Pichani ni DJ Fetty wa Clouds FM, mmojawapo wa DJs maarufu na wanaotamba nchini Tanzania.

Be Sociable, Share!

Feedback / Comments

157 Responses to “DJ FETTY”

 1. Comment by babu on October 8th, 2007 2:38 am

  nakukubali mtu wangu upo juu sana kwa sasa. keep it up baby.

 2. Comment by beutness on October 8th, 2007 3:14 am

  huyu DJ ni mwanamke au mwanaume.

 3. Comment by maya65 on October 8th, 2007 6:28 am

  mhhh kweli hajulikani…mwanamke au mwanaume maana hayo mavazi mhhh!!!!!
  hebu tuwekeeni u tube tuone mavitu yake kama kweli wamo…

 4. Comment by Pius on October 8th, 2007 7:19 am

  Mzuri huyu mtoto kwenye machine ananiachaga hoi kwa kicheko chake tuu

 5. Comment by GEORGE on October 8th, 2007 7:31 am

  Dada kaza butu kwani uko juu hongera sana

 6. Comment by Big Willy on October 8th, 2007 7:58 am

  Dj Fatty umetulia kinomaaaaa hakuna Dj mwingine wa kike wa kukushusha aminiaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
  Moto huohuo wangu hakuna kupunguza spidi
  BC kazi nzuri mwendo huohuo

 7. Comment by Dinah on October 8th, 2007 8:12 am

  Hongera kwa kuwa DJ wa kike, sasa mkono unauweka (unaweza kupigana kwakujitetea) ikiwa uko kazini kwenye pub au clubs ghafla ikatokea fujo jamaa wanataka kukufanyia ubaya if u know what I mean.

 8. Comment by NDAKI GOMBERA on October 8th, 2007 8:13 am

  Kila la kheri.

  Nafurahi harakati za mabinti katika kupambana mfume Dume.

  Sasa nataka na idadi yamakonda iongezeke ya mabinti,upo Dinah hapo

 9. Comment by TanzanianDream on October 8th, 2007 10:21 am

  Ebana uliesema ndo dj bora wa kike umemsahau Ray C?Au unaongelea Dj mtangazaji?

 10. Comment by Dinah on October 8th, 2007 1:06 pm

  Ndaki mimi nipo dawati la mbele kabisa hapo! Tatizo mwanamke ukiwa “mgumu” (unafanya kazi za kiume) watu wanahofia kudharauliwa au kuitwa Lesbo (well wengi ndio hivyo)!

  Mimi napenda kuona wanawake tunabaki na haiba ya UANAMKE hata kama shughuli zetu ni za kiume, pitisha poda usoni, tengeneza nywele zako kikie na vaa kama mwanamke ili kuwakilisha vema.

  Kuwa DJ, Konda, Fundi magari/mashine, udakitari, mjenzi n.k huitaji kubadili jinsia yako wala kujisahau kimuonekano(Agalia PA wa kiume)

  Kila la kheri kwa wanawake wote wanaofanya kazi ambazo awali zilijulikana kama za wanaume tu……ila hey beba kago ikiwa huna mpango wa kuzaa hapo baadae.

  Najaribu kusema chagua kazi ambayo haitahatarisha afya yako.

 11. Comment by Dinah on October 8th, 2007 1:08 pm

  kuvaa kike….ni salama kupiga suruali kuliko siketi gauni ila juu piga blauzi badala ya shati na koti la bf. Pia kumbuka kuvaa hereni za kike.

 12. Comment by Hugo on October 9th, 2007 8:19 am

  Nakukubali mtu wangu, DJ Fe’eee.
  Umekuja kuwashuka, vurugu na kisauti chacho ni noma.
  Big up mtu wangu

 13. Comment by XX on October 12th, 2007 2:04 am

  shez hot n shit! wabongo stop hatin

 14. Comment by dj kay(kiango) on October 19th, 2007 2:05 pm

  dj fetty,much respect sister,
  keep it up baby.big up all the way from(washington dc)

 15. Comment by amina on November 2nd, 2007 7:38 am

  huyu mtoto ananikosha sema anamakelele sana akiwa studio. aahhhh

 16. Comment by liven on November 29th, 2007 6:38 pm

  upo juu wangu nakufeel kichizi yani !!!
  big up kwa sana dj fetty>>>> kaza msuli namna hiyo
  liven from england

 17. Comment by kijiwe on December 16th, 2007 8:59 am

  huyu Dj anapiga safi sana but kusema ukweli mimi bado sijawahi kuona Dj Mkali wa kike kutoka bongo kama Ray C kama ulikuwa unaenda disco enzi hizo utanipata nasema nini maana Ray C alikuwa anacheza na vinyls sio cds and to spin them vinyls is not a joke inahtaji mkono na ni wachache sana wanajua kufanya hivyo wapo madj wengi sana siku hizi wenye majina kibao ila ukiwapa turntable hawafurukuti.

