MY TANZANIA   |   PLACES TO GO   |   MEDIA   |   ONLINE ENTERTAINMENT    

 

Vijana wanaoitwa wa “kizazi kipya” siku hizi wameamua kufuata mfumo wa burudani wa uhalisia kwa kuanzisha bendi zao na hivyo kutoa burudani “live”. Mmojawao ni Khalid Mohamed a.k.a Top in Dar(TID)

Pichani ni TID(mbele aliyeketi) akiwa na bendi yake nzima ijulikanayo kama Top Band.Bendi hii hupiga muziki wao kila jumamosi ndani ya Nyumba Ya Sanaa iliyopo pembeni ya Movernpick Hotel jijini Dar-es-salaam.

Picha na habari hii kwa hisani ya MichuziJR.

Share and Enjoy:
  • Digg
  • Sphinn
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Mixx
  • Google Bookmarks
  • email
  • LinkedIn
  • Live
  • Spurl
  • Technorati
  • Yahoo! Buzz
  • YahooMyWeb

Feedback / Comments

5 Responses to “TOP BAND”

  1. Comment by mbise on November 15th, 2007 8:01 pm

    tid, big up, tanzania is behind you.

  2. Comment by Ally on November 16th, 2007 9:02 am

    Big up bwa mdogo!!!!

  3. Comment by Ally on November 16th, 2007 9:02 am

    Ila uache kuiba nyimbo za watu!!mpaka jina la nyimbo kachaa hii sasa imekaa vibaya.

  4. Comment by sanji on November 16th, 2007 12:25 pm

    big up sana, naona mko kwa pozi nono, tid, endelea kuwakilisha tanzania, na kutuburudisha sisi, watanzania, bila jeuri.

  5. Comment by jayzz Mwampetha on January 7th, 2008 10:48 pm

    Hawa jamaa wajitahidi sana, lakini hicho KINANDA kinatia aibu sana maana hiyo ngoma ni kama toy,wengine wanafanyia mazoezi nyumbani hata bei yake ni very cheap, hivyo wambieni wasizowee kupiga nacho picha (snape) mbele ya kadamnasi, mnatutia aibu tu, gush!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Leave a Reply