Pichani ni kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu, Papa Benedict wa 16 na raisi Jakaya Mrisho Kikwete walipokutana kwenye makazi ya kiongozi huyo huko Vatican hivi karibuni . Kuna habari kwamba Papa Benedict amekubali mwaliko wa Rais Jakaya Kikwete kuitembelea Tanzania katika ziara yake anayotarajia kuifanya hivi karibuni katika nchi za bara la Afrika. Pata undani wa habari hii kwa kubonyeza hapa.

Feedback / Comments

5 Responses to “PAPA KUZURU TANZANIA”

  1. Comment by Dinah on October 23rd, 2007 6:45 am

    Nilikuwa sijaoina hii;

    Baba mtakatifu asante kwa ktumwagia misifa Tanzania lakini ukweli kisiasa TZ ni nchi yenye amani lakini ki “imani” watanzania wengi hawana amani (wanachuki, roho mabaya na wivu) labda utafute namana kama kiongozi wa Kanisa la RC ya kuwajaza waumini na watuwengine amani mioyoni mwao ili waishi maisha marefu yenye furaha.

    kutokuwa na amani moyoni(hasa chuki) ni utumwa……

    Karibu sana Bongo Pope Benedict :-)

  2. Comment by mbise on November 15th, 2007 8:04 pm

    jk, naamini kuw aunajua uko na kiongozi mkuu wa kanisa katoliki, ni vizuri ukipata ushauri, wa kuendelea kutumikia taifa vyema, bila chuki na hasira.

  3. Comment by sanji on November 16th, 2007 12:32 pm

    jk, all the best maliza mwaka salama, zingatia ushauri wa watu, natumaini umejifunza mengi kote ulikopita duniani, na watu uliokutana nao.

  4. Comment by sanji on November 16th, 2007 12:34 pm

    Umepewa mkono wa baraka, ni vizuri ukiwabariki watu wote unaokutana nao, sehemu yoyote.

  5. Comment by sanji on November 16th, 2007 12:37 pm

    kwa miaka miwili madarakani, je ni yapi mabaya ulifanya kama kiongozi, kwani kila mtu hufanya makosa, je uko tayari kujirekebisha, ili kuendelea kutumikia wapiga kura wako, na taifa lote.

Leave a Reply