Duniani zipo familia za wanasiasa,wanafasihi,wacheza mpira,wanamuziki,mabondia nk. Familia ya akina Zohrro wao wanaweza kudiriki kusema ya kwao ni familia ya wanamuziki.

Pichani kutoka kushoto ni Maunda Zahir Ally Zohrro(kushoto), Banana Zahir Ally Zohrro(katikati) wakiwa na mwanamuziki mwingine wa muziki wa kizazi kipya,Mwasiti, wakiwa katika picha ya pamoja hivi karibuni. Maunda na Banana ni mtu na dada yake. Wote ni watoto wa mwanamuziki mkongwe nchini Tanzania, Zahirr Ally Zohrro. Maunda na Banana ni miongoni wa wanamuziki wanaotarajiwa kutumbuiza katika nusu fainali za Tuzo za Ubunifu wa Mavazi (RAFDA) zinazotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki.

Picha na habari hii kwa hisani ya Ahmad MichuziJR.

Feedback / Comments

10 Responses to “MUSIC FAMILY”

  1. Comment by Edwin Ndaki on November 8th, 2007 3:36 pm

    Banana Zohorro kazi zako nzuri sana.Kaza buti kanyaga twende..

    Walisema mtoto wa nyoka ..ni nyoka..no commect..

    Kanyaga twende..napenda sana NIKO RADHI…

  2. Comment by ZeMdau on November 8th, 2007 11:28 pm

    Sasa hao, Mtu na Dada yake KUSHIKANA hivyo ndo nini!?!
    Ndo Uzungu au Maendeleo?
    Dumisheni mila na miiko yenu ya Kiafrika bwana msilete za kuleta hapa!

  3. Comment by Nice on November 9th, 2007 1:44 am

    Jamani kwani kushikana hivyo mtu na kaka yake kuna ubaya gani we “zemdau’ una mawazo machafu sana sijui tukusaidieje

    Banana Zorro I personally LOVE the way yo sing na jinsi unavyojibidiisha katika zai zako za mziki

    Pia nimependa video yako ya ‘WE MAMA KUMBENA’
    GOOD WORK ! KEEP IT UP!

  4. Comment by folo on November 9th, 2007 1:36 pm

    i like the guy

  5. Comment by Cindy on November 9th, 2007 4:14 pm

    I like the guy tooo he is my tz idol keep on doing ya thing!!!

  6. Comment by Dinah on November 9th, 2007 5:02 pm

    Safi sana! Banana unajua kuimba na unasauti nzuri sana ya kiume.

    Ila ninyi na Wabongo wengine tujifunze tofauti za kukumbatiana…..mkumbatio huo unaleta utata.

    Nakumbuka mkumbatio wa JK (raisi) na Mh AshaRose alipokuwa akimpongeza…utata mtupu.

    Huenda baadhi ya watu mnaweza kudhani kuwa sio Utamaduni wa Mtanzani….sio kweli.

    Kule kwetu kanda ya kati kaskazini magharibi kusini mwa Tz :-) tunakumbatiana isipokuwa baba na mwana ndo tunapeana mikono na kubusu sehemu ya nyuma ya mkono…..natumani kuna makabila mengine pia wanakumbatiana…..ila tu, ni vema kujua tofauti namipaka ya kukumbatiana ei?

    Mwisho mzuri wa wiki.

  7. Comment by ANNA ULOMI on November 10th, 2007 6:16 am

    BANANA UR WORK IS GOOD.NAKUFAGILIA.KEEP IT UP!!!!!!!!
    TUNALETA POSA HATA KAMA TUKIMKOSA……….

  8. Comment by KijanaMzuri on November 12th, 2007 6:07 pm

    Mwasity u look sexy, n ur voice is one of the best so far, but i dont like ur lyrics ,its too maadili for ur beautiful voice.

  9. Comment by Jackie O. on November 12th, 2007 8:06 pm

    That guy in da middle be looking like he a pimp or sumthing (he aint even all that)… but the gurl on the right kind pretty….. gurl on the left NOPE! sorry but da should cut her out she made the pic. go bad!

  10. Comment by Rodney on January 16th, 2008 4:02 pm

    Yes Maunda you are beautiful can I be Bananaz bro in law?

    Mdau, Sweden nikisaka nondo.

Leave a Reply