 18. Comment by dina marios on May 2nd, 2008 8:53 am

  HAYA MWAYA CNA LA KUSEMA MANA DJ KWA FEHE HATARI

 19. Comment by dina marios on May 2nd, 2008 9:13 am

  mambo vp?mwanangu uko juu zaidi ya adui yako bg up ok enjoy,,,,see yah

 20. Comment by shyness on May 2nd, 2008 9:15 am

  mambo vp?mwanangu uko juu zaidi ya adui yako bg up ok enjoy,,,,see yah

  mi nakufa na milazo yako si mchezo mbona ckuizi haulazii kama kawa???????????????/

 21. Comment by blaggada on June 5th, 2008 5:04 am

  mchovu eee dj co fe eh ni noma namkubali ile mbaya aendelee na mzuka uouo

 22. Comment by JITUPARATUPU on June 12th, 2008 8:32 am

  Aah mchizi ananiachaga hoi sana na ile kicheko chake. Yaani nakufagilia sana. Ebwanaae mchizi upo juu sana!

 23. Comment by banx on July 8th, 2008 2:49 am

  eiyaaaa m2 mzima upo hot ka faya…. ucpifime they cant touch levo zako fe”e is mkazufuzu….jeayaah!

 24. Comment by Binya on August 8th, 2008 7:45 am

  Daah!!!! Dinah umeu kinya,ila haina noma ukweli ndo huo ila mi nampa shavu Dj Fe’ee akiwa mtamboni aaa spika za radio yangu zinataabika kwa sanaa. Fe’ee your my favourate dj, yeah thats me.

 25. Comment by Omary on September 11th, 2008 4:59 pm

  Niaje???ndo salam ya Geniva.
  fet unasifa zote,kwani u dj aliumbiwa mwanaume mwenyewe?kaza buti mam binafsi na kukubali sana tu kamua usiwasikilize wabongo kwani huwa hatupendi maendeleo ya mtu,kwngu mie nafurahia sana kazi yako imetulia,Sautipia ndo humliza mamambo yote haiwezekana ukafanana namwingine kwani kila mtu anakipaji chake,chko kimezidi ma dj wa kike wote.
  Say hiiiiiii 2 Adamu kwani tulikuwa pamoja on a street tell him from Omarrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr,ataelewa haraka zaidi.

 26. Comment by diddy on February 22nd, 2009 3:54 am

  me nakukubali i ain’t no comment kutoka kitaa cha magomeni mikumi

 27. Comment by chemical the great bond on February 23rd, 2009 4:18 am

  levo zako sister sio za bongo nje kabisa. bongo ulikuja kimkosi, we unatakiwa kuwa na akina kanye,jigga mnapiga cha arachuga kwa kusonga. kaza buti safari bado……..

 28. Comment by chemical the great bond on February 23rd, 2009 4:21 am

  hivi kuna dj bofongo atasimama na wewe!? hata mully chali. mwaka huu vumbi mpaka wajenge rami

 29. Comment by erick on February 23rd, 2009 5:15 am

  yap nakukubali sana mtu wangu upo level mbaya wape mashavu wana kwa sana .erick from TIA mbeya campus

 30. Comment by muba mzazi on February 25th, 2009 6:15 am

  hello dj fetty mzufuka mpango mzima unaendaje hapo bongo nakupata kupitia internet coz mm nishabiki wako mubwa ntngu pande za hapo bongo endelea kukamua dj kibibi mpe halla m2 mzima tweezy na adam mchovu wambie xxl na bongo freva zinabamba kinoma hapa south afreca plz fetty usikose kunilusha hewani na mpa hi mtt wng apronia by muba mzazi.

 31. Comment by swaleh madjapa on February 25th, 2009 7:01 am

  dada upo mzuka mbaya..i like the new blog look kep on putting new things..pia like the show and as party of nyuki dj vipi mmekuwa kimya sana tumewamiss do somthng

 32. Comment by PREDDY JB on March 5th, 2009 6:38 am

  Fetty nakukubali kinoma endeleza makamuzi mtu wangu. pamoko

 33. Comment by Nass on March 22nd, 2009 7:47 am

  Da Dj fetty kwakweli yupo juu Hata mimi Mke wangu sasa hivi anajufua pande za Triple A
  kua dj bora mwanamke Arusha

