
Picha ya pamoja ya wafanyakazi na watangazaji wa Idhaa ya Kiswahili BBC London. Mmojawapo ni Charles Nkwanga Hilary (Mzee wa Macharanga) ambaye takribani mwezi mmoja uliopita tulifanya naye mahojiano ya kina. Unaweza kuwatambua wafanyakazi na watangazaji wangapi kutoka katika picha hii?
Picha kwa msaada wa Saidi Yakubu, mtangazaji wa Idhaa hiyo na pia mwanablog.
Feedback / Comments
4 Responses to “BBC”
Leave a Reply


sending...
Hiyo caption ya picha ya BBC neno la kwanza ni la lugha gani?? Mbona watu hamuachi aibu?????? GROW UP!!!
Hii!!!!!!! BBC waswahili Team kubwa mno!!!!!
lakini hawatuwakilishi vizuri katika fani ya
utamaduni wa sanaa na mziki kwa hadi leo mziki wa
kiswahili haupo mbele!?kwani wataalamu hawa wangechangia kwa kiasi kikubwa kutangaza utamaduni
wa sanaa na miziki wa kiswahili lakini wapi?
ingekuwa poa kama mngetutajia majina yao manake tumezowea kuskia sauti tu.Kiu ingekatika kama tungewajua na kwa sura pia,sio sauti tu
Haya ni mambo ya kawaida kwa watu kukaa pamoja na kwa furaha kwani hapo shida iko wapi??? Hiyo ni kumbukumbu murua