
Mtangazaji maarufu wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na pia radio ya Magic FM, Nick Ngonyani hivi karibuni alichukua “jiko” jijini Dar-es-salaam na hivyo kuyaaga rasmi maisha ya ukapera.Pichani mtangazaji huyo (kushoto) akivishwa pete ya ndoa na mkewe aitwaye Nunuh Kamugisha. BC inawatakia maisha mema ndani ya ndoa.
Picha kwa hisani ya Global Publishers.
Feedback / Comments
11 Responses to “BYE BYE UKAPERA”
Leave a Reply


sending...
congrats nick tunza jiko kaka..maisha mema katika ndoa yako.
hongera sana ila jamani makeup mmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh
Hongera sana kaka.Nakutakia maisha mema.
Hongera sana Nick na kila hri katika maisha yenu mapya ya ndoa.Mmependeza sana.
Nick kweli umependeza sana na Mkeo. Sasa mjitahidi kujitunza sana na ninafurahi pamoja nanyi.
Mungu awape mapenzi ya milele na kifo ndio kiwatenganishe kama mlivyoapa mbele ya Mungu.
Nice couple, all the best in future!
Nick Baba umemaliza mambo yako lakini?
kasafari karefu na kagumu kaka, “Alichokiunganisha Mungu…”
Kila la kheri kaka
Hongera kwa uamuzi mlio fikia kaka maisha ya ndoa yataka msimmo na sio kushikiwa akili na marafiki chunga sana marafiki utajajuta.Happy Joy in your marriage life.Keep god first.
Hongera sana Brother Nicky … former
Bunge Primary Classmates under Abdala Lugusha , Josiah Malonga , Ajelando Sindanoo ,Lulu , Mathew Nsemwa etc… chini ya mwalimu Mkali Mrs Kajiru
All the best
Mark , Japan
mmm mmependeza ila bibi harusi alikuwa anumwa tumbo au?
Bigup mzazi,dats wat othr pple xld copie frm ya,ww ni mfano bora