Kwa wale ambao hawakuwezi hapo jana kuona fainali za kumtafuta mrembo wa dunia hii hapa ni video ya utambulisho wa gauni la jioni(evening gown parade).Hapa unaweza kuwaona warembo wote 106 walioshiriki shindano hilo.
Feedback / Comments
7 Responses to “ILIVYOKUWA JANA…”
Leave a Reply


sending...
Yote maisha Richa…PAMOJAH….
Ngoja nisubiri ze sababuzi za kutofanya vema…
Bado itatugharimu karne kadhaa kwa stahili hii kufikia tu record ya Nacy wa Sumari ….
Salam kwa Lunde…na kamati nzima
Yaani tz so…
Naona hatuko serious na mambo haya ya urembo. Nadhani serikali ingesimamisha Tanzania kushiriki mashindano yaurembp kwa miaka mitano ili tujifue kisawasawa. Pole Richa!
alikuwa ana parade kama anaenda clinic
kulikuwa na kila sababu ashindwe maana kulikuwa kuna vimwana si mchezo pole richa ndio mambo ya mashindano
Mhh!!!hivi unafikiri watoto walivyokuwa bomba Richa angefika wapi????mimi nadhani ipo haja ya lundenga kujihudhuru kwa ridhaa yake mwenyewe vinginevyo tutabakia kuwa wasindikizaji.
Hoyce alitoa chozi kapendelewa wadau walichonga sana juu yake jamani ana uzoefu na hayo mambo na alijua hatafika popote, watu wakasema ni mbaguzi, no no no no hakuna cha ubaguzi ukweli ni kwamba Richa hakustahili kuwa Miss Tanzania…full stop.
huyo ms tz au mc india