
Picha ya wiki hii ni hiyo ya mandhari ya jua kuzama namna hiyo.Picha hii ilipigwa na Maggid Mjengwa huko maeneo ya Mikumi mkoani Morogoro.Kwa wale wasiofahamu,Mikumi ni mojawapo ya mbuga za wanyama nchini Tanzania.Ukiangalia vizuri picha hii utaweza kuona baadhi ya wanyama.Unawaona?
Feedback / Comments
One Response to “PICHA YA WIKI # 13”
Leave a Reply


sending...
Mjengwa ni mtaalam mzuri kwenye kuelimisha jamii kupitia kamera yake.
Hongera sana kaka MAGGID