Hivi sasa yamebakia masaa machache tu kabla ya fainali za shindano la kumtafuta mrembo wa dunia (Miss World) zifanyike huko Sanya nchini China.Tanzania inawakilishwa na Richa Adhia.Shindano la mwaka huu ni la 57 tangu kuanzishwa kwa mashindano haya. Nchi 106 zikiwakilishwa na warembo wao 106 wanashiriki shindano la mwaka huu.

Kuna mambo 100 kuhusu Miss World 2007 ambayo tunadhani wapenzi wa masuala ya urembo wa dunia wangependa kuyajua.Bonyeza hapa ili uyasome.BC inamtakia kila la kheri Richa Adhia.

Picha kupitia kwa Issa Michuzi.

Feedback / Comments

17 Responses to “KILA LA KHERI RICHA”

  1. Comment by Tonni on November 29th, 2007 3:58 pm

    kapendeza hapo.. lakini anaonekana kama mtalii aliezimia vinyago vya kiafrica. I don’t know!! I am trying. I am getting there slowly slowly….

  2. Comment by Pope on November 29th, 2007 9:01 pm

    U HAVE MY BLESSINGS
    INSHALLAH U’LL MAKE IT.

  3. Comment by Doreen on November 30th, 2007 2:21 am

    Nyote njema huonekana mapema jamani,apa hakuna kitu chochote mayb miujiza ya mungu itokee.

  4. Comment by Zabibu on November 30th, 2007 3:57 am

    Acheni roho mbaya jamani hee, ivi mkimuombea dua nzuri afanikiwe kwani mtakuwaje. Na je akishinda mtasemaje sasa. Acheni hizo. Richa the crown is yours

  5. Comment by eddie on November 30th, 2007 4:41 am

    god have good plan for tanzania too, richa have my blessing may the God almigh protect u and any thing can happen.
    god is able.nakuunga mkono zabibu watu bwana ubinadamu kazi kweli, sasa akishinda mtasemaje?any way kila mtu na option zake, lakini jaribuni kubadilika so long as anaiwakilisha nchi yetu hatuna budi kumpa shavu…richad mwenyewe watu waliponda mwanzoni sasa hivi kashinda limewachweaaaa bg up my sisy zabibu.

  6. Comment by jackline on November 30th, 2007 11:58 am

    kwa kweli mlichagua wenyewe sasa mtapembua wenyewe mliona muhindi dili sasa nawaambia hata robo final hafiki kwanza mbayaaaaaaaa sana

  7. Comment by Mchina mweusi on November 30th, 2007 1:58 pm

    Paka sasahivi hajafika kokote kwani MISS GHANA kashashinda taji la TALENT,Mpo hapo wadau na kashaingia nusu fainali huyo alie tu alipendelewa huku tu kachukua mtoto mwenye rangi Nyeusi.MUNGU MBALIKI MISS GHANA GOOOOOOOOOOOOOO GHANA

  8. Comment by Nana on November 30th, 2007 2:01 pm

    Wale wote waliomtaka muindi wao mlie tu mambo MISS GHANA kashaingia nusu fainali sasa mtasema nini.

  9. Comment by Reg... on November 30th, 2007 2:36 pm

    Ilikuwaje akawa mhindi badala ya mbongo jamani????

  10. Comment by bong on November 30th, 2007 6:14 pm

    Miss Ghana was chosen purely on her “talents” not on beauty. Frankly, she is the ugliest out of all the African candidates. She is lucky she won the talent competition. Personally, I think Miss World Africa will go to either Angola or Ethiopia. My bets are on Ethiopia she is stunning.

  11. Comment by jackline on December 1st, 2007 2:59 am

    jamani ni kweli kabisa wabongo tumelala na hatutaendelea kamwe kweli hebu cheki badala ya kumchagua mbongo mwenzetu tumechagua muhindi utafikiri katoka shimoni kwanza kamekondaaaaaaaaa utafikiri halagi karudi tu tz maana kameenda kusindikiza wenzake

  12. Comment by mbaya on December 1st, 2007 3:33 am

    Heti mbaya wewe mzuri? ndio kashashinda kazi ya kubabaikia rangi tu.

  13. Comment by Mapunye on December 1st, 2007 4:06 am

    mi nahisi hawa mabwana waandaajiwa mashindayo ya urembo huwa wana interest zao binafsi, wamekacheki kahindi ka watu then wamekapaisha, sijui tunakwenda wapi

  14. Comment by Amina Feruz on December 1st, 2007 4:09 am

    Kama huwezi kuumba kitu usiseme kibaya, Mbaya kwa vigezo vyako lakini wenzio wamuona mzuri, huyo Miss Ghana ndiye Mwafrika hasa, uso mzito pua nene, sasa mnamsema mbaya, huyu mhindi naye mnasema mbaya. Huyo Miss Angola ni mchanganyiko hata kwenye details zake amesema.

    Sasa mnataka nini jamani, mhindi mbaya muafrika mbaya. Kaaazi kweli kweli! lakini sasa hivi hata mkilalamika na kukandya haisaidii kitu.

    Na nyie mnaosema eti angepelekwa mbantu mwaka jana alipelekwa kutoka TZ pure bantu woman Wema Sepetu, lakini naye hakufika popote. Sasa na huyu naye asipofika popote msimshambulie kwa sababu ya rangi yake! Kuweni waadilifu mumfanyie kama mlivyomfanyia Wema na warembo wengine wote walioishia hewani kasoro dada wa Kimeru aliyeibuka Miss Africa.

    Halafu mwaka huu hakuna shindano la mabara hivyo msijisumbue kusubiri miss Africa.

  15. Comment by LEO NDIO LEO « MWENYEMACHO DOT COM on December 1st, 2007 4:28 am

    [...] ya taifa lake na letu. Kuna vitu miamoja kuhusu Umalkia wa Urembo Duniani, unataka kuvifahamu? Bofya hapa uone vile blogu ya Bongo Celebrity [...]

  16. Comment by bong on December 1st, 2007 10:53 am

    Miss Angola is Miss World Africa! Not Ghana! If Ghana had not won the talent competition maybe Namibia or Ehtiopia would have given Angola some “real” competition for the Miss World Africa crown. The competition is rigged anyway China was a clear favorite to win from the beginning. Considering that the competition has been held in China for 5 years and China is hosting the Olympics next year, this was a good way for Miss World Organization to “give back” to China. Miss Tanzania is still a winner! She represented her country well and we are proud of her for breaking the stereotypes of African beauties (just as Angola did who by the way is not fully black either!). Mis Trinidad and Tobago who won the Miss World Carribean crown is of Indian descent too. People let go of RACISM and embrace INTERGRATION, its a part of globalization!

  17. Comment by Martin on June 8th, 2008 3:23 am

    Jamani wabongo sasa mnaanza kujenga ubaguzi mnaukataa uwakilishi Richa kwa kigezo kuwa na mhindi. Mnaanzia hapo kwa kumpaka mara mwembaba , ha mbaya na atafika popote na mengineyo mengi mabaya. Mpe moyo wa imani na matumaini panapo majaliwa anaweza kuwashangaza wengi. acheni hizo zenu

Leave a Reply