
Mtangazaji wa East Africa Radio na EA TV (Channel 5),Baby Kabaye au jina maarufu “Sister Dread”. Sister Dread pia ni msimamizi/muongozaji maarufu wa shughuli (MC).
Picha na Mroki(Father Kidevu)
Feedback / Comments
25 Responses to “MEET “SISTER DREAD””
Leave a Reply


sending...
Her name (baby just like man, toddler, mzee, dada, mkubwa, kalukulu, dogo, cheusi, cheupe, bibi, jomba, shangazi, mrefu etc ) is too general to identify a human being. The colours (purple, red, green, yellow, blue etc ) are too colourful to comprehend but looks gorgeous for in our land –Ukambani we like that.
Mkata Issue
I heard her back in 2003 when I was still in Dar over East Africa Radio and I didn’t expect that she could look such old!
Keep the ball rolling baby!
Sorry, nimzuri ukimuona live lakini hapo picha inaonekana amezeeka like 45yrs hivi au ni macho yangu?
Matty hii picha sio nzuri, ila nampenda sana huyu dada.
Kekuu Mambo!!!ni kweli even me i real like the lady ila picha imetoka sivyo ndivyo.
Huyu dada kwa sasa amejiachia sana,pia nadhani ana-kaugonjwa ka ngozi sasa,ule unaoambukiza kwa kuvaliana nguo zatz wai…
The camera NEVER lies.
MMh!
mzima kekue jamani huyu dada ni mzuri. hata mi nimempenda sana tu ametulia.
Matty mbona Dar nini sijui anasema camera never lie, mh!! aya sasa mimi nifanyeje lakini nampenda anavaaga nguo za heshima sana. Kuna siku nilikutana nae pale kitega uchumi yani alivyonisalimia he !!!haringi I realy lyke da girl.
Hi Sis’ Dread, Huyu dada ni mzuri sana Jamani, Truly African Pride, mie hupenda sana kusililiza EA Radio Especialy REGGAE ASYLUM utamtaka jinsi anavyo flow, anyway pic hiyo not those nice one i know of her, Her Voice is a music within many EA Radio Listerners!!
Nimesikitishwa sana na kipindi cha Ze Comedy cha tarehe 14/12/2007,walipomuigiza mwimbaji wa nyimbo za injili Ben Mwaitege huku wakivua nguo na kubaki na sidiria na sketi.Kwa hakika huku ni kuvuka mipaka.Madhumuni ya kipindi hiki kama sikosei ilikuwa ni kuelimisha jamii kwa njia ya vichekesho na sio kuipotosha jamii kwa kuigiza vitendo vya kumdhalilisha mtu katika jamii,au kuingilia imani za watu kwa kubadilisha maneno ya nyimbo za wokovu kuwa baamedi n.k.
Kama wameanza kulewa umaarufu,nawaasa wajirekebishe mapema kabla mambo hayajawaharibikia.Aidha nawalaumu viongozi wa kipindi,waongozaji,wahariri wa vipindi na uongozi mzima wa Channel 5,kwa kufumbia macho udhalilishaji unaofanywa na Ze Comedy na kuruhusu vipindi hivyo virushwe hewani.
Ili kurudisha imani ya jamii kwa wahusika,ningependa wahusika niliowataja waombe radhi kwa jamii iliyoathiriwa na vitendo vyao vya kidhalilishaji,pamoja na Ben Mwaitege mwenyewe hata kama hajawaambia kufanya hivyo,kupitia katika vipindi vyao vya Ze Comedy,magazeti na redio.
Na kuanzia leo,vipindi vyao vya kudhalilisha na kuchokoza imani za watu vikomeshwe.
Dar-Hotwired kakwambia nani kamera never lies??au hujawahi kupigwa picha? ikatoka ndivyo sivyo?
Kekuu afadhali huyo mdada kama halingi maana kuna macerebrities wengine bwana hata salamu yako hawaitaki wananiboa sana.
Yani Matty nilivyomuona nilisema liwalo na liwe lazima nimpe hi!! shosti alifurahi mwenyewe, nikamwambia napenda unavyovaa,unavyoendesha kipindi chako na unavyoongea du! alifurahi sana, ingekuwa kina naniii du!! anaweza akuangalie kuanzia chini hadi juuu alafu akakuacha.. tehe tehe sijui angenifanyia hivyo ningefanyaje, ingebidi nikauke kauuu!! Kwa herini!!!
ni mzuri sana huyu dada na anamaadili mema sana nampenda sana tokea zamani nikimwona katika TV hapo bongo.Endelea kuwa na tabia yako dada wengi tunakupenda.nakumbuka huwa anafunika kichwa chake wakati wote.you so beautifully baby keep it up.
Kekuu wangekuwa mashosti fulani fulani hivi wangekuchunia ila nampongeza kwa kuwa charming kwa kila mtu inapendeza,keep it up sister dread asingejibu ungekuwa mdogo kama piritoni nadhani kekuu bye bwana, vipi mkoloni hapiti hapo leo????
Yuko Uingereza leo ni full kujiachia
haaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!Kekuu wewe charming sana nimekosea hadi speling unanichekesha bwana nipe e-mail yako tuwe tunachat ila wadaku wakiiona hapa sijui hawatakubugudhi?
achana nao wakinisumbua nitabadilisha, kekuem@yahoo.com
Aminia Kekuu your strong woman hauogopi wazushi, thanks tutachat.
Mnachekesha, beauty is in the eyes of the beholder. Sijasema huyu dada ni mbaya hata mara moja. Ila tu nawafahamisha kuwa camera hutoa features kweli za mtu bila kudanganya. Kama ni mzuri sana mnavyosema, mbona picha katoka bom ?? Pengine zamani alikua kwenye chati, lakini hata Michael Jackson kaazeka na hella zake zote. Lmao !!!
Shamte,hao ze comedy walipowaigiza na kuwadhalilisha wapemba, mlifurahi sana namkaona ndio kuelimisha kwa kuburudisha..sasa hao vichaa ndo wanavuwa nguo sasa ngojeeni tu! na bado kama mlikuwa mnaona raha sasa mtajuwa kwamba mkuki kwa nguruwe…
Unajua sisi wenyewe tz ndio tunawaandikia mail ndio maana wanafanya ivyo utakuta kuna mtu kawaandikia mail na wao kama kawa wanapeleka hewani.Tusiwalaumu sana.Na sio lazima wamuige mtu kama anavyoimba au anavyoongea wanabadili kidogo sana ila ujumbe ndio umefika.Ni hayo tu.mshauri wa the Comedy.reen_minja@yahoo.com
I like Baby. She is a darling and for those who have an issue with her pic. It happens. Sometimes one may not be as photogenic as expected but aside all that. Beauty comes from within and damn this chic she is truely beautiful within and without and its flowing that everyone around her feels it. Baby please tell me your secret. I have not been seeing nor hearing about her lately. Where she at. I miss her. Anyone who knows her whereabouts or even her address. A reward to be given for anyone with info about her. Thanks.
Serious, guyz, If there is anything I like on Radio, its this lady when on Raggae asylum. She is real good.