WHEN CELEBRITIES MEET….

 

Kila mtu huwa na furaha ya kukutana na celebrity ampendaye. Wakutanapo celebrities,kama inavyoonekana pichani juu, kinachotawala ni vicheko! Pichani ni Raisi mstaafu wa Tanzania Mheshimiwa Benjamin William Mkapa na mshindi wa tuzo maarufu ya Oscar, Forest Whitaker. Picha hii walipigwa tarehe 17 Februari 2007 jijini Kampala, Uganda wakati wa maonyesho ya mwanzo ya sinema ya The Last King of Scotland ambayo ndiyo ilimfanya Forest Whitaker ashinde tuzo ya Oscar.

Page 1 of 3 | Next page