Comments on: ALFRED TIBAIGANA

By: wora wora
sidhani kama siasa ataweza coz hata kiswahili chenyewe awezi na ni fisadi kama zombe ili yeye wamemwacha tu kwan si ndiye alikuwa bosi wa zombe, hii gvt ni wizi mtupu,

By: phinias bashaya
Nasikia ametangaza nia yake ya kugombea ubunge jimbo la Muleba Kusini,siasa ni mchezo mchafu uliojaa chuki  uzushi na malumbano je yuko tayari kuhimili yote haya??

Kabla ya hapo aliwahi kushiriki siasa au anaingia kama mwanafunzi?

By: Matty
mi naona tungeongea kihaya tu!

By: Dinah
7-Utaratibu gani unatumia ili kuthibitisha kuwa aliye kamatwa ni mtuhumiwa kweli?

8-Watu wanauwawa kila siku, je mnatumia mbinu gani kuwapata wauwaji? Na mtuhumiwa wa uuwaji anapofikishwa mahakamani huwa mnathibitisha vipi kuwa yeye ndie kweli ameua?

9-Je kuna utaratibu wa kupimwa akili kwa wale wanaokili kuua lakini ktk hali halisi hawajaua bali wanasikia uchungu kwa vile wanahisi kuwa ni makosa yao kuwaacha “wapendwa” wao peke yao mpaka wakauwawa na watu wasiojulika?

10-Nini kifanyike ili Raia wawaamini vijana wako (polisi) na kuwakimbilia ikiwa wanahitaji kulindwa/kuwa salama?

11-Mwananchi wa kawaida akiwa na sherehe yake akaomba Polisi kama 8 hivi wamsaidie kwa ulinzi mahali pa shughuli hiyo je atapaswa kuwalipa?

12-Je mafaili yenu mnayahifadhi? Pia mnakabiliana vipi na “Cold kesi” zile zilizokufa baada ya rushwa au baada ya kukosa ushahidi?

13-Kuna swala la kuwekwa lumande kwa zaidi ya masaa 96 kwa vile tu huna mdhamini, wewe unafikiri ni haki kwa mtuhumiwa?

Ni hayo tu kwa sasa.

By: Mpendakeroro
Aroooo,Arooooo,Arooooo… Ni hayo tu miyee…

By: TanzanianDream
Duuh wacha na mimi niulize langu,sina ndugu wala rafiki polisi lkn hali yao pia inaniumiza

Yeye akiwa kama polisi wa cheo cha juu bila shaka anapata mshahara afueni je anawajibika vipi katika kushawishi mishahara iongezwe kwa polisi ?

Simaanishi ni kazi yake kuongelea hayo bali ana nafasi kubwa ya kufikisha kilio chake kuliko Polisi wa Kisiju…

By: Mshauri
KWA NINI UNAPOZUNGUMZIA SUALA LOLOTE KWENYE VYOMBO VYA HABARI UNAONGEA KIBABE SANA?

By: maya65
nchi za wenzetu ukimuona polisi unakuwa na hali ya kujisikia salama na polisi anakuwa ni kama rafiki lakini polisi wa bongo…mhhh  ukimuona unaanza kuogopa na ukifika kituo cha polisi wanaanza kukujenga hofu hata kama si muharifu!!!!

hivi hii ni kwa nini? je hatuwezi kuwa na jeshi la polisi linalothamini haki na kuheshimu raia? mishahara ya polisi ni kutokana na kodi zetu ina maana sisi ndio tunaowalipa mishahara ,sasa kwa nini wawe wababe kwetu badala ya kutunyenyekea sisi raia tunaowalipa mishahara?

hebu afande tibaigana litafakari hilo!!!!

By: Amandus Mugaya
NAungana na Bwana Pius hili tatizo linatakiwa ufumbuzi kwa kweli inasikitisha sana hasa tunapojinadi kuwa nchi yetu ni ya Amani na unasikia kila siku Watalii wanaibiwa na vibaka tena katikati ya jiji!!! Hawa Mdudu mdudu, Pangusa, Chokoraaa ni wezi wamezoeleka, nani mjini asiye mjua Mengi (Mwizi Maarufu pale Posta, anakidonda mguu cha miaka nenda rudi) ndiye muuza Camera na Simu za wazungu mkubwa, Ni mara ngapi tunaona Laptop za wazungu zikiuzwa ilihali zinakuwa na Data za watu masikini za muda mrefu, Mheshimiwa alitolee majibu hilo, Heko kaka Pius ulipotelea wapi na mbona hauandiki siku hizi?

By: Pius Pius
Jiji la Dar ni moja kati ya majiji ambayo si salama kwa wageni, tumeshuhudia watalii wakiporwa mitaa ya Posta hasa Samora mchana kweupe, tumeshuhudia wabadilisha fedha wa pale Empress wakiwaibia wageni mchana kweupe na cha kushangaza matukio mengi hufanyika hata Polisi wakishuhudia, je ni changamoto gani anapata kwa malalmiko kama haya akiwa kama Mlinda amani mkuu wa kanda nzima ya Dar Es Salaam.