  Fetty uko juuuuu zaidi

 34. Comment by swaleh madjapa on March 26th, 2009 8:12 am

  nieje yaliyomo yamo? ebwana nyuki inakuwaje au mzinga umetoboka hakuna tena asali na kama imekufa tujue…na wewe mbona netball ukucheza..nssf noma kweli hawana dili

 35. Comment by cracker boy on March 27th, 2009 2:01 pm

  the way u dress i dont like it by the way i need ure email adress

 36. Comment by kirondomara the gret on April 9th, 2009 6:39 am

  e bwana ee duuh we dj fetty ni noma sina mengi ya kuzungumza coz mengi yameshaelezwa nadhani na wewe unajiujua kama ni mkali mi n inachopenda sana kutoka kwako ni sauti ya kicheko chako big up mtu wangu tchaooo

 37. Comment by saleh on April 20th, 2009 11:47 am

  nakukubali sana we mwanamke keep it up auvip uwatoe kimasomaso wanawake wenzio wanopenda kukaa tu wakizan kila kazi ni ya wnaume tu?

 38. Comment by David on April 22nd, 2009 4:06 am

  KOMAA DADA UPO JUU ILE KINOMA WANGU

 39. Comment by d wa kitaa on April 22nd, 2009 5:48 am

  Dah!kiu kweli kabaisa mi nakufill ile mbaya mwanzo kati afu malizia mpaka mwisho inshort nikwamba nakukubali mama unatisha yanii ucpime ebwana endeleza mikandamizo kama kawa ingekuwa nikijijini ningekuambia endeleza kuchezea chapati na frampeni ila kidogo ingekuwa nikufuru ila ndo kipaji chako kilivyo gundulika ila kwasasa ni mashine na milio ya fee fe feee feee feeeeeeeeeeeeeee.sana tu.

 40. Comment by Bervone Michael on April 28th, 2009 7:36 am

  Aha! Nashindwa kusema maana ni hatari mwanadavada ka’Fetty kufanya mambo makubwa ka’haya….Ehe kweli nakukubali mama cna ubishi juu yako ukiwa studio hata nachelewa kipindi coni ajabu maana mambo yako cyo madogo! pooltable ulinifunga ulipokuja fiester last time Arusha ila nakusubiri mwaka huu na me nikufunge….i’m from uhasibu Arusha…for sure you r a diva!

 41. Comment by adolph yamsebo on May 5th, 2009 7:18 am

  girl upo poa knoma

 42. Comment by adolph yamsebo on May 5th, 2009 7:21 am

  hey mbna nimekutumia email kupitia fatma@cloudsfm.com but hujajibu until 2day,lakn upo poaaa,nijibu basi kupitia email yangu au soyo

 43. Comment by middy on June 2nd, 2009 10:54 am

  mambo vp m2 wangu pole na kazi sama nifikishie kwa b12 msg yangu hii,hv ili shindano la cheza tanzania wanafuta waigizaji ama wacheza muzk? maana coni ata wanachofanya washiliki pia wale majaji wawili uyo farid kubanda na uyo bnit cdhani kama wanajua maana ya kuvunja ama kcheza afadhali ya yule jamaa anauzoefu ictoshe anaonekana alishawai kuwa mcheza muzik inackitsha kuona m2 ajui kucheza anafagiliwa kucheza co kujnyoga kama wafanyavyo ao watt kucheza lazma ufate beat au mashaili ucheze na k1 wapo j2 nimeboleka mbaya eti wa2 badala ya ku2onesha ufundi wanaleta maigizo nini sasa ww b12 acha ubwege kaa chani na hao waandahaji badilisheni mfumo alf ebu waleteni washindi wenu wa dar eti a.k.a new york ct kama ni hvyo bac dom washngton dc waje wafundwe kufresbo kudance kuvunja kunyanganyua nakdhalika fa2ma ebu fikisha hii kwa b12 pia ning’ependa uisome kwenye dc.com bibie. poa m2 wangu najua ma2moro kwenye xxl nitackia ujumbe wangu ukimfikishia b12 na falid kubana na kale kaduu cna hakika kama kamewai kucheza ata show kwenye kupaimala nini haruc ataweza

 44. Comment by FREDHOPE on June 10th, 2009 2:33 am

  Unatisha mwanadashori upo juu kama Obama na USA unavyocheka tu!!! me hoiiii

 45. Comment by linux from ifm on July 16th, 2009 3:22 am

  unakamata kuiubunifu pia una mvuto,lakini tangu uugue kama vile sauti yako imepoza,kama vp ongeza misosi mtoto mzuri.

 46. Comment by Stanley Chingwi on July 18th, 2009 9:15 am

  Hongera mrembo mwenye asili ya kigumu.Komaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 47. Comment by jacobshedrack on July 31st, 2009 5:28 am

  hasee we ndie dj bora wa kike tanzania,

 48. Comment by naitwa nige boy on August 4th, 2009 6:50 am

  mambo vp dj kwefe e mzufuka? mimi nipo sumbawanga mbona huku sisi hatukupati? tunaomba mtuangalie jamani upo juu sana mtu wangu

 49. Comment by MAN ZUNDA on August 6th, 2009 3:33 am

  KIUKWELI FENHE! UKO JUU MI NAFEEL SANA POZI ZAKO ZA KI MEN KAMA VIPI CKU MOJA MOJA UWE UNAPIGA NA KYUTI HIVIIIIIIIIIIIIIIII

 50. Comment by E40.Maujuz.com on August 14th, 2009 6:20 am

  yaan ktk k2 nnchotaman maishan mwangu iz 2 meet with u na kupga stor 2,3 coz cjapata kuona dj alafu ni bonge la prezenta mwanamke alafu ukafunka kulko mwanaume!!! plz give i dat chance 2 meet wit u!!!!!!! uko juuu sanaaaaa!!!!!!!!!!!! braaaaaaahhh!!!!!

 51. Comment by babug on August 28th, 2009 9:29 am

  mmwana uko juu vibaya big up sana

 52. Comment by Amorise on September 11th, 2009 3:29 am

  Hello Fe’ee u are hooot! swali la kizushi who inspired u 2become a very hot Dj in TZ?

  UPO JUU ZAIDI YA ZAIN! HOLLA

 53. Comment by leonard nyagilo on October 17th, 2009 11:56 am

  oooyo wazee ni vvvppp leonard hapa natafuta kimwali my no iz 0719918922 call dont bip any tym dear.

 54. Comment by leonard nyagilo on October 17th, 2009 11:57 am

  yeee men fetty luv u.

 55. Comment by DEVY on October 26th, 2009 4:57 am

  E bana fetty kwenye mashindano ya free style huyu jamaa anatisha STICK YIC
  From chuga moko.Aminia Fetty we ni kwere.

 56. Comment by NYAS on October 27th, 2009 8:08 am

  Hey dj fetty upo juu kwa hari za kispoti
  ilembaya napenda website yenu inavyo toa habari za wasanii wa kibongo

 57. Comment by ROMANUS on November 13th, 2009 3:54 am

  Yap FETTY!
  Unapo sifiwa unafanya vizuri….
  waoneshe unaweza zaidi….Kamua dada yng
  kipaji unacho……………..
  ALL THE BEST..

 58. Comment by joseph singo on November 20th, 2009 9:42 am

  oyoooooooooooooooooooooooo!!!!! j cingo in dem buldinggggggg!!!!! challlaaaa yoyote who watzzz to be a friend to bongo dude in texas jst hallla fogget about dj… fetty bwaaana nani kasema star… ahhhh…. star boongo>>>>>>>>>>>ma staaa wote wako hollywood sio tollywood haaaaahuuhhhaaaa………

 59. Comment by Norman Abraham Swai (NAS) on December 1st, 2009 3:25 am

  Hey hw u dng mwadafada i rly d appreciate wat ua dng kp t up hp 2 hia t 4rm u soon ma da holla

 60. Comment by Norman Abraham Swai (NAS) on December 13th, 2009 2:42 am

  Dude dis chck z hot & amaizing…

 61. Comment by success on December 29th, 2009 3:37 am

  u know what my dia….u a gud..and deserve the best..

 62. Comment by motto on December 29th, 2009 3:24 pm

  u are big level

 63. Comment by Christopher Gosbert on January 29th, 2010 12:09 pm

  mzazi na kupongeza kwa kuanzisha kitu muhimu kwa ajili Waanga wa maffuriko kilosa BIG UP by CHRISTOPHER FROM MBEYA

 64. Comment by faraji kabuta on January 30th, 2010 6:23 am

  upoo juu kwa mpango wenu wakuwachangisha watanzania kwajili ya watu wa kilosa

 65. Comment by KITING'ATI SON on February 3rd, 2010 5:00 am

  U know wat Fe’ u ar gud bcoz u hav confidence, success in lyf does not cam so eazly you hav to fight the way u du, i real proud of u, u actualy gud model to Tz ladies

 66. Comment by jose on February 13th, 2010 6:32 am

  the brilliant dj wa kike ever hapened in tz n east africa …we ni presenter ambaye nisipokusikiliza najisikia kuumwa…am a very big fan of u dada

 67. Comment by simon on February 15th, 2010 8:25 am

  ur gud dj in town so keep goin duin more wonderful

 68. Comment by simon on February 15th, 2010 8:26 am

  ur gud dj in town

 69. Comment by tutupa on February 20th, 2010 6:28 am

  Yebo dj Fetty uko juu ka obama sansan unpokuwa mjengoni au siyo bana
  ka vp mzuxxxxx bana toka pande za ch/keni

 70. Comment by samira on February 25th, 2010 12:35 pm

  i luv u, ur very cute…

 71. Comment by moris john cnza on March 3rd, 2010 1:23 pm

  i lv music lk i lv ur lovely event whn u host

 72. Comment by ashraf eddy on March 27th, 2010 4:53 am

  you ar so high sis!!I fil all ya showz keep it up!!superb…

 73. Comment by Samwel Malisa on April 1st, 2010 9:56 am

  SIS UPO JUU KA KIFUNIKO CHA SODA DADA ANGU KWAN MAMBO YAKO SUPA.
  ENDELEZA HIZOHIZO WASIJE KUKUFIKIA SIS*.
  FROM PANDE ZA SINGACHIN T. COLLEGE,
  MOSHI (KLM)

 74. Comment by Kibat on April 11th, 2010 6:28 am

  Niadj mwana dafada hope uko pwaa.z nat a secet mwana dafad kwa bongo hapa bongo thrz no 1 lyk ya. Keeeeeeeeep t uuuuuuuuup ,ma cousin. Hollaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 75. Comment by Richard on April 16th, 2010 3:00 pm

  I wish u all the best. Ur a one and only in this planet of the DJ’s. Keep it up.

 76. Comment by Sarah on April 18th, 2010 5:48 pm

  Fetty upo juu wangu,hao wanaotaka kujua ni wakike au wa kiume waambie wajiongeze kuna maswali ya kuuliza na kufikiri,pamoja nakufagilia mbaya

 77. Comment by Erick sabugo on April 27th, 2010 9:45 am

  ongeza bidii sister unatisha achana na wanaokubania kukupa big up hao wanafiki tu. nakutakia kazi njema na mafanikio mengi

 78. Comment by kiddy on April 29th, 2010 1:45 am

  mwanadafada uko juu ile mbaya nimekusoma kwenye nyimbo ya wana jana kwenye xxl.
  Keep it up sis.

 79. Comment by Richard Mushi on May 1st, 2010 7:25 pm

  Fetty, I have nothing 2 say but just tell u that keep it up lady.

 80. Comment by mwaipopo on May 5th, 2010 3:34 am

  We ni first lady ktk mashine……big up mwana dada….

 81. Comment by obby on May 31st, 2010 3:55 am

  oi fetty kandamiz speed ile ile ila kweny kona ufunge mkanda Shaaaaaaaah!!!!

 82. Comment by ANNA KAVIKULE on June 3rd, 2010 6:12 am

  yeyoooo!!!!najua imekaa njema kabisa fetty,napenda unavyo miliki mtambo.namimi nakaza buti maana najua naweza nipo pande za songea huku.keep it up.

 83. Comment by erasto on June 6th, 2010 8:38 pm

  am happy 2 see u evry day

 84. Comment by MC CHEDDY on June 9th, 2010 7:33 am

  oi……oi… CLOUDS TV inatisha sana bg up kwa wanangu wote pande Tabata na Musoma

 85. Comment by Nelosn Makabala on June 11th, 2010 4:47 am

  Eyoh whts up Dj TIFFY{fATMAH
  mbaratata kuna utata Freshiiii tu dah EBANA LEO HEMBU GONGESHA KITU CHA Gettor Gosper toka kwa 2pac.ntafurahi sana upo poa kaza buti wapinzani maji ya ugoko

 86. Comment by emanuel on June 17th, 2010 5:51 am

  e bwana m2 wangu nakukubali,show yako yako poteza poteza. u rock girl, keep it up

 87. Comment by VICTOR LEMA on June 18th, 2010 8:59 am

  Ebwana mimi na kukubali dada yangu tupo pamoja

 88. Comment by VICTOR LEMA on July 2nd, 2010 1:20 am

  JIPANGUSEE raraaaaaaaaaa Dada yangu fetty jipe moyo mkuu kaza buti kwani show zako ni za ukweli ile mbaya tupo pamoja Dada yangu

 89. Comment by jully on July 18th, 2010 5:20 am

  yoooooooooooh fetttttttttttty
  u so gud beyb js make it hard………..

 90. Comment by zahara on August 5th, 2010 5:25 am

  For sure u’r hot mum big up,much respect

 91. Comment by Elias Charless on August 12th, 2010 5:41 pm

  Big upooooooooo?mama lake unajua nini swaga zako tu uwa nalegea kabisa,mapango mzima we ni mkali at tozi salama afiki level izo.

 92. Comment by Bella on August 12th, 2010 5:44 pm

  hallo;ilike ‘u’ enjoy ‘ur’time:

 93. Comment by nasP on August 13th, 2010 6:06 am

  keep up much gal unakimbiza mbaya

 94. Comment by Kitenya on August 15th, 2010 2:54 am

  Ooh ma gush.! I thnk dis gal has somethin special,keep it up fety-mhmwaaaa

 95. Comment by Nestory Mayala on August 19th, 2010 1:34 am

  Hey Dj Fetty to honesty I real yo swagga!keep it up!ONE LUV.

 96. Comment by Nestory Mayala on August 19th, 2010 1:37 am

  Hey Dj Fetty to honesty I real like yo’ swagga!keep it up!ONE LUV.

 97. Comment by cosmas on August 19th, 2010 3:50 am

  unatisha

 98. Comment by ADAM BONIPHACE on August 20th, 2010 6:05 am

  Dah!!!!!!!!!!!!!! we mkali dada sema unatakiwa kuwa mbunifu ili uishangaze sio Tanzania tu bali dunia kwa ujumla kwamba mwanamke mwanaalakati kwa kuinua vipaji vilivyopo mikoani na aswa mawilayani kama kule MORO kuna sehemu inaitwa ifakara kuna kundi moja la vijana kazaa madogo wanafanya HIP HOP ya kweli sema akuna surport kwao so fanyeni muwatembee fijana mawilayani na si kuishia mikoani tu. TTTTTTTTTTCHOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!

  ONE LOVE MY SISTER…….

  ZIDI KUWAPA MASHAVU WANA PANDE ZOTE.

 99. Comment by benson on August 23rd, 2010 6:27 am

  Nothing to say but ur the best dj in women alover tanzania at same time working on the best radio station in Tanzania.keep up

 100. Comment by George on August 23rd, 2010 7:25 am

  AYA-YA-YA-YA!!!!!! THIS GAL IS NOMA, YAAANI WE BALLAAAA FETTY. DAH!!!!!!1

  MUCH LUV TO YOU DJ FE-EH!!!!

 101. Comment by isihaka on August 29th, 2010 11:07 am

  nothin i can say abput your the best dj but not rather than mamen mchovomvu but i adore u much respect its me isihaka fro cinza star

 102. Comment by charax on September 1st, 2010 7:47 am

  ooooooh aise unatisha kama niaje push up to the limit baby

 103. Comment by josephine mshamu on September 4th, 2010 8:55 am

  mi nakukubali kupitiliza,olweiz lvng u

 104. Comment by Huruma Owden a.k.a MrAbility. on September 5th, 2010 7:49 am

  high,up,top sijui niseme nini upo…………..ile mbaya.By Ability frm FTI(R-CHUGGER)

 105. Comment by kenney on September 10th, 2010 10:08 am

  mwana nakukukubaliiiiiii ur hot baby mpe hai mchomvu bila kumshau shemeji d banji it mee keenny 4rm tng or moshi town am young dirty money

 106. Comment by renis on September 22nd, 2010 6:04 am

  you are cute baby! kazi zako nazikubali. shows zako zinabamba kichizi. dj fetty, make it hard baby!

 107. Comment by elia on October 4th, 2010 4:11 am

  nakupa HI KUBWA HASUBUHI HIIIIIIIIII

 108. Comment by tina on October 11th, 2010 6:54 am

  me nakukubali sana sis fee wa ukwel kinoma much respect

 109. Comment by faudhia on October 14th, 2010 4:33 pm

  l lyk u ma dear gal big up 2u;no 1 lyk u gal.natamani kuwa kama ww plz l need u contant ma are 0718133710 plz plz plz.l need ur connenation.1 love

 110. Comment by starford yohana on October 21st, 2010 3:41 pm

  dj fety your one among the girls i respect and congraturlates for each and everything you have been doing to entertain and educating as well[the day you talked about how to use your porch] love u girl,its me starford aka llcool j wa bongo from moshi university

 111. Comment by VICTOR LEMA on October 25th, 2010 11:33 am

  hello dj fety habari likizo mbona kimya

 112. Comment by nadia on November 12th, 2010 12:00 pm

  hey fat!u realy nice gul but dont forget you r muslim and the reason of being created by god.xx

 113. Comment by florian ''da superstar'' gwau on November 26th, 2010 8:20 am

  fetty ukiwa mtaani usiwe unaringa sana ulinichunia ulipokuwa mwanza ukumbi wa villa pak

 114. Comment by imma on December 1st, 2010 7:29 am

  kamua fetty upo juu wangu, big-up 2 yu!!!

 115. Comment by evans on December 8th, 2010 5:24 am

  wewe ni mkali na kupa shavu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 116. Comment by evans on December 8th, 2010 5:25 am

  nipo nairobi napiga buku lakin nakupata kinoma

 117. Comment by florian ''da superstar'' gwau on December 10th, 2010 6:39 am

  fettt we ni noma mfano wa kuigwa na madem wote, katika ishu ya ”women empowerment”wewe haupo kabisa halaf wewe mbona n mzur sana kwann huwa unajiweka kidumedume?napenda nikuone ukiwa umevaa kisister duu,ur no1 fan 4rm makumira university a,town,ukiskia paaaaaaaaaaaaaa

 118. Comment by florian ''da superstar'' gwau on December 10th, 2010 7:15 am

  fetty nitafutie machalii toka dsm wanaotaka kuandikiwa mashairi ya hiphop,mi ni noma ka sodoma,nina effectz kama hiroshima,mcz akili ka za mademu,wameweka extrem halaf wanabpu,raaaaaaaaaa.my contact iz 0712425622.minaki boyz 2003-2006 mpoooooooooooooooo??

 119. Comment by florian ''da superstar'' gwau on December 11th, 2010 5:25 am

  niaje dj `fettt,upo juu kama roketi,presenterz umewakunja ka chapati umewafunika ka sakafu na kapeti, unalipua ka baruti,hawana jipya wanabaki kupaste,na utaendelea ku exist,kamwe huwezi kulost,piga mzigo hata night,ili uendelee kubaki kwenye chati,we ni strong woman japo huvai sket…………..

 120. Comment by Said on December 28th, 2010 4:03 pm

  Doooo!!we mkale mtoto shy

 121. Comment by florian ''da superstar'' gwau on January 5th, 2011 8:41 am

  happy new year dj fetty……

 122. Comment by Albert Mnyambugwe on January 18th, 2011 4:40 am

  kip it joh usilewe sifa kaza buti mia mia laaaaaaaaaa….

 123. Comment by RICHARD on February 10th, 2011 10:12 am

  Niaje fetty hiyo picha yako mbona unaonekana umekonda niaje jamaa ua ulikuwa mdogo sasa umekua!

 124. Comment by victoria on February 11th, 2011 6:16 am

  baby girl u a great

 125. Comment by emme kivumbi on March 5th, 2011 9:29 am

  we lov ur perfomance mdada.

 126. Comment by emmanuel kivumbi on March 5th, 2011 9:32 am

  we ni dj wa ukwel. naposikiliza kipindi najifeel like AM THE TOP OV THE WOLRD.yereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 127. Comment by SAMWEL on March 13th, 2011 8:15 am

  OYA MDAFADA UMEOLEWA ? KAMA VIPI MI NIMEKUZIMIA KAMAVIPI NI CHEKI KWENYE 0766458935 MPE HI B12

 128. Comment by ADAM BONIPHACE on March 28th, 2011 9:06 am

  hakuna na hapotoke kama wewe yani dah!!!!!!!!!!!!
  we bonge duuuuuuuu then unjua nini unafanya. dah big up dada.

 129. Comment by doja williams on March 29th, 2011 8:41 am

  we ni mnomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 130. Comment by omary ally on March 29th, 2011 3:44 pm

  fetty eeeeeeeeeeeh we noma mtu wangu, kama vp tupe zile za ukweeeeeeeeeeh!

 131. Comment by mbogamasoli on April 13th, 2011 2:27 am

  big up atown city mak8ini and paaaaaaaaaaaaaa

 132. Comment by bandikabandua on May 4th, 2011 8:52 am

  nakufagilia kazi yako ila daaah badilika bana me unavojiweka ka dume wakati we ni shistito cjapenda

 133. Comment by Rose Lyimo on May 5th, 2011 10:41 am

  Dada nakukubali upo juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! komaaa mule mule

 134. Comment by Rose Lyimo on May 5th, 2011 10:43 am

  Dada piga kazi, aminia!

 135. Comment by Chano on May 9th, 2011 4:04 am

  Gud job mwanadafada. Rharraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 136. Comment by DEEP DOWN on May 9th, 2011 1:38 pm

  Ebwana FETTY unakimbiza mbayaaaaa,big uppppp

  kaza butiiiiiiiiii

  from DEEP DOWN

 137. Comment by musami on May 14th, 2011 12:28 pm

  kweli we ni DJ mzuri lakini tatizo hupigi nyimbo za injli,,kama hauna nikuletee.

