YAPO WAPI MAPENZI-AKUDO IMPACT

Kufumba na kufumbua wiki nyingine imefikia ukingoni. Simu za viganjani na maofisini zipo “bize” .Ni mwendo wa miadi tu;tukutane wapi,tuelekee wapi tukapate moja moto,moja baridi, nyama choma nk.Maisha.

Wimbo wa leo ni kutoka kwa Akudo Impact wakishirikiana na Christian Bella,bendi inayotingisha jijini Dar hivi sasa. Ukiwa jijini Dar usiache kwenda kuwaona wana Akudo Impact. Wimbo unaitwa Yapo Wapi Mapenzi. Usikilize kwa makini hususani wanaposema “ Ukisikia nimekufa,usiweke msiba ila sheherekea kwa sababu una roho mbaya.Kosa gani lisilosameheka…?”. Ijumaa Njema.

 

Audio clip: Adobe Flash Player (version 9 or above) is required to play this audio clip. Download the latest version here. You also need to have JavaScript enabled in your browser.

Wimbo huu umeletwa kwenu kwa hisani ya Pius Pius Mikongoti kutoka ndani ya Kuala Lumpur- Malaysia.

Page 1 of 3 | Next page