
Kwa walio wengi,jina la Flaviana Matata linapotajwa, kinachokuja mawazoni ni yule mrembo wa kitanzania mwenye “upara” ambaye aliiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss Universe huko Mexico mapema mwaka huu na kujipatia sifa kemkem duniani kote.Lakini kumbe Flaviana naye hutokea akawa na nywele ndefu? Picha inajieleza na ndio picha yetu ya wiki hii.Picha hii pia nadhani ni kielelezo kizuri kwamba picha za “black and white” bado zina mvuto wa kipekee!
Picha na Issa Michuzi.
Feedback / Comments
14 Responses to “PICHA YA WIKI # 7”
Leave a Reply


sending...
Sio upara tu ana komwe pia…Otherwise she’s OK…I mean OK n’ no exaggeration…
Hivi wewe Tanzania Dream huja wahi kuona makomwe nini mbona una msingizia msicha wa watu bure
Kwa kweli urembo wa huyu mwanamke mie siuoni kabisa, akiweka kipara zero akiweka nywele ndo kabisaa sifuri.
Kama uzuri unapatikana katika jicho la atazamaye, huyu mwanadada mzuri sana katika jicho langu.
Kila la kheri katika maisha yako Flaviana!
Mpangilio wake wa meno ya juu ni mzuri. Kaza buti ktk shughuli zako za Urembo/mitindo.
Hamna mpangilio wa meno mzuri wala,wala uzuri unapatikana jichoni,kama mtu mzuri mzuri tu na kama mbaya mbaya tu wote tutamuona, but she is no pretty at all huyu halipi kabisa.
Lakini watu hamna pema jamani na mmezowea kusema vitu vya ajabu! Mtoto wa watu ana ubaya gani? eti she is no pretty!! kwa kigezo gani acheni ushamba na maneno bwana! Flaviana ua the best mamaaa pull up your socks.
she is beauty….
Kanyaga twende Flavi…wewe ni bora..sina zaidi ya ilo.
Usitishwe na maoni ya watu..ndio uhuru wa blogu..
Tupo pamoja tembea kwenye maneno na future plans zako.Almighty Jah atakuwa nawe…
Duuh kweli wabongo bwana tunapenda vilemba vya ukoka sasa huyu dada ana uzuri gani????I said she’s Ok meaning Ok not otherwise naona wabongo wale wale mamluki wa Richa Wamehamia hapa….
Nway uzuri wa kumulika na tochi sio uzuri…Uzuri lazima uwe first impression ya sura ya mtu otherwise ujue umepotea….
Liepukeni Giza vijana maana unatokakwenye jua unakutana na chumba giza mwanzo huoni kitu mwisho taratibu unasma macho yamezoea….Hali ikiwa hivyo jipeleleze inawezekana sana huo sio mtaa wako….AMEN
She is beautiful,she look so natural esp akiwa amenyoa kipara.
hongera zako bibie, kwa kuitangaza nchi, endelea kuhamasisha vijana, kupunguza chuki kati yao.
mzuri kuliko nancy sumari
Watu wengine bwana wanasumbuliwa na chuki binafsi, mtabakia hapo hapo tu angalia alipo Flaviana sasa, awe mzuri au mbaya umepungukiwa nini katika maisha yako????? Kifupi Flaviana ni mzuri hayo mengine usiyasikilize.