Hii ndio picha iliyojishindia kuwa “picha ya wiki” hii. Pichani ni msanii Wanne Star ambaye ni mmojawapo wa wasanii wachache ambao wanadumisha mila na tamaduni zao. Picha na Michuzi Jr.
Feedback / Comments
4 Responses to “PICHA YA WIKI # 2”
Leave a Reply


Ni matumaini yangu kuwa hiyo picha haijawa “doctored”, kwani si rahisi mtu kuruka kimo kile ati–unless karushwa na watu.
Nafikiri karushwa na watu ktk mtindo wa Sarakasi au karuka mwenyewe lakini pale chini kulikuwa na pira kubwa ambalo ukitua juu yake unadunda na kurushwa juu zaidi.
Ila mimi nilipoina pic hii nikakumbuka wale watu wanaosema kuwa wachawi pupaa na ungo ila huyu kasahau wake! Nice pic though!
Hiyo picha nahisi uwenda Wanne Star alikuwa juu ya jukwaa wakati anaruka kawaida urefu wa gunia la mahindi au urefu wa meza za bar kama ya Ambiance pale corner bar .
Na mpiga picha alikuwa chini ya jukwaa,ndio maana anaoneka kama jamaa anaelekea kwa bibi kigoma au kwa Pangarashaba visiga kwa wale mnaokumbuka story hizooooo.
Ila nimekubali mpiga picha kiwango juu.Big up
Jamani huyu jamaa na kipaji chake hivi kafikia wapi? Tanzania sijui kama tunang’amua kwamba ni adimu kupata mtu kama huyu, kuna nchi za Afrika hazina kabisa. Mungu amjalie huyu bwana maisha mazuri na marefu, ni fahari ya Tanzania hasa! Wanne Star songa mbele mtu wa kazi.