Comments on: “UHUNI NI TABIA YA MTU”-AISHA MADINDA.

By: faoma medi
asha  mimi namkuombea  mugu namugu atakujalia yayo kuja yamekuja na yameshapita kilamtu  duniani  anamakosayake unajuwa wapiunakweda  wapi unatoka sawa dada mimimmweyewe niko na makosa  duniya sasa hakunamtu anategemea  kusaidia mtu nikutaka kucheka watu email yagu hiya  unahitajimsada nikotayari niko taya  sitaki kitu chachote kwako rudikwamugu atakujalia dada asha

By: ashmak amir
nimekubali nicheki mi

By: marambi
hivi wewe nahisi haupo fiti kiakili hivi watoto wako watakufikiriaje mi naomba uokoke mungu atakusamehe

By: lema
tuko pamoja

By: madiya
lakini aisha lisemwalo lipo hasa ili swala la madawa ya kulevya inawezekana unatumia kwani wasanii wa bongo ndo kilishakuwa chakula wengine mpaka wamechakaa na kuporomoka kisanii sababu ni madawa lakini ukiwauliza wanakataa mfano R.M aka B.STN napenda sana kazi zake lakini alishaharibikiwa na madawa ukimuuliza anagoma

By: leyla kipingu
Mambo uko wapi?? nimekuniss sana mtu wng ktk wasichana wanaocheza vizuri wewe no wine naomba nijue ulipo big up AISHAA………..

By: yang jimmy
kwa kweli aisha ni mzuri sana  unachangia umri wake ni mdogo sana

By: E.R.K
sio kosa lako

wanasema yana mwisho, za mwizi arobaini

mbio za sakafuni huishia ukingoni

nihayo tuu dada yangu utajuta baadae sana

wakati is too late

By: sang samo
sio kosa lake na kila mtu anakazi na utafutaji wake

By: edwini
bado swali langu ni kwa hao watoto,je,ni wa mchumba wake huyo wa sasa kwa maana walizaa wakati wakiwa wamekubaliana kuja kuishi pamoja au alishazaa na mwanaume mwingine.

ila kwa maswala ya muziki,ushauli wangu nikwamba akaze buti na mafanikio atayapata maana kila kazi ni kazi ilimradi inakuingizia kipato.Na ajaribu kuwa na heshima kwa mume wake maana atambue ya kwamba umahaarufu ni pale tu unapokuwa unaonekana na siku ukifulia maneno utaaanza kusikia ya kashfa.kikubwa heshima kwa mume wake ni muhimu.mfano muumini alivuma na sasa haonekani tena na maneno mengi juu yake yamekuwa yakisemwa na si kwa uzuri bali kwa kashfa.

ahsante.