
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange, akirejea katika jukwaa kuu mara baada ya kukagua gwaride la heshima leo katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Picha kwa hisani ya Freddy Maro.
Page 1 of 3 | Next page