DINA MARIOS

 

Pichani ni mtangazaji Dina Marios wa Clouds FM. Kwa wale wasiotambua,huyu ndio hivi sasa anakalia kiti alichowahi kukalia Marehemu Amina Chifupa enzi hizo kabla hajajiingiza kwenye siasa.Dina Marios anaendesha kipindi cha Leo Tena kinachorushwa na radio hiyo Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saba mchana.

Picha kwa hisani ya MichuziJr.

 1. Matilda, 06 November, 2007

  Yap pic ni nzuri sana.Dina umetulia, ila bongocelebrity mbona hakuna maelezo yoyote kuna picha tu tuwekeeni maelezo yake jamani na naomba mtuwekee na Fina Mango napenda anavyofanya kazi yake ya Utangazaji.

 2. babu, 06 November, 2007

  sure fanya kweli ufanye interview na fina mango tujue historia yake napenda sana ubunifu wake na hasa kwente p breakfast

 3. Yassie, 06 November, 2007

  Anavutia, napenda pua yake kama kasomali flani vile…mnisamehe.

 4. mesa, 06 November, 2007

  jamani nauliza hivi huyu ndio dinah anaemiliki glob ya mambo fulani? dada mzuri na sura ya mviringo

 5. Dinah, 06 November, 2007

  Hapana sio mimi…:-(

 6. january, 06 November, 2007

  poa mdada yaniiii umetoka ile kichizi, yani we naoni hutumii jiki, keep it up

 7. sinzia, 06 November, 2007

  Mtoto ametulia….anamvuto….kwa kifupi analipa…..lakini sisi tulio mbali na nyumbani bado tunamis matangazo ya clouds fm….mtatuwekea watangazaji na vipindi vyao…lkn kwakuwa hawapo kwenye internet sisi inakuwa tunakosa huondo wa vipindi vyao. BC mtafute boss wa clouds fm na umuhulize kama anao mpango wakuingia kwenye internet ili nasi tufaidike.

 8. Peter Muthamia, 07 November, 2007

  Damn! Out of the blues, I was tepted to open this site. Dina is no doubt one of the best anchors in Tanzania. I have been hearing her on radio, but it has never occured to me that she is as sexy as her voice on the Radio. In future, i would like to have photo on the Sunday Citizen Style column. She is cute!

 9. Bob Sankofa, 07 November, 2007

  Clouds FM ni noma, Amina alipotoka pale kuingia kwenye siasa wakatafuta huyu dada ambaye kama asingekuwa anajitambulisha kipindi kinapoanza wasikilizaji tungeendelea kuamini kuwa mtangazaji bado ni Amina. Sauti mulemule mwanangu! Naona hata sura inaelekea kule 🙂

  Dada Dina anapiga kazi poa sana pia, napenda sana story zake za Leo Tena. Poa sana dada, Poa sana Clouds FM.

 10. Mr T, 07 November, 2007

  Hmmm… You are just simply sexy. I know you’ve heard the compliment before but it’s ladies like you that make grown-azz men want to cry… LOL

  hey emael me, aafricanmasai@yahoo.com,
  Cincinati, OHIO

 11. hamis peter, 07 November, 2007

  manbo dina natamani sana nikuone lakini nashidwa kwa sababu nikohuku napenda sana uwe rafiki yangu napenda sana sauti yako napenda ulivyo napenda sura yako naomba tuwasiliane dina mimi naishi huku uk united king dom hiyo

 12. hamis peter, 07 November, 2007

  nambayangu ni+00447964306454 uk

 13. lady rose, 08 November, 2007

  halo dina mambo vipi napenda sauti yako kweli ukitanganza utafikili marehemu amina chifupa kweli wewe ni nomaaaaa kaza buti mtu wangu keep it upppppppppppp

 14. Mr T, 08 November, 2007

  hey miss i’ll be Bongo the upcoming holiday…
  i mean it….. please reply

  aafricanmasai@yahoo.com

  cincinati Ohio, US

 15. Mchizi Noma, 08 November, 2007

  Clouds FM ni noma,Inaweza kumtoa mtu from no where kama kawaidayao akipewe trainning ya ndani kwa ndani asiyee we acha tuuu kama utani utani lani moto juuu wasikilizaji wana suuzika na roho yao na wakianza pia kupiga debe kwenye matangazo biasharako hata kama ni mayai viza yatanunuliwa kichizi, cha muhimu Dina wewe ni kujiaminisha na kukaza buti la kiainayake ili uwe mtangazaji bora, siyo bora mtangazaji.Naona hata sura inaelekea kule kwenye utangazaji cha muhimu mwanangu ukisikia shule piga kitabu ili uwe mtangazaji bora na mwenye elimu bora, mwisho narudi kusema kaza buti kisawasawa.

 16. veronica, 08 November, 2007

  mathee you look sooo good i like the way you heat on the radio, and you know what mathee i like your hair style if you dont mind is that a wig or weaving if is the weaving please were did you shonea it, and if is the wig where did you buy it i like it so much i would love also to look mwaaaah.
  big up mama, i like your kipindi dispite nakuwa kazini but never miss my phone do me the best

  take care mama and congrats

 17. folo, 08 November, 2007

  uko bomba dinna

 18. mpembuzi, 15 November, 2007

  picha tu imekaa vizuri, mmeshamuona alivyo? niulize mie jirani yake.

 19. SWEET, 20 November, 2007

  HAYA WEYE JIRANI YAKE TUAMBIE ALIVYO????

 20. KIANE, 20 November, 2007

  MI NSHAMUONA ANA MAKALIO KIAINA NA NGOZI YAKE MASHALA CHOCOLATE

 21. Emmy[mza], 20 November, 2007

  Hallow dinnah. Umetoka sex tatizo kila picha zako nazozion ziko half. Naomba BC mtuwekee picha ya dinnah full halafu msisahau kufanya nae Interview.

 22. Emmy[mza], 20 November, 2007

  Bc tunamuhitaji pia salama jabil.

 23. liven, 29 November, 2007

  asalaamu aleykum dada dina upo juu mtu wangu,, nakuombea kipaji chako kiendelee tuu!!
  nakufeel kichizi yani dada yangu!! big up kwa kundi lote la LEO TENA,, kila la kheri
  CHEERS N STAY BLESSED

 24. Xecool, 24 April, 2009

  Da! Kumbe ndo upo hivi! Nilikuwa natamani sana kukufaham bt i need to meet u live i mean face to face wth me. Da, sister uko poa ile…. First ur voice is unexplainable….ur so cute sweet keep it up!

 25. Rasheed Suessy, 17 June, 2009

  Hi hope you doing fine back on me im ok,napenda kukupongeza kwa uwezo wako wa kuongoza kipindi niko south Africa nakisikiliza ktk internet lakini natamani siku 1 niwe Tanzania home nikusikie vizuri.kila la kheri

 26. christina, 05 August, 2009

  Hello!u look lovely lol.
  hv that kiss from me gal
  Mwaaaaaah.

 27. liz, 11 September, 2009

  ur so creative Dina more than late Amina!!! congrat’s!!! i like leo tena, kitchen part session!! keep it up mdada!!its me liz

 28. Kilalajr, 29 October, 2009

  Kweli anavutia ni na mwanamke mwenye sura ya kiafrika!

 29. kaka ricyeg, 21 March, 2010

  Dina umeolewa???sije kawa wanahudumia tu ukichoka sasa utatambua uongozi!!

 30. 2ma, 19 May, 2010

  ur so cute n u got a nyc pitch kipt up gal!

 31. jangu, 04 June, 2010

  No! kwa mtazamo wangu, na kulingana na mwonekano halisi wa picha, naona Dina ni binti wa kawaida tu, siyo mbaya sana, na wala siyo mzuri sana. Nimependa hali ya upole aliyoivaa kwenye pozi, si kama wengine ambao automaticaly tungeona titizii,pajijoz, na hata vitovinhoz.Na pia slantheight ya picha imesaidia sana kukutoa hivyo.Hongera sana ila punguzeni matu….kipindini.Yeaaaaah..

 32. leila, 04 June, 2010

  Ni kweli Da Dina ni wa kawaida tu. Halafu mbona mi naona kuna kujipamba kwenye hii crosssection ya picha yake?

 33. january, 15 July, 2010

  guys,she is just a normal gal,honestly what she and the rest of her group doing in not extra ordinary.i think the radio program is pathetic, lets get serious on matter of natiaonal’s utmost important. so many blah blah blah ghosh!!

 34. Said, 15 September, 2010

  Dina upo poa nakutakia kaznjema mungu akutangulie.Lakini profile yako ipo shallow sana umeolewa,unafamilia/watoto elimu na issues kama hizo.Bt ure so good ma sister.

 35. John casmir, 24 September, 2010

  Kudadeki! siamini kama Dinna ni mzuri kiasi hichi.Nilikuwa nakuchukulia labda ni sauti, ila, dah i feel to drop my H2o.So amazing.

 36. juma nassoro, 28 October, 2010

  bayaaaaaaaaaa hakuna dunia nzima lol.. ptuuuuuuuu mwaniharibia cku 2

 37. juma nassoro, 28 October, 2010

  ucje lia bureee shost we mzuri bwana lol vp umeolewa kama bado kie nko tayari hta ukitaka gari na nyumba mahari ntalipa.. lukin gud mama..

 38. salva, 30 October, 2010

  mmmmmmmhhhh ur so beautiful…napeda ulivyo

 39. salome, 02 November, 2010

  duna upo juu sauti yako na sura yako vinaendana.big up ma sister

 40. Pembe sufiani, 01 December, 2010

  Dada mi nakukubali na kazi zako!mwanzo mwisho!!!

 41. JOHN, 01 March, 2011

  MCNG U DINNA
  NINMEGUNDUA NAKUPENDA MANAKE ULIPONYOA MYWLE NILIHIC NDO UMEPENDEZA BT HATA SASA UPO POA SANA !
  POLE SANA NA SAFARI YA MWANZA

 42. avinrose, 07 April, 2011

  yaan dada kiukweli napenda the way unavyoendesha kipindi hasa pale mnapokuja katika nyumbani kwetu leo na hekaheka kiukweli sipendi kuwamiss hata kwa sekunde n kuhusu ua photo umefanana na marehemu AMINA CHIFUPA kAZI NJEMA

 43. muhsin, 13 April, 2011

  Dina napenda jinsi unavyo endesha kipindi piga kazi mrembo usiogope maneno ya mjini huyo anayesema wewe ni wakawaida ana matatizo ya macho akapate kikombe cha bubu

 44. bertha, 30 May, 2011

  mambo dinnah,u lock gal.ni hivi best kuna jambo limenikera kwa roho nimefanyiwa mimi,ukiwa tayari nikwambie let me knw linaweza kuwa mjadara mzuri kwenye kipindi cha leo tena maana mi ni msikilizaji mzuri wa leo tena.big up best

 45. clara elias, 10 August, 2011

  hi! yaani napenda kipindi chako na uko juu unatangaza vizuri yaani cjui unalitambua hilo?

 46. amanda, 27 September, 2011

  umependeza,uko unique napenda unavyojiheshim.

 47. Faraja, 15 October, 2011

  Dina uk xafi xana, japo kla m2 na mtazam wake( ukizingatia wa bongo weng hawapend xema kwel) bt in general uk pouw. Mn u a xo beautiful

 48. Babu, 17 October, 2011

  Actually Dina ni mrembo anaenivuti sana. Napenda anavyotangaza na sauti yake imepoa kabisa, akickeka basi ndio balaa. Keep it up Dina “umeketi kwenye mawingu wala huna shakaaa sauti ya hali ya juu unapendwa na watuuuu.”

 49. Hussein, 28 October, 2011

  Dah…..mi nakukubali sana dada angu. keep it up….in other words ur an iron lady.unaweza halafu unajiheshimu

 50. moses k, 24 February, 2014

  imetulia, uko poa sana

Copyright © Bongo Celebrity