Comments on: BIBI TITI,WIKIPEDIA

By: Abdalla
Ni kweli bibi huyu alikuwa mwanamke wa shoka sasa hatuna tena aina kama hii ya wanawake Tanzania

By: NASSOR JANGWA
M/mungu ailaze roho ya marehemu bibi Titi peponi aamin……… Ni kweli kabisa kuna umuhimu mkubwa wa kuielimisha jamii yetu watu hawa ambao ni muhimu sana ktk historia ya taifa letu!

By: munna
nasema asanten sana kwa wote wanao mkumbuka bibi yangu kwani bila ya yeye wanawake tusinge weza kufika hapa tulipo fikia. na kazi kubwa sana alioifanya hapa nchin kwetu basi tuendelee kumkumbuka mara kwa mara bibi yetu huyu wa TANU.

By: Penye Moshi Pana Moto
Je nini kilichowakuta bibi titi mohamed na sheikh suleiman takadiri ambao wote ni vigogo wa TANU?  wote walitengwa na marafiki na ndugu zao, wakakebehiwa na mwisho wakafa vifo vya upweke kabisa.. Usimpinge baba julius, lake lazima lipite!!!!

By: FIDELIS FESTUS
Nyie niwa ukweli kwa tafiti na nimewasoma nawapa big up sana

By: titi
Nawapeni Ongera sana kwa kuanzisha website hii kwani siku zote nