PICHA YA WIKI # 5

 

Twisted Palm Tree

Picha ya wiki hii ni hii ya mnazi uliopinda. Ilipigwa Zanzibar mwezi wa kwanza mwaka huu na Terence Weston. Swali gumu ni kwamba utaukwea vipi mnazi huu?

Tungali tunakaribisha picha kwa ajili ya zoezi hili la “picha ya wiki”. Kama unataka picha yako iingie kama picha ya wiki tutumie kupitia bongocelebrity at gmail.com.

Page 1 of 3 | Next page