Comments on: PROF.BENNO NDULU,GAVANA MPYA BENKI KUU.

By: julie
Meghji yumo kwanini akubali kudanganywa na Ballali? kwanini hakumuuliza katibu wake Mkuu, ambae ni muadilifu na smart?

alichukua hatua gani ya kinidhamu alipogundua Ballali ni mwongo na jasusi?

Mkapa alimtoa wapi huyu mwizi? ndie alimpa kichwa?

By: shally
hivi beno hataiba kweli au yeye hapendagi hela maana wabongo tunajuana tunamshangaa balal but all we are the same

By: Rodney
Ok. Kazi nzuri na walioteuliwa wanafaa kabisa. Kama Prof. Ndulu Muda mrefu alikuwa World Bank kwa hiyo ana uzoefu wa kimataifa. Sasa tunahitaji JK atwambie nini kitafuata kwa Balali na waliohusika kwani kumtimua tu haitosho inapaswa atiwe kizuzini na sheria ifanye kazi yake…..

Mdau Sweden nikisaka nondo.

By: Matty
Majita nimependa hako kasongi hapo chini kanatia hamasa sana ya kujua umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu (dhati iz why balali sijui dalali wa nyumba hakuwa isolated wakati wa kutake chake mapema.

Leo nimesikia na Patel tayari yumo kwenye hilo zengwe la BOT safi sana tunataka wote na sio kuwataja tu…pls rais wapelekwe njia panda ya segera(segerea) na united kingdom (ukonga) ili wajue watu hawataki upuuzi na nchi yao, wapinzani walivyokuwa wanalalama watu waliwaona wamechanganyikiwa leo aibu imewakuta PM, spika na wenzake.

By: Kekue
Majita aminia!!!!!!!!!!

By: Majita
Jamani Nyau wasu.

Yani hizi shida za huku Majita lazima nitachanganyikiwa tuuu na Maisha.Unacheza nini na ugali wa mhogo kwa maembe ya kupikwa.Nilikuwa namaanisha ile ya rafiki yake baba wa Taifa aliyokuwa anaingolea sana kwenye mikutano yake.Ile ya ya ya INTANESHINO MONETARI FANDI,si ndiyo IFM au kuna utofauti.Si unajua tena na ushamba ndg yangu.Ila simaanishi chuo cha usimamizi wa fedha.Kazi ipo.

Ndg Jobii watu hawakurupuki bwana kuongea.Anaekurupuka ni wewe,Spika ndg 6 na PM EL kwani nyie ndo mlikuwa mnataka kumshitaki Dr “SIRAHA” ya maangamizi kwa kutoa ushahidi feki wa BOT.Upo hapo???

Sasa hata kama Mr.Juma Reli ndo alikuwa Naibu wa Balali kwa muda mrefu wewe umesikia amefanyiwa nini.Au nae kaondolewa hapo BOT??? acha bwana.WATU WANA USHAHIDI NA WANAWEZA KUKUPA IDADI YA MAJINA YA VIGOGO WALIOPATA HUO MGAO NA KIASI CHA HELA KWA KILA KIGOGO.

Ndg Jobiii kumbuka kuwa makampuni mengi yaliyokwiba hela zetu hapo BOT yalifunguliwa mwishoni mwishoni mwa utawala wa balali & huyo ndg yako Ndulu akiwa ndani ya nyumba.

Dedication-mwimbo wa Banana Zolo wa “Byotii”

…Vipi kuhusu Buzwangi,yule binti wa Madini,acha yule “Byotii” mwenye mtoto wakoooo! Balali hazai peke yake,lazima kuna mwanamke (Msamehe) kuhusu huyo twini tawa twini twawa wa wengiiiiine.Mbona kigugumiziii…..

© Majita

By: jobiii1
Watu wanapupa ya kusema bila kuelewa. Ndulu amekuwa naibu BOT chini ya Mwezi mmoja. Juma Reli ndiye aliyekuwa deputy siku zote. Get your facts right kabla ya kumlaumu JK.

By: NYAU
Majita hiyo IFM u mean Institute of Finance Management or IMF? hah

By: Kekue
Matty kumtoa balali na kumuweka naibu wake jk kachemka, hivi c kuna uchunguzi unaendelea huyo Ndulu akibainika kuwa nae yumo? yani hapa jk asingemchagua mtu kutoka huko bot kabisa angemtoa sehemu nyingine, naungana na Lily hamuwezi kuwa Gavana na naibu wake mmoja afanye kitu mwenzie asijue!! Si wangeshaparangana??? lazima walikuwa wanashauriana na kushirikiana. He!!!

Na huyo Balali sijui dalali arudishwe hapa aje ataje wenzake na kufilisiwa kufuate mara moja ili hizo pesa zipunguze hayo mabilioni hapo jk kidogo atakuwa ameonyesha kasi na nguvu mpya,  na wenzake wote dawa hapa ni kufilisiwa kila kitu, sio kumfukuza kazi alafu aende akaishi na familia yake USA. Yani asiporudishwa hapa jk hapo ni sawa na kamstaafisha na mafao yake yote kapata. He wajameni hizo pesa ni nyingi mno!!!! Jk atath***tuuuu???????????????????????

By: John.
Sioni sababu ya kumpongeza J.K. Kwa sababu kilichofanyika hapo ni “Funika Kombe mwanaharamu apite”Kwa sababu hizo Pesa hakula Balali peke yake, amekula na Vigogo wa Nchi ambao wananyadhifa kubwa tu serikalini pamoja na wafanya Biashara wao waliokuwa wanachangia mamilioni kwenye kampeni za C.C.M(Walikuwa wanalipa Fadhila).Sasa Balali atakapofikishwa kwa Pilato hatokubali kufa kibudu,kwa hiyo lazima sirikali imlinde huko alipo kwa ghrama yeyote ile,ili asitoe siri.Kama mnabisha mtaona BIlali atajiuguza huko Marekani hata Miaka Kumi.Wapo wapi Akina MATAKA former Boss of PPF ,Ipo wapi Kesi ya Dito?Wakati Kesi  ya Babu Seya mwaka haikuchukua mtu kala Mvua.Ipo wapi kesi ya Mahalu?Ipo wapi kesi ya Misambano ya Kubaka?hivyo ndivyo system inavyofanya kazi.Hata wakishitakiwa hizo kesi zitachukua hata miaka ishirini Kuisha.Usitegemee haki Duniani haki ipo kwa Mungu.Na ndio  maana mtu akifa kuna msemo Maarufu-”Ametangulia mbele ya haki”kwa maana hapa Duniani Hakuna Haki.Let’s wait and see Time will tell.

John.