ule ule. kwanini hamuonyeshi na kwenye vituo vingine vya Television? wa vijijini hawaoni
I am writing from Nairobi. You guys are the bomb! Kwa kweli mmebobea katika fani hiyo. Kila ifikapo Alhamisi sibanduki kwenye runinga yangu. Nyie mmeiva kama tusemavyo hapa…endeleeeni kubonyeza kibara..mzee maasanja na hamijee…mwatisha..hasa mindoko yako hamijeee na jazaba yako masanja…
Kudos! Keep it up guys!
Nawafagilia sana members wote wa ze comedy. Ni burudani na fundisho tosha katika jamii, keep it up.
Ila huyo jamaa anayelegeza midomo anawaaribia hasa anapokuwa anasoma taarifa ya habari. Napendekeza atolewe mapema kabla hajaaribu zaidi!
Wewe Jocca huyu anaye legeza mdomo hujui kama hiyo nistari yake?siyo vyema kusema atolewe kwani hapo kila mmoja na na fasi yake
tikiti
washikaji nawafagilia sana big up kwa wote
maana ifikapo saa moja jioni siku ya alhamis uwe karibu na luninga yako ili usipitwe na uhondo.
Hi ZeComedy guys,mwanzo mlifanya vizuri ila kila siku zinavyooenda mnazidi kupendwa kwa ajili ya mazoea coz TV stations hazina covarage za kutosha hivyo wengine wanatumia kipindi chenu kupotezea muda kusubiri vipindi vingine au kumalizia siku…anyway kuna matukio muhimu ya kijamii mnajaribu kuyakwepa siku hizi
oyaa comede masanja mkanda mizwaji oh sorry mkandami mizaji naw apa bichwa ila mmeanza ku chemka au mmeonje shwa tonge la buzwagi acheni ku mchimba Dr.maslaa TUTA WA TAKURU MKIBAINIKA TUTAWACHUKIA poa masela kazinjema
dam!you guys rock.
mnaniacha nikicheka kila siku nikiangalia kipindi chenu.mnaweza kweli kuchekesha watu.Ni kazi ngumu lakini huja tu bila wewe kujua kuwa unachekesha watu.Anyways holla back to ya gal.ME.Ningependa sana kuongea nanyi ila i don’t really know how to get you guys.I love the way you act.Napenda sana.
BIG UP Y’ALL.Keep it up.
Mad love
Namba 1 fan
wawawa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kiwango chenu kipo juu ile mbaya
hakuna atakaye wafikia hata kama akijilefusha vipi.
naamini mnatuwakilisha wabongo wote kwa wageni wetu.
sasa inaaminika wazi kwamba bongo vipaji vipi.
e bwana ndiiiyoooooooooooooooooo.
Ebwana eee ze comedy mnatisha nawafagilia kwa sana kazeni buti mazee big up.
mko juu sana. endeleeni. Nawapa dole gumba.
ze comedy mko poa,ila kama vipi huyo Mc Reagan aondoke kwani inakuwa kama analazimisha fani,kwani siyo mbunifu hata kidogo,kelele tu nyiingi
oya!!!!! mambo zenu mnaonaje mkini 2mia mail zenu n 2we 2na chat kisha ntawa2mia vichekesho kwa wingi plz
naomba ombilangu lijibiwe zisipite cku 10 naomba mi2mia kwa mail yangu joyca_nyanda@yahoo.com au namba zenu za simu
thanx all da best in ur act
Mambo Kaka zangu nawapa pongezi kubwa sana sana na Mungu awabariki kwa kipaji alicho wapa kila siku zinavyozidi kwenda muweze kubuni mambo mapya kazi ni kazi kuliko kuiba okey nawatakia maisha mema ila Muongeze Bidii katika kazi yenu ni nzuri sana msiogope kusema kitu kama kipo maana ufisadi umezidi tuukomeshe kwa njia hiyo nayo inasaidia kuwatanua mawazo viongozi wetu wanaposhituka ndo ujumbe unakuwa umeshawafikia na hakuna wa kulalamika kaza butiiiiiiii
mko full kinoma nawapa big up, ila naomba siku moja mrudie kibao cha znz star NAIAMINI pale mlifunika kinoma hakuna hata shoo moja iliyokamata pale
Vipi ze comedy? kwani wea are you nowadaiz? in Kenya we used to watch you through EATV but sikuizi hamko tena, tuwatafutie wapi? JOTI I MISS YOUR WALKING STYLE.
naitaji kujiunga na ze komedy but i dont know how. najiamin kuwa nina kipaji cha kutosha kujiunga nanyi. elimu yangu ni kidato cha nne na sasa nasomea masomo ya ualimu katika chuo cha ualimu ndala kilichopo mkoani tabora jina langu ni Francis Kulwa naishi mbezi luis dar es salaam. namba zangu za simu ni 0764 980293,.0785 829459
mko juu sana lakini siku hizi munapoteza mda mwingi sana kuonyesha vitu ambavyo havitufanyi kuipenda comedy kama ilivyokiwa eatv,jitahidin sana mana siku hizi kikubwa kilichobaki ni timbwili la asha ngedele,hivyo nawaomba muwe wabunifu zaidi ili kulinda heshima ya zecomedy,kama tajiri wa kihaya anapoteza mda mwingi kwaajili ya kujifagilia,pia michano sioni umuhimu sana,
hi vijana wakazi kazeni buti mfikie malengo nawapendeni sana nawafagilia kinoma hata j-j hapo Tz anajua hilo
nyie noumar yaani!!!!!!!!!!!kazeni buti!mie nawapenda wote….
MUHAYA HAPENDI KUIGWA SAUTI YAKE,MNAWAPATIA KICHIZI,..HATA WAKASIRIKE NDIO WALIVYO
Kweli mnajitahidi na mnahitaji pongez! Mimi napenda sana komedi na ninavichekesho ningependa kushea na nyie. Kwa mfano hiki ktk mtoto umleavyo kinafaa! Mama kamzoesha mwanae kushea nguo za ndani cku moja mwanae katafuta ya kuvaa ya kwake kakosa akachukua ya mama yake mpaka sebleni mbele ya wagen akamwambia “mama nataka kuvaa hii yako lakini jana niliona kavaa baba kwani na yeye tunashea naye?”
lv u much
mko juu…!