
Pichani ni mtangazaji na mwandishi wa kituo cha televisheni cha ITV- Tanzania chenye makao yake makuu jijini Dar-es-salaam, Stephen Chuwa, siku alipofunga pingu za maisha hivi karibuni jijini Dar-es-salaam.BC inawatakia Mr.and Mrs.Chuwa maisha mema ya ndoa.
Picha kwa hisani ya Mpoki Bukuku
Feedback / Comments
18 Responses to “MTANGAZAJI ANAPOPATA JIKO.”
Leave a Reply


sending...
Maisha mema na yenye baraka kwenye ndoa yenu.
nakupongeza pia kwenye kwenye fani yako upo makini sana na siku hadi siku unazidi kuja juu zaidi.
kazi njema Steven Chuwa….waaaaa aitiviiiiiiiiii
Hongereni sana Stephen Chuwa kwa kuamua kuuaga Ukapera.
Mungu Mwenyezi aliyekulinda na kukuongoza kuanzia ulipo zaliwa hadi leo, aendelee kuwalinda na kuwaongozeni Wewe & Mkeo na “Watoto” wenu muweze kuishi Maisha marefu yaliyojaa upendo na kusameheana katika ndoa yenu. Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Yaani we BC mpaka saa hizi saa 6.30 mchana(1230hrs EAT) we kalenda yako bado inaonyesha ni tarehe 8 tu?
We vipi?
mnapendeza sana hongera Chuwa kwa kupata Jiko
Hongereni!!!!!mmependeza sana hasa mdada unarangi nzuri…samahani msijesema na wabagua weupe no! nimeona nimpe sifa yake.
hongera chuwa mie jirani yako mikocheni chama
hongeraaaaa steven chuwaaa waaa aitiviiiiiii….
Kutoka itviiiiiiiiiiiiiiiii ni mimi steven chuwaaaa waa aitiviiiiii
mkaka smileeeeeeeeeeeeeee bwana, mbona umenuna, unamtisha wifi na hiyo serious look.! wifi mzuri sana, karibu wifi nyumbani!
si mchezo kaka stephen chua wa kule kule kilimanjaro.hongereni kwa kuondokana na ukapera kwani ni siku yako muhimu sana hiyo. kweli mmependeza sana. nawatakia maisha yenye baraka kwenye ndoa yanu.
Ni mimi stiviniiiiiiii chuwa wa itvvvvvv,hongera,nendeni mkaongezeke duniani kote.
Stiven chuwa wa itviiiiiiiiii, kiburudisho chako kina pozi balaaa!! hongereni sn.
Hongera sana kaka ninawatakieni ndoa yenye baraka amani na Upendo amin.
Sijui kaka wewe unaundugu na Theobard Chuwa maana nilisoma naye URU seminary sasa ni mamiaka mengi sana sijawasiliana ni mimi mdau niko Ughaibuni nikisaka nondo.
Kila la kheri kaka
KAKA STEPHEN HONGERA SANA.
BAHATI MBAYA SIKUWEPO, ILA NASIKIA HARUSI ILIFANA NA WADAU WOTE WA HABARI (ISIPOKUWA MIMI) WALIKUWEPO.
KARIBU KWENYE KLABU HII MAARUFU YA NDOA LIFE CLUB. WASIKUDANGANYE ETI WALIO NDANI WANATAKA KUTOKA NA WALIO NJE WANATAKA KUINGIA. SIKU HIZI NI WEWE TU NA MAHESABU YAKO. MENGINE PROPAGANDA.
mmmmmhhhhhh jaman huyo wifi wala sio mzuri kabisa sijampenda looooh!!!!!!
Hahaha michuzi bwana!!!
ama kweli Ling’ong’o si issue!!
Nimempenda sana huyo wifi yetu….yuko bomba
Janet acha hizo hukuii………kila mtu ameubwa kwa utukufu wa Mungu.Mbona Chuwa hajakuoa wewe?
Kila mtu na chaguo lake jamani….uwiiii…mkoje?
washikaji nawafagilia wote kwa maoni yenu . hili ni tukio la kihistoria kwangu kwa kuwa halirudiwi.
mzee michuzi pole kwa kutokuwepo ingawa tumewakilisha, ahsanteni na mungu aawabariki saaaana.
Siishi hamu kuangalia hii picha huyu kaka amefanana na BF wangu sana. Pozz zake, tabasamu lake na hata shape yake ama kweli duniani wawili wawili, ITV wasipomuonyesha kwenye ripoti huwa naumia sana isistoshe BF wangu yupo mbali nami.