 138. Comment by Sahani on May 27th, 2011 10:29 pm

  Eban unatisha hasa kwny hot 3 Ya 3.keep it up mam

 139. Comment by florance hizza on May 31st, 2011 9:32 am

  kuhusu kuwa dj bora wa kike, mh i doubt coz i have never heard of ur maujanja kwenye turntable, and is jus a pc of advise tht u hv 2 bhave like a lady meeen, au do u think ukjiweka tom boy ndo inalpa zaid, u don luk like a boy at all, so jus try 2 b u and not sm 1 else,ucwaige cc p,salama j etc,coz wao @least wanafanania,but u, i don think so,tafakari na chkua hatua.

 140. Comment by costantine au KB a.k.a KTM on June 10th, 2011 4:58 am

  hallo mambo vipi fetty najua haina majoto ni mimi hapa costantine kutoka musoma tanzania kutokea nyasho naomba wimbo wa berry9 nilipe nisepe nasalimia rafiki zangu wa kitaa wa kwanza ni merck,pius,issa,benas na wengine wote nasema haina majoto mwanangu msalimie baba john.

 141. Comment by costantine au KB a.k.a KTM on June 10th, 2011 5:07 am

  naitwa costantine nasoma shule ya sekondari makoko day form three nasalimia machizi wangu wakiwa nyasho wa kwanza ni merck,pius,issa,na fiki au benas press play nilipe nisepe kutoka kwa berry9.

 142. Comment by jackie faddy on July 18th, 2011 9:06 am

  hi sicy. am jack.niko arusha, naxul st jude and am talented in utangazaji and manymore am 16yrs old. plzneed your help or ideas am in facebook also just check jackie faddy mbwambo.thanx

 143. Comment by DJ IMA KAPANGA on July 26th, 2011 7:18 am

  katika ma dj bongo 4 sure mm nnakukubari mbaya m2 wangu kama vip poa coz nilipita kwa facebook

 144. Comment by avat on August 7th, 2011 1:09 pm

  big up girl i like what you’re doing in the studio.let all haters get fucked off!bst wishes…!!

 145. Comment by Mudy kalla. on August 11th, 2011 4:02 pm

  Haaii fety unatisha jombaa we ni noma an i like da way uaa love uuu baby braaaaaaa!

 146. Comment by Ahmadi magimba on August 16th, 2011 5:38 am

  Hiiii…? Ni maoni yule diva kipindi kizuri ila abadilike amsikilize misana kiukweli diva anauza sauti kipindi akina mvuto peke
  Yake by.

 147. Comment by Alex Joachim on August 21st, 2011 3:23 pm

  kupenda kazi ya m2 tena mwenye mafanikio kama yako ni rahisi sana lakini si rahisi kwa m2 kama huyo kufanya kama wewe hivyo acha wwe uendelee kua wwe and still b hi just like your

 148. Comment by Kuruthumu aka kay on August 30th, 2011 6:15 am

  Hey i apriciate u, from kutangaza , ujasiri na hata udj. U rock, ur the best! Respect sweetie!!! Kuruthumu rock ct!!!!!!!

 149. Comment by costantine paschal on September 16th, 2011 7:37 am

  Naitwa costantine paschal kutoka pande za musoma mara tanzania haisee upo juu mtu wangu najua haina majotloooooo kabisa.

 150. Comment by DJ JACO -ARUSHA on September 21st, 2011 9:02 am

  FEHE AR U STILL DJ TILL NOW? COZ CJAKUCKIA MIXX ZAKO KITAMBO DADA, TELL ME………

 151. Comment by steve on September 27th, 2011 7:30 am

  oi..inakuaaaje we dj kwefere….ebwaa me nakuku bali sana kwenye machine…pia kwenye game ndio kwere kabaisa…every nawaza day 1 nije fanya ngoma na ww…ww mkaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

 152. Comment by steve on September 27th, 2011 7:35 am

  mi nko pande za wagum R CHUGA(tengeru)tunafanya gemu mbaya dadaa…matrak yako yakutosha…kundi le2 linaitwa PINDAZ ARMY….mail ye2 ni merufuture@yahoo.com

 153. Comment by Dj stibe on June 22nd, 2012 6:21 am

  nakukubali dj mwenzangu

 154. Comment by minja ze don on July 21st, 2012 7:55 am

  uko juu Djfetty

 155. Comment by Ally hussein on August 23rd, 2012 8:03 am

  mambo vip uko bomba ilembaya nataman hata kunaniiiiiiiiiiiiiiii

 156. Comment by mlekenyiantony on November 14th, 2012 7:22 am

  vipi mreshe ukojuu kama kishada iam from kenya nimekuwa nikikusikiliza live from clouse fm since i was young big up mwanafada.

 157. Comment by faddy daddy on January 17th, 2013 12:39 pm

  NAKUKUBARI SANA MY DADA DJ FETY…MUNGU AKUBARIKI EWE NA CLOUDS WOTE

Leave a Reply