Unaweza kumtambua huyu? Unajua yuko wapi na anafanya nini siku hizi?Msaada wa kupata jibu sahihi: Aliwahi kuwa mtangazaji maarufu.

Feedback / Comments

23 Responses to “NI NANI HUYU?”

  1. Comment by Angelina on December 18th, 2007 1:22 pm

    huyu ni bwana MIKIDADI MAHAMUDU, aliko na afanyacho kwa sasa sikijui.

  2. Comment by sum1 on December 18th, 2007 1:36 pm

    huyo ni bwana mikidadi mahamud sio???yuko wapi hivi

  3. Comment by Metty on December 18th, 2007 1:56 pm

    Huyu ni mdingi Mikidadi Mahmood, alikuwa mtangazaji wa TRD, halafu Radio One. Nadhani yuko ndani ya siasa kwa sasa.

  4. Comment by David Douglas on December 18th, 2007 3:20 pm

    Huyu ni Mikidadi Mahmoud a.k.a brother Mike……….
    Mnhhhhhhhhhhhh! sijui alipo wala sijui anafanya nini!!!!!!!!!!!.

  5. Comment by Edwin Ndaki on December 18th, 2007 4:31 pm

    Braza Miki kama sijakosea

  6. Comment by Chris on December 18th, 2007 4:49 pm

    Huyu ni Mikidadi Mahmoud.Alikua mtangazaji wa RTD (Radio Tanzania Dar Es Salaam), then akatangaza Radio One (na alikua kiongozi Radio One nafikiri).Then akajikita into politics kama Mwenyekiti wa CCM-Ilala,but alibwagwa uchaguzi uliopita wa mwaka huu July/August na Bwana Suleiman Kalanje.Baada ya huo mbwago sijui anafanya nini baada ya hapo,maybe rufaa,maana nafikiri alikata rufaa kwa kubwagwa kwenye siasa.

  7. Comment by Edwin Ndaki on December 18th, 2007 4:50 pm

    naona yupo na Chukua Chako Mapemaaaaaa…kabla hawajastuka

  8. Comment by Minja H on December 18th, 2007 6:10 pm

    Ni Mikidadi Mahmadu: alikuwa mtangazaji: Kwa sasa ni kada wa CCM

  9. Comment by kijiwe on December 18th, 2007 6:58 pm

    Huyo ni mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala Mikidadi Mahmoud.Alikuwa anafanya kazi redio Tanzania kama mtangazaji halafu akahamia Radio One akawa Mkurugenzi wa utangazi.

  10. Comment by Ally on December 18th, 2007 7:08 pm

    Duh hiyo kweli chukua chako mapema utafikiri brother Beny.

  11. Comment by bikidude on December 18th, 2007 7:16 pm

    Mikidadi Mahmoud huyo kaka

  12. Comment by timethief on December 18th, 2007 7:25 pm

    This is a test comment being made due to your forum post.

  13. Comment by Chacha on December 18th, 2007 7:42 pm

    Huyu atakuwa ni Mikidadi Mahmoud.Duh kweli chama kizuri.Kanona hivyo?

  14. Comment by ANNA GABRIEL on December 19th, 2007 3:15 am

    Waoh asanteni sana mie nilikuwa namsikia kumbe ndiye Mikidadi.
    Chukua Chako Mapema c mchezo maana ameridhika ile mbaya.Ushauri afanye mazoezi kukimbiza magonjwa.

  15. Comment by Kimori on December 19th, 2007 4:10 am

    Hivi kunenepa ni dalili ya afya njema?

  16. Comment by gaetano on December 19th, 2007 4:58 am

    i was about to forget him coz ametoka shavu c mchezo,ndio mjini hapa,chukua chako mapema unless other wise utakufa maskini,ni hayo tuuuuuuuuuu

  17. Comment by Matty on December 19th, 2007 5:08 am

    Kitambi Kizuri lakini kikizidi inakuwa soo!!!!!!

  18. Comment by any on December 19th, 2007 2:44 pm

    duu, kwa tafsiri zetu kijijini kitambi ni dalili ya afya, na sio ugonjwa. Weight watchers wameanza kuja tz kwa kasi ila its sad wenye pesa tz ndo wako ob! shame shame shame.

  19. Comment by David Douglas on December 19th, 2007 4:38 pm

    Jamani huyu mtu alikuwa na mwili mkubwa tangu yuko Radio one sio ccm wala nini!!!!!!!!!!……….Ameridhika tu na Bongo yetu………..

  20. Comment by ILU on December 19th, 2007 6:10 pm

    Ben Mkapa. lol

  21. Comment by Zero on December 20th, 2007 10:57 pm

    Huyu sio Jackob Zuma huyu jamani!?!

  22. Comment by Josiah on December 21st, 2007 6:07 am

    Huyu Mujeshimiwa ni mwana ccm na kwa sasa ni muwekezaji pia, anamiliki hotel ya kitalii katika mbuga ya wanyama ya Lake Manyara, kumbuka kuwa alizaliwa mto wa mbu village, kwenye foothills za rift valley wall, na hapo ndipo manyara ipo.. kwa hiyo kawekeza karibu na nyumbani kwake alikozaliwa…

    Hongera bwana mikidadi..

  23. Comment by Dave on December 21st, 2007 1:22 pm

    Braza Mik Mahmoud, yeye , Chaz Hilary na Chipoz ndo waliibeb Radio One late 90z.
    Jirani yangu wa zamani wakati naishi mitaa ya karakata Kipawa, nilikuwa namzimia sana mtoto wake wa Kike anaitwa Zuhra Mikidadi sijui hata yuko wapi siku hizi.

Leave a Reply