Comments on: “WATANZANIA WENZANGU WANIUNGE MKONO”-RICHA

By: Tonyotonyo
Ila picha nzuriii, ndivyo alivyo kweli amaa!!! maanake zamani niliambiwa usiowe kwa kuangalia picha.

By: ima
umembagua mpaka story imejitokeza CNN INSIDE AFRICA last week..shes a lucky girl…

By: dula madingo
huyo kwa akili nahisi sio mtanzania halisi kwani mtazania halisi

rangi yake haiwi hivo. huyo asili yake ni asia

kwani sie waafrika tukenda ulaya tukizaa watoto wetu watakua ni wazungu?

By: Mbinu
jamani mbona hamjaelewa Tanzania wahindi ndio wanabagua wazawa na sio vinginevyo, maana naona hapo juu watu wengi wana sympathie na huyo miss muhindi, kumbe wangejua yeye ndio anabagua wazawa na sio sisi tunambagua.. maana wahindi wengi wanawaona watanzania kama sio watu vile…na kwa rushwa ndio wenyewe…

Prisika hata sisi ulaya tumekaa sana…na tunajua kwamba ubaguzi upo Europe na Marekani… hao usiojua hilo hawajawa kayanga Europe wala Marekani…

By: star
Tokyo, you are right mgogolo hapa ni wahindi na sio rangi …wahindi wanyanyasaji sana…mimi nilishaenda Indian, Chennai nilishangaa sana kuona wahindi very friendly then ndio nikagundua kumbe wahindi wa Bongo wana tabia mbaya mno..

sisi wa wazawa tulikosea kuwakaribisha ndio matokeo yake hayo wanatunyanyasa sisi wenyewe….

By: happy
Binafs sijamfagilia, kwanda mbaya, hana shepu nzuri, yupo yupo tu mdos wa watu.

By: tokyo
mimi nimesoma maoni ya wadau wengi na nimegundua

swala moja ambolo wengi wanaompinga miss tz.

ni kwanini mshindi amekuwa na mimizi ya kutoka india,

na si kwanini mtanzania na si mwenye asili ya taifa lingine.

hapa  naweza kusema kuwa baadhi ya makundi haya mawili ya

(wahindi na watanzania weusi) wana matatizo makubwa ya ubaguzi.

hapa napenda kupinga kuwa watanzania hawana ubaguzi wa rangi ila wana ubaguzi na wahindi.

kwani tuna ushahidi wa kutosha kuona watanzania wenye kuchangaya na mataifa mengine  wakishangiliwa kwa nguvu zote na watanzania wote,kwamfano Mwisho mwampamba

ambaye aliiwakilisha tanzania katika big brother Africa.

Pia waarabu ambao wanashika nafasi selikalini.Hii yote inaonyesha watanzania si wabaguzi ila wabaguzi wa Wahindi

Swali hapa ni kwanini wahindi?

Nahakika kama nafasi ile ingeshikwa na mtu mwingine mwenye asili yakutoka taifa jingine kama Mwisho mwampamba  basi tusingekuwa na mjadala mrefu namna hii

By: Amy
I AM ENCOURAGING ALL INDIANS AND LIKES TO PARTICIPATE

IN THE COMPETITION AND I HOPE THE NEXT 5 YEARS OF

MISS TANZANIAN COMPETITION WINNERS TURN OUT TO BE

INDIANS OR ELSE…. MAY BE THIS WILL OPEN UP OUR MINDS A

BIT…. VERY DISAPPOINTING!!

By: YOUTH VIJANA
Ingawa nchi nyingi duniani zimekuwa na ubaguzi wa hali ya juu wa kuangalia rangi au udini,si vizuri kuona pia Baadhi ya watanzania tunawabaguwa wanabaguwana kwa rangi,Tuwapo kwenye michezo, mashindano hata kwenye elimu pia.Huyu ni miss Tannzania na siyo miss wa nchi nyingine yeyote.Hata kule china watamtambuwa kwa tabia  yake ya kiutanzania na siyo uamerika….lugha,mwonekano na hata ufikiriaji ni wakitanzania.(yaani uasili wake wa kitanzania)

Wapo wabaguzi ambao huwabaguwa watu kwenye nchi zao kama vile nchi za ulaya na kwingineko(razist.wanazi).

Huy dada angekutana na watu kama hao,ndiyo wangembaguwa kwa maneno ya kashfa kwa sababu ni mweusi.

Hakuna mtanzania ambaye atazuiliwa haki yake ya kufanya jambo lolote ambalo ni jema .Huyu dada ana haki ya kushiriki kuwa miss kama wanawake wote wa kitanania ambao wana vigezo kama vyake.

KUWA MBAGUZI NI UJINGA TENA WA HALI YA JUU !!!

DUNIA HAINA MIPAKA NI WATU NDIYO WAMEJENGA MIPAKA.UBAGUZI NI UOGA WA HALI YA JUU…

By: prisika
niko marekani….jamani mlio bongo mnaoona sehemu nyingine kama mbinguni….mnachemsha!

ubaguzi umejaza koteeee…nahisi Marekani inaoongoza!

kuna watu hapo juu wamesema mtanzania nenda India kashiriki chochote cha kihindi uone kama utashinda ni kweli hushindi ng’ooo!

kwa huyo anayepaka watu wengine kuwa hawazungumzi kingeleza……kiswahili ni lugha ya taifa ya tanzania kama wewe ulipata nafasi ya kujifunza kingereza vizuri…kwani aliyekupa wewe ndo aliowanyima wengine…..Marekani mbona hawaongei Kiswahili sio wanajua wao tajiri hivyo lazima tujifunze kingeleza kuwsiliana nao…….umasikini ndio unatufanya tuhahe kutaka kuongea kingereza……..so cut that sh**t….

Miss Tanzania bwana kwani imekuaje hadi kashinda kwa kweli hapo ni Lundenga na rushwa zake!

mwanzo nliwaza kutakuwa hakuna tofauti kati ya miss India na miss Tanzania…..lakini nikaona hapana kwasababu huyu atatangazwa kama miss Tanzania na mhindi mwingine atatangazwa kama miss India ila…………Watazamaji watajua waTanzania wamefanana na Wahindi kumbe hapana ni kwamba tuuu imetokea Mhindi……….aliyezaliwa Tanzania ndio kawakilisha Tanzania…….haaaaaaaaa inachanganya……

kuna mtu kasema hapo juuu akishinda itatangatazwa Tanzania……I think that’s all we need….even though Tanzania was represented by Indian!

by the way watu weusi tunakuwa wabaguzi kwasababu ya watu weupe….namaanisha Wahindi,wazungu, waarabu wanavyotu-treat………wanalianzisha tunaliendeleza…….hatulianzishagi!