
Mojawapo ya majina yaliyovuma sana katika ulimwengu wa soka nchini Tanzania,hususani miaka ya themanini, ni lile la Ahmed Abdulthabit Amasha(pichani).Ahmed Amasha alikuwa ni beki wa kutumainiwa wa timu ya Yanga ya jijini Dar-es-salaam. Mwaka 1984 Amasha alichaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka.Hivi sasa anafundisha soka huko Oman akiwa kocha wa timu ya Seeb SC.
Picha kwa hisani ya Mroki.
Page 1 of 3 | Next page