Comments on: “SIWEZI KUACHA KUIMBA”-BI. KIDUDE

By: Michaely benard
B.mkubwa lazima akaze buti kwa kuwa mziki upo kwenye blood! awezi kuacha kwakuwa ashakuwa teja wa mziki!! Mwanzo mwisho b.kidude!!

By: is-haka
muimbaji,msikilizaji wote wameelaaniwa na mungu jee? wewe mungu unataka akulani

By: is-haka
dunia mapito tubu kabla milango yako toba haijafungwa

By: is-haka
swali kabla huja swaliwa

By: is-haka
bi kidude fanya utubu kabla hayakufika mauti

By: Kibibi Namkonongo
Ombi langu kwa dada yangu Bi Kidude:

Tumia kipaji chako ambacho Mwenyezi Mungu amekuzawadia: Kuwaasa Wanasiaa na viongozi wa nchi “Kumrudia Mungu” Waelekeze macho na Nyoyo zao kwa watu wanaowaongoza  ambao ni sawa na watoto wao  Viongozi wa nchi

wanashika nafasi ya MZAZI: Huu ndio ukweli usiopingika.

Viongozi wa nchi, wanateuliwa na Mungu na raia wanapasa kuwaona viongozi wao kwa mtazamo huo huo! Sssa, ukweli wa hali halisi, hakuna Mzazi ambaye atakula na kusaza wakati watoto wake anasunyaa kwa mjaa “starving to death” Hakuna Mzazi anafunga mlango usiku kabla ya kuhakikisha watoto wote wamerudi nyumbani salama, ama sivyo hawezi kupata usingizi. Usiku kucha atahangaika kuwatafuta hata kama ikibidi awaamushe majirani, hatasita kufanya hivyo, hata majirani na ndugu wataona ni wajibu wao kumsaidia ndugu/jirani yao kuhakikisha usalama wa watoto wake.

Dada Kidunde, nakuomba uyaone hayo kimsing na muombe Mwenyezi Mungu akuongoze utumize kipaji chako kabla ya kuondoka hapa duniani.

Kifo hakijui umri, natoa rai hiyo kulingana na KIPAJI CHA PEKEE KABISA AMBACHO DADA KIDUDE UNACHO.

Kila jambo lina sababu na makusudi yake.

Mpe Mungu shukrani kwa kumuokolea watoto wake

toka janga ambalo Tz inajikuna nalo.

Pamoja na kwamba watawala huteuliwa na Mungu, lakini wanapoamua kwenda kinyume na maadili ya Mungu (ambaye ndiye Mtawala Mkuu) Mungu haingilii kati matakwa na maamuzi yetu, amtuachia ujuru jadi siku ya siku.

Sijui kama kunywa na kuvuta kwako ni dhambi, mimi binafsi  nisingekuhukumu.

Tanzania hatupasi kuwa omba omba wa vyakula, wala binti zetu kufa kwa uzazi,

watoto na waalimu kukosa vifaa na nyenzo za lazima shuleni, wakulima kutegemea

“nguvu kazi” ya jasho lao tu ktk karne hii ya 21!

Mungu ameipendelea Tanzania kwa asli mali ya pekee kabisa!

Mungu akuonesye undani wa RAI hii ninayokuaslia nayo ndugu yangu Bi Kidude.

Hamasisha wanasia wauone upungufu huo kuwa

unatokana na sera ambazo ni nzuri kwa maandishi bila utekelezaji na uwajibikaji wa viongozi kwa nchi.

“NATUMRUDIE MUNGU!”

Ajuza

(Msichana wa zamani)

By: Gandoboys
Bado nafasi unayo Bi Kidude Rudi kwa Mungu achana na Upuuzi wa Dunia .. Muige Kaka yako Aboud Jumbe ….

By: jh
ondoa kipengele cha kunywa na kulewa sijui kwanini editor alikiweka. Kwakweli unyago anaofundisha unasaidia sana kwa wake watarajiwa yaani nina rafiki yangu ambaye mkewe kafundwa na bi kidude saba tatu kila uifika kwake ni furaha tu. na kila nikimkuta anajifusi kuwa kwakweli kapata mke itabidi utaalamu anaoutumia atoe vitabu au aufundishe kwani ndoa za sikuhizi mh

By: Mahmoud Shariff
Nimefurahi kuona mukimuenzi Bi.Kidude bado akiwa hai. Lakini nawaomba kwa hisani zenu jaribuni kumnasihi arudi kwa mola wake na aanze kutubia bado akiwa mzima mumkumbushe sisi sote ni wapita njia kwa mola tutaregea yahitajika tutubie. shukran

By: african prince
wish to see u…ma Lady..