

Kama ilivyo kwa Richard,kinadada wawili waliobaki na Richard mpaka mwisho ndani ya jumba la Big Brother Africa II, Tatiana kutoka Angola na Ofunneka kutoka Nigeria, nao wako “bize” wakiongea na vyombo mbalimbali vya habari kuhusiana na mlolongo mzima wa show hiyo ambayo kadiri siku zinavyozidi kwenda,hata baada ya shindano lenyewe kufikia tamati na Richard kuibuka mshindi,bado linaendelea kutawala mazungumzo na vichwa vya habari hususani barani Afrika.
Ukitaka kusoma anachokisema Tatiana(pichani juu) bonyeza hapa na ukitaka kupata kutoka kwa Ofunneka (pichani chini) bonyeza hapa.
Page 1 of 3 | Next page