Comments on: DR.REMMY ONGALA

By: Daniyli Gubula
Nyimbo “Siku ya kufa” ni nyimbo namba wan! Lakini nyimbo “Sukuma” ni nyimbo nzuri wilewile. Nakumbuka sana Remmy alikaa nyumbani yangu kule Mbugani, Chuo Kikuu cha DSM.

Danyeli

By: SALUM
SASA MOMO WEWE NDIO UMEMPA HUO URAIA AU ULIKUWEPO ALIPOPEWA HUO URAIA.MBONA WENGI WANAO URAIA WA TANZANIA LAKINI SIO WABONGO. AU UNATAKA MFANO? NELSSON MANDELA. SASA SEMA MBONGO YULE?AU HUJUI TAFAUTI YA MBONGO NA MTANZANIA? MTANZANIA YEYOTE ANAWEZA KUWA AKIFUATA UTARATIBU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI. LAKINI MBONGO MPAKE UZALIWE HAPO.SASA HUKO NDIO KUNUKA ROHO MBAYA? AU NDUGU YAKO?.

By: momo
Well, Wa bongo mna nuka roho mbaya mtu akiomba uraiya na akipewa yeye ni raia. Kiufupi ongala ni mbongo kama amepewa uraiya yeye ni mbongo, Asilimiya ya watu ulimwenguni ni wahamiaji so what? nini midomo ya chachu inaleta malumbano. Huyu mbomgo ametutangaza katika kipindi chake na sote tuli mkubali. kwa kipindi hichi muacheni awaburudishe walio okoka kwani maisha ni mafupi hatujuwi lini na siku yake. well mr ongala I Im still having your tapes and I miss new songs from you. labda unaweza kutowa albamu moja na wana muziki wakizazi kipya kabla ya kifo chako. kanisa?

By: salum
KWNZA WALA SIO MBONGO HUYO.

By: noel
BWANA ASIFIWE SANA,SONGA MBELE NA YESU, ILA ONGEZA BIDII KTK KUTOA INJILI KWA NJIA YA UIMBAJI KAMA MWENZAKO CHIDUMULE, DUNIANI HUKU HAKUNA DEAL USIKAE MBALI NA COSMAS AKUPAGE USHAURI ILI USONGE MBELE

By: Gandu
Mbona Remmy ! unatoa historia ya Uhongo?

wakati wewe unasema umeokoka! na huku unaongopa?

(a) umezaliwa katika kijiji cha Kindu kule Bukavu?

upande moja wa wazaziwako ni Mmanyema na upande wa

pili ni Mmayoke!

Ulipozaliwa unasema ulipewa jina la Ramadhani Mtoro

yaani mtoto alezaliwa na meno

Kutokana na maelezo yako ya majarida mbali mbali ya siku za nyuma!

(b) Ulipokuja Tanzania kwa mara ya kwanza kutoka kwenu

ulikuwa (bitoz) mzuri mwenye nywele fupi katika miaka 19975

hata picha zako za siku za nyuma zinaonyesha hivyo!

Sasa hapa ukisema kuwa ulikuwa na nywele ndefu kwa sababu ya ushauri alipoewa mama yako kutoka kwa mganga wa kienyeji! kidigo unadanganya!

Kuanzia miaka ya 1980s ndipo ulipoanza kuweka Rasta… na kabla yako kuna yule mpiga gitaa wakowa mwanzo Kassongo mliyekuwa naye makassy ndiye aliyeweka rasta

Jaribu kuwa mkweli wewe sasa unamwimbia bwana…ALELUYA

bwana Ramadhani Mtoro Ongara Karimagonga ukifika

Kindu,Uvila na Kalemi tusalimie

By: Joji
Namwunga mkono Colin (N 7).

Hasa zile nyimbo za zamani zitafanya Dr Remmy atakumkukwa kwa miaka mingi, au niseme daima na milele. Yeye mwenyewe aliimba : ‘Muziki sio uhuni’. Muziki wake – hasa zile nyimbo za kabla ya kuokoka kwake – ni zawadi kutoka kwa Mungu!

Dr Remmy Ongala alikuwa nabii. Lakini kama manabii wa kweli aliimba jangwani… Nasikitika sana wimbo wake bora zaidi ‘Mambo kwa soksi’ ulipigwa marufuku na mpaka sasa haupatikani kwenye CD.

By: hombiz
Wewe maya65 hii ni kwa ajili yako

Uraia wa kuandikishwa, raia wa nje atapata uraia wa Tanzania wa kuandikishwa kwa kuomba kwa Waziri mwenye dhamana ya uraia na pia ombi lake liwe limekidhi masharti yote ya kisheria ambayo ni:-

- Awe amekaa nchini mfululizo kwa kipindi kisichopungua miaka 10;

- Awe ni mwenye manufaa kwa Taifa kiuchumi, kisayansi, kiteknolojia, maendeleo ya jamii au utamaduni;

- Awe na uwezo wa kuongea kwa ufasaha lugha ya Kiswahili au ya Kingereza au lugha zote mbili;

- Awe ni mwenye tabia njema na alipojitangaza kwenye gazeti hakutolewa pingamizi na mtu yoyote; na

- Baada ya kupata uraia aonyeshe utii kwa nchi na nia ya kuishi nchini muda wote.

Hayo ndio matakwa ambayo Dr.Remmy Ongala ameyatimiza na kufanikiwa kupata uraia wa Tanzania.

By: Mie
Mwl. Ngumbudzi Freddy unapenda kufahamu waimbaji wa injili Tanzania? karibu http://www.strictlygospel.wordpress.com

Ubarikiwe sana

By: Mwl. Ngimbudzi Fredy
Mpendwa Remmy,

Binafsi ninakupongeza kwa kumrudia Mungu na kuamua kumtumikia yeye siku za maisha yako kwa njia ya uimbaji.

Nakutakia baraka zake Mungu na namwomba yeye akujalie afya na nguvu ili kupitia uinjilisti wako watu wengi wamrudie. Ikimpendeza yeye upite sehemu mbalimbali nchini ili utoe ushuhuda wako kwa wengine. Pita mikoani na vijijini kaseme Mungu anakusudi nao. Imba mpaka waisikie sauti yake Mungu.

Bwana anakupenda sana Remmy.

Ubarikiwe sana.