October, 2007

PATRICIA HILLARY, MALIKIA WA TAARABU ENZI HIZO

  Miongoni mwa nyimbo zenye mahadhi ya mwambao zilizotokea kupendwa sana ni ule uliojulikana kama “Njiwa” uliokuwa na mashairi yenye maneno kama “ewe… 7

MZEE KIPARA-TANZANIA’S ACTING ICON

  With the success of twenty to thirty something artists in Tanzania, it is easy to forget that even before Bongo Flava or… 10

ZAWADI

  Hivi karibuni blog maarufu ya Michuzi ilifikisha watembeleaji milioni 2.Wakati watembeleaji hao wakielekea kufikia idadi hiyo, kulikuwa na shindano la mtu atakayekuwa… 1

KILA LA KHERI RICHARD

  Mtu wa mwisho kutoka ndani ya jumba la Big Brother atajipatia kitita cha dola za kimarekani laki moja ($ 100,000). Mwakilishi wa… 14

WATANGAZAJI MBALIMBALI

Tofauti moja kubwa kati ya watangazaji wa kwenye luninga na wale wa redioni ni kwamba wale wa luninga huwa tunapata bahati ya kuwaona… 30

BYE BYE UKAPERA

  Mtangazaji maarufu wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na pia radio ya Magic FM, Nick Ngonyani hivi karibuni alichukua “jiko” jijini… 11

ALI HASSAN MWINYI

Alipoingia madarakani kumpokea aliyekuwa Raisi wa Awamu ya kwanza,Mwalimu Julius Nyerere mnamo tarehe 5 Novemba mwaka 1985, watanzania wachache sana (kama wapo) waliweza… 33

FAKE PASTORS

  Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu hatimaye filamu ya Fake Pastors sasa inaingia mitaani. Kabla hata ya kutoka rasmi filamu hii tayari… 1

PICHA YA WIKI # 7

  Kwa walio wengi,jina la Flaviana Matata linapotajwa, kinachokuja mawazoni ni yule mrembo wa kitanzania mwenye “upara” ambaye aliiwakilisha Tanzania katika mashindano ya… 14

KINGWENDU

  Ukiacha wachekeshaji (comedians) wanaounda kundi la Ze Comedy, wachekeshaji wengine ambao ni maarufu nchini Tanzania ni Kingwendu Kingwendulile (pichani).Bado hatuna uhakika kama… 10

Copyright © Bongo Celebrity