MY TANZANIA   |   PLACES TO GO   |   MEDIA   |   ONLINE ENTERTAINMENT    

 

Pichani ni wasanii wa muziki wa kizazi kipya,Bongo Flava, Ilunga Khalifa a.k.a C Pwaa(kushoto) na Falid Kubanda a.k.a Fid Q(kulia).

Ilunga Khalifa (CP)ni mmoja kati ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye anakwenda na wakati kwa kuhakikisha kwamba anazitumia tekinolojia za kisasa vilivyo kwa manufaa ya kibiashara na kimuziki.Tunasema hivyo kwa sababu C-Pwaa kwa kutumia kamera ya simu yake ya mkononi anaendesha blog ambayo anaiita Simu Yangu Kamera.Unaweza kuitembelea blog yake kwa kubonyeza hapa.

Picha na MichuziJR.

Share and Enjoy:
  • Digg
  • Sphinn
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Mixx
  • Google Bookmarks
  • email
  • LinkedIn
  • Live
  • Spurl
  • Technorati
  • Yahoo! Buzz
  • YahooMyWeb

Feedback / Comments

8 Responses to “BONGO FLAVA NA TEKINOLOJIA”

  1. Comment by maya65 on December 10th, 2007 3:55 am

    Ok hatukatai teknolojia anayo lakini picha anazopiga kwente BLOG yake kwa kweli ni nyeusi sana na haziko clear..mimi nilikuwa sielewi kumbe anatumia simu
    nadhani hiyo simu yake haina flash!!!!
    mimi simpingi namfagilia tu ila naongea ukweli picha za blog yake ziko very DACK and UNCLEAR nadhani akisoma comment yangu atanielewa na pengine kunipongeza kwa kumpa ushauri wa bure…naitwa Maya65 au Dj Tom

  2. Comment by maya65 on December 10th, 2007 3:57 am

    napatikana kupitia ;present40stone@esnips.com

  3. Comment by Edwin Ndaki on December 10th, 2007 4:07 am

    Farid Kubanda aka Fid Q ukipenda muite mwanza mwanza.

    Tupo pamoja napenda sana kazi zako…wanashangaa wanapokohoa wakti mi sikohoi…

    Mwanzaaaaaaaaaaa mwanzaaaaaaaaaaaaa…

    pamoJAH

  4. Comment by Tarimo on December 10th, 2007 7:32 am

    Maya65,
    Kwa ujumla picha nyingi za kutumia kamera ya simu ya mkononi huwa zinakuwa sio clear sana.Lakini pia inategemea na screen resolution ya computer yako,angle na mambo kama hayo.Kwangu zionaonekana clear kabisa.Pamoja na hongera CP.Nadhani huyu ni msanii wa kwanza wa bongo flava mwenye blog,tena ambayo inaupdate japo kila baada ya siku.

  5. Comment by farida on December 10th, 2007 9:17 am

    jaman mambo mengine tuwe tunaangalia kuwa mwanamuziki sio kuwa rough tujifunze kuwa wasafi sometimes yaan huyo fid q hanivutii kabisa maana anaonekana mchafu sana sio siri mimi nimeshindwa kuvumilia kabisa.yaan kuna watu wengine wana rasta ila yaan wapo smat sasa wewe kabisa unanijijua una rangi kama yangu aafu unacha hayo mamnywele kweli inatkera sana.najua mtasema sana ila ukweli utabaki palepale.cheers

  6. Comment by mummy on December 11th, 2007 5:23 am

    Huyo CPWAA sijui simfagilii hata kidogo blog yake imejaaa kujisifia tena sifa za kijinga jinga tu.

  7. Comment by Matty on December 11th, 2007 5:58 am

    Ni kweli Farida Fid Q anakipaji safi cha kuimba ila hayuko smart kama wangine japokuwa si kwamba wanamuziki wote ni smart no…picha inatufanya tumwambie ukweli otherwise ana kipaji.
    Huyo, pwaa acha niangalie blog yake wajameni mmenifumbua jichoz.

  8. Comment by fanja on February 1st, 2008 4:12 pm

    hawa ni mapacha?naomba ufafanuzii.

Leave a Reply