
Jina lake halisi ni Ramadhani Masanja. Lakini kwa mashabiki wa muziki nchini Tanzania,anajulikana kwa jina moja tu. Jina hilo ni Banza Stone.Amewahi kutamba na bendi kibao nchini Tanzania kama vile Tanzania One Theatre(TOT),African Stars(Twanga Pepeta) African Stars(Chipolopolo) na pia bendi yake ya Bambino Sounds. Alipokuwa TOT ilifikia wakati akawa anaitwa “Mwalimu wa Waalimu”
Alipokuwa Twanga Pepeta,wimbo wa Mtu Pesa ulimpa chati ya aina yake.Lakini swali kubwa ni je hivi kweli mtu ni pesa? Pesa ndio kila kitu hapa duniani? Hebu utazame wimbo huo hapa chini upate ujumbe.
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video
Page 1 of 3 | Next page