Comments on: KWA KINA NA SULTAN TAMBA.

By: FAD FADIA
Kk TAMBA kwnz hongera kwa kazi zako nzr na saport ulioitoa kwa wasanii wa filamu hapa nchini…Mungu akubariki sana…nilikuwa naomba mng kila cku anikutanishe na ww ili nipate mawazo yako,kifupi mm ni film & script writer na pia ni Director wa filamu mpya ya AMBISION na m2nzi wa LAST PROMISE ambazo zote zinakaribia kuingia sokoni,nina filamu nyng zilizokamilika zote ni prt 1 $ 2 zenye script zaidi ya 50 lkn cjajua niazie wp au nizifanyie nn naomba msaada wako/mfadfadia@yahoo.com/0653011313

By: Peter Tarimo
Nakupongeza sana kwa uwazi wako ila ningeomba kufahamu zaidijuu ya mmiliki wa ile filamu ya girlfriend,mbona ukimsoma Shigongo naye hudai ni ya kwake?na ni kwa nini ulihama globalpublishers?

By: masai,MD
elimu ni muhimu jitahidi ujiendeleze

By: hans
nasoma sana hadithi zako kaka, na kuna kupindi tuliwasiliana kuhusu kutumia hadithi nyingi na mambo ya kishirikina na ulinijibu, lakini kwa kusoma mahojiano haya nimekuelewa na nakupongeza sana. kikubwa ni kukazania sana urudi shule kutokana na hii interview nimeona wengi tuna matatizo na elimu, hivyo kama inawezekana jikusanye vizuri uende tena south africa kusomea mambo ya filamu kiundani, nina uhakika miaka michache ijayo utakuwa mtu muhimu sana nchi ktk sekta ya filamu. big up ndugu yangu

By: maryciana
we zaina seif..eti ‘wacezaji’ .. ‘ucezaji’ ni kwamba hujui spelling za kiswahili au ndio kiswangrish?

By: zaina seif
mahojiano mazuri sultan na kazi yako wow! ila me ninaushauri kuhusu movies mnazo tengeneza ingekuwa vizuri wacezaji [waigizaji] wangekuwa wamesomea kazi hiyo. kwa sababu wengi wao huwa wanaharibu kimavazi na hata ucezaji pia! inakuwa kama wanajitahidi kuiga sana, kwa kifupi waelimishwe na pia waongozaji na wasimamizi wawe makini wanapo kuwa wanatengeneza movie. kwa sababu wakati mwingine mnawaweka watu kwenye movie kwa sababu ya umaharufu wao 2 na sio waigizaji wazuri kabisa. big up sultan kheri na baraka kwenye kazi  yako

By: hombiz
Fanya kila jitihada ulejee shule ndugu Sultani. Kwa tathmini yangu ya haraka haraka,nimebaini kuwa ukiongeza elimu ktk mambo haya ya uandishi na sanaa ya filamu na uigizaji kwa ujumla, unaweza kuwa mmoja wa wazee wa fani hii wanaothaminika sana barani Afrika na Dunia kwa ujumla. Kipaji unacho. Kiendeleke kaka.

Kila la kheri ktk kazi zako.

By: Dinah
Mahojiano mazuri, nimefurahishwa na uwazi wako

Ila bwana Tamba huoni kuwa kwa “waandishi” wa udaku wakisoma na kuwa na taaluma ya uaandishi wa habari (za maana ktk jamii) hakutakuwa na maana ya udaku?

Udaku ni umbeya….kuzungumzia, fuatilia mambo na maisha binafsi ya watu(ambayo hayakuhusu) na kufanya hivyo huitaji kusoma bali uwezo na muda wa kufuatilia mambo hayo.

Kama ilivyo tofauti kati ya “waandishi wa habari wapiga picha” na “paparazi” (wadaku wa picha).

Kila lililo jema ktk shughuli zako.

By: gasto
Tamba huyu ndo yule sangoma ama?

By: Tarimba
Mahojiano mazuri.Sultan ameonyesha kukomaa kimawazo aliposema wazi kwamba elimu zaidi inahitajika kwa waandishi na watengeneza filamu.Kila la kheri Sultan.