Kwa pamoja wanajulikana kama Wanaume TMK. Makazi yao ya kudumu ni Temeke jijini Dar-es-salaaam. Wao na lile kundi lingine lijulikanalo kama Wanaume Halisi inasemekana hivi sasa ni “watani wa jadi” kama sio washindani wa kudumu.

Feedback / Comments

7 Responses to “WANAUME TMK”

  1. Comment by Dinah on September 29th, 2007 9:01 am

    Mmefanana atii!

    Kuweni watani wa jadi kifani, msijisahu siku moja mkaanza kutafutana mtoane roho. Kuwa washindani kunasaidia kufanya kazi nzuri kwamba Halisi wakitoa kibaobomba wa kuchovya mnatoa momba lao sasa(zaidi).

    Kila la khero ktk kazi zenu.

  2. Comment by NDAKI GOMBERA on September 29th, 2007 9:56 am

    WANAUME TMK!!!!HEEEEEEEE!!

    Kazi wangu kwa kwenda mbela mwaka wenyewe WASHETANI!

    Wengine wamejaribu kuwapiga manati,kumbe wameiguza moto wake wanaujua wamwulize GK na ECT.

    Hakika kuwashusha nyinyi kaziiiiiiiii ipoooo wapeee salaaam zaooo

    Tupo pamojo,kuku kuku jogoo jina

    ndakindaki@yahoo.com

  3. Comment by Majita on September 30th, 2007 9:16 pm

    …Ghafla nikashangaa magazeti yanaandika ooh TMK imevunjika ooh TMK imesambaratika ooh TMK kuna patashika.Mliambiwa na nani?kweli huu mwaka wa shetani.
    Mwaka wa shetani…….Nimekubali kiwango.

  4. Comment by debra on October 1st, 2007 7:00 am

    Kazi nzuri kila la heri vijana wakilisheni TMK.
    Sasa BC leteni za hawa vijana wa power breakfast jamani,FINA na Gerald.Masoud tayari ila hao wengine bado jamani.
    Nawakilisha

  5. Comment by fat ALBERT on October 3rd, 2007 8:04 am

    ebana watoto wa said fella mko tight sana,hasa hii single yenu mpya ya DAR MPAKA MORO,ni noma wanawane!,kama vp wahisheni hiyo album yenu ya KAZI IPO sokoni kwani tunaingoja kwa hamu.

  6. Comment by HAMIDA MSANGI on November 26th, 2007 8:44 am

    mmawapenda sana wanaume TMK especial Mh.Temba and Chegekazeni buti msibabaishwe na mtu.

  7. Comment by komora on November 21st, 2011 6:34 pm

    muko sawa 2poa

Leave a Reply