FARAJA KOTTA-MISS TANZANIA 2004.

 

Takribani siku 16 tu zimebaki kabla mrembo mpya wa dunia hajapatikana.BC bado inaendelea na mfululizo wa kuwakumbusheni warembo waliowahi kuiwakilisha nchi yetu katika mashindano haya ya urembo wa dunia.

Pichani ni Faraja Kotta,Miss Tanzania 2004,ambaye alituwakilisha mwaka huo katika Miss World iliyofanyikia huko huko Sanya-China linapofanyikia shindano la mwaka huu tarehe 6 December 2004.Faraja Kotta alizaliwa tarehe 6 Mei 1985 jijini Dar-es-salaam.Baada ya kutumikia taji lake alijiunga na Chuo Kikuu Cha Dar-es-salaam kusomea sheria.

Katika mashindano ya mwaka 2004,jumla ya nchi 104 zilituma wawakilishi wao mwaka huo.Taji la mrembo wa dunia mwaka huo lilienda kwa Maria Julia Mantilla Garcia kutoka Peru.

 1. Kimori, 15 November, 2007

  She is still looking great! Congratulations lady!

 2. Koku Marshi, 15 November, 2007

  She is cute, intelligent and very charming,kama hakuamini njooni mabibo hostel…keep it up babie!!

 3. mshua, 30 November, 2007

  Kwa kweli i dont even know what to say abt this gal. She looks like a very nice person as a friend or sister but as a miss kwa kweli hapo sijui. I dont see anything in her, she’s just there i mean normal nothing special. Sorry if im wrong im only judging the picture labda ilipigwa vibaya.

 4. Reg…, 30 November, 2007

  Faraja;

  mi sina neno napita tu kusalimu…ila nywele za kununua sizijazipendelea sana. Zakwako natural hazikuvutii??? au???……….

 5. suzane, 08 August, 2008

  mtu asikukwaze gal ua ril hot i luv ua lyf style wsh i were you

 6. momba, 10 October, 2010

  kweli Lazaro anapenda umaarufu…… kwa tabia za lazaro Nyalandu, huyu dada hakumpendea uzuri hata kidogo! kafata umaarufu wa kuitwa kaoa Miss. just simple

 7. safina, 10 October, 2010

  ama kweli waswahili walisema humu duniani usililie uzuri lilia bahati……..here i see what does it mean.

 8. zombozo baraka, 03 June, 2011

  sh’s beautifully but she has roho mbaya kabisa

Copyright © Bongo Celebrity