Comments on: ALI HASSAN MWINYI

By: Hamsi
Mzee wetu Mwinyi,alikua MTU WA WATU.

Mwenyezi Mungu azidi kumtia nguvu,ili awe mshauri wa Marais vijana wanaochukua hatamu ya Uongozi.

By: GEOFREY
HAKIKA MWINYI HAUTASAHAULIKA KAMWE KUTOKANA NA KUTOKUWA NA UBINAFSI WOWOTE WA RASILIMALI ZA TAIFA.WATANZANIA WANALIA KUSTAAFU KWAKO.HAKIKA INGEKUWA RUKSA KUGOMBEA TENA TUNGEOMBA URUDI UTUBADILISHIE NCHI YETU IMEKUWA SI YETU TENA BALI YA WAGENI.

By: wa morogoro
wewe ni baba wa maendeleo,ukuwa na roho mbaya,uli tu encourage to reach our potential,tuende popote duniani kutafuta ridhiki,tumeenda  na tumeona tofauti kati yetu na sehemu nyingine duniani,na hiyo imetufanya tufanye kazi kwa juhudi kwa kuona tofauti ya nchi yetu na nyingine,Pia nakwita wewe ni baba wa Media,vyombo vya habari ulivifanya kuwa huru,i thank u ALI HASSAN MWINYI.U HAVE BIG PLACE IN HISTORY OF OUR COUNTRY.AND THANK U FOR ALL CHANGE U MADE IN OUR COUNTRY.

By: eddy
mheshimiwa president,kazi uliyoifanya ukiwa president watanzania hawatakusahau,na alikuwa pres,bora waliowahi kuiongoza nchi yetu,nq aliongoza nchi yetu kwa kila mtanzania hakuchagua wapi unatoka,na una rangi gani,alikuwa pres kwa watanzania wote,na nakupa hongera sana enjoy pension yako,god bless him.

By: chakubanga
hii history yake ina utata angalia jinsi alivyosoma shule ya msingi ni miaka mitatu tu kitu ambacho ni kigumu sana andikeni ukweli mwinyi alikwenda zanzibar hakuwa mdogo kama ilivyoelezwa na wala hakwenda na familia yake alikwenda kutafuta maisha (kulimia mashamba ) pale zanzibar ndipo aliposaidiwa na wenyeji na kumpeleka shule na alikua ni kijana mdogo anekadiriwa miaka 11.

By: steve mbobo
Ndio alhaji pole sana kwa kuvunjiwa heshima na mjukuu wako,ila ujumbe wameupata mambo yote kwa sox, vijana wa siku hizi wanapenda sana kuonyesha ufundi kwa mabinti ndo maana hawataki condom sasa waambie watakufa kama wanapenda kupiga stereo,ufundi muonyeshe mkeo,vaaeni condom vijana nchi inawategemea nyiyi!!!

By: salum
MIMI ALICHO NIKASIRISHA AKUMSAMEHE YULE MTU ALIYEMPIGA KIBAO. ANGEONYESHA UTUKUFU WAKE KWA KUSAMEHE! YEYE NI MUISLAM KUSAMEHE NI BORA MBELE YA MWENYEZI MUNGU

By: Abu Salum (Baba Ally)
Shikamoo Baba Mdogo,

Ni matumaini yetu kwamba wewe ni mzima wa afya njema. Utakapo kujua hali yetu, sisi na mama, hatujambo pamoja na matatizo ya hapa na pale ktk familia.

Dhumuni la barua hii baba mdogo ni, pamoja na mambo mengine, kutaka kukupa malalamiko yetu ukiwa ndiye baba yetu tuliyekabidhiwa kwako na marehemu baba.

Awali ya yote, baba mdogo, napenda kuchukua fursa hii kukushukuru kwa dhati kwa kipindi chote tulipokuwa ktk uangalizi wako ukiwa msimamizi wa mirathi kama ulivyoteuliwa kuisimamia ktk kipindi ambacho tulikuwa bado hatujapevuka kusimamia urithi wetu wenyewe sisi watoto wa marehemu kaka yako.

Baba mdogo, ahsante sana kwa jinsi ulivyotulea kwa wema, sisi watoto pamoja na mama, baada ya kukabidhiwa kusimamia mirathi.

Mimi, mama na wadogo zangu tunakushukuru sana kwa uaminifu mkubwa uliotutendea ktk kutunza mali yetu ya urithi hadi pale kaka yetu mkubwa alipopevuka na ukamkabidhi kwa haki, huku ukimuusia kaka atulee vizuri na atutendee uadilifu. Tunakushukuru sana na tunakuombea kila la kheri.

Baba mdogo, pamoja na kumkabidhi kaka mkubwa urithi wetu kwa niaba yetu, bado tunaamini kwamba wewe ni baada ya baba yetu, hivyo una wajibu wa kutusikiliza na kutuamua pale tunapohitilafiana.

Baba mdogo, mimi na wadogo zangu, tunaleta malalamiko yetu kwako dhidi ya kaka na dada zetu wakubwa ambao ulitukabidhisha kwao ili watulee kwa wema na kutupatia fungu letu la urithi pindi tupevukapo.

Malalamiko yetu ni kwamba, ndugu zetu hawa wametusaliti. Wameuza mashamba baba aliyotuachia hivyo hatuna mahali pa kulima na kupata chakula. Tunateseka kwa njaa na tunaishi kwa msaada wa majirani na marafiki wa marehemu baba. Hata sasa wahisani hao wameanza kuchoka na kutuona kero.

Na hata kile kisima cha maji alichokichimba marehemu baba ili tupate maji ya kunywa, pia wamemuuzia yule jirani yetu aliyekuwa na ugomvi na baba akitaka kumdhulumu baba shamba lake alilomuazima alime ili apate chakula cha kulisha wanawe wakati alipohamia kutoka kwao kwa madai madai kuwa kwao hakuna amani.

Hakuna mgawo wowote waliotugawia kutokana na mauzo ya shamba letu la urithi japokuwa wameliuza bila kutushirikisha na bila ridhaa yetu sote kama wanafamilia wenye haki. Na hata huduma za msingi tunazostahili kupata kutoka kwao kama vile chakula, mavazi, matibabu na ada za shule wamesitisha.

Baada ya mauzo ya shamba letu, kaka wakubwa na kina dada wakubwa wakagawana fedha yote na tunasikia kupitia kwa majirani kuwa kila mmoja amejenga nyumba yake ktk maeneo tofauti kule pembezoni mwa bahari ya Hindi na watoto wao wamewapeleka Ulaya na Marekani kwa masomo hali sisi tumefukuzwa shule kwa kukosa ada. Baba mdogo, si unajua hata hizi shule zetu za Kata kuna ada ya kulipa japo ni kiasi kidogo?

Basi baada ya kuhamia ktk nyumba zao, polepole wakaanza kupunguza kufika nyumbani na sasa hawafiki kabisa.

Pamoja na hayo, hatukusikitika sana kwa sababu angalau walijali kutuachia nyumba iliyotusitiri kwa malazi. Hata pale tulipokosa ufadhili wa chakula kutoka kwa wasamaria wema, tuliweza kujilalia kwetu bila watu kuona aibu yetu.

Lakini baba mdogo, kwa taharuki kubwa, jana alifika nyumbani kwetu Mwuungana mmoja akiongozana na askari, akatufahamisha kuwa tunapaswa kuhama kutoka ktk nyumba yetu kwa madai kwamba yeye ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo kuanzia muda huo kwani tayari amekwishapatana na kaka mkubwa kuuziana nyumba yetu. Lakini akasema kuwa kwa vile bado wanavutana kidogo ktk bei ameona ni vema atupatie taarifa mapema ili tujiandae kuondoka kwani anasema ni lazima wataelewana bei kwani fedha kwake sio tatizo kwa vile anaihitaji sana nyumba hiyo, hivyo atatoa fedha yoyote.

Baba mdogo, kaka wakubwa na kina dada wameamua hayo bila hata ya kujali hali yetu sisi wadogo. Baba tutakuwa wageni wa nani???

Tafadhali sana baba mdogo mpendwa, tunakuomba upokee malalamiko yetu sisi watoto wadogo wa marehemu kaka yako, kwani ndugu zetu uliwapa dhamana ya kuilea familia wameamua kuisaliti familia.

Tunaamini kuwa wewe una uwezo wa kulitatua hili kwa vile huwa wanakusikiliza sana.

Ni mategemeo yangu pamoja na wadogo zangu kwamba utalipa suala hili uzito unaostahili.

Wasalaam,

Yatima

Watoto wa marehemu kaka yako.

By: Mjololo Ng,ughuya
Namtakia mema mzee wetu,Mzee Ruksa,katika utawala wake alifanya mambo mazuri sana,mwanadamu siku zote hajakamilika,mzee amezeeka mwombeeni baraka na kheri.nami ninamwombea.

Naitwa Mjololo Ng,ughuya

Arusha

By: Zous
Kuna kijana mwenzetu ambaye ameeleza hapo juu kwamba Rais mwinyi hakufanya la maana ila alilete “inflation” kama alivosema.Kama yeye ni mtaalamu wa kiuchumi namwambia hivi…one of the characteristics of observable inflation is(and its the major one) people wont be able to spend as normally they spend that will result of no money circulation in the particular area.Sasa atuambia kipindi cha mwinyi watu walikua hawatumii au bei ya vitu vilikua ghali???

Nadhani ndugu yetu ni moja kati ya wafuasi wa mahasidi wa nchi yetu mana kipindi cha Mkapa tulidanganywa kwamba nchi ilikua na madeni ndio mana pesa nyingi zilitumika kulipa madeni…(UONGO ULIOJE!)

Sasa kwa taarifa yako madeni yaliolipwa nchi hii ni only 30% na pesa zilitolewa na wahisani ndio wakuu wetu wa nchi kipindi cha mkapa waliojinufaisha nazo na ukweli ndio tunauona sasa.My brother open your eyes and talk sense.I only blame Mwinyi for what he did to Zanzibar He left the country while was in crisis and he did NOTHING till this day im writting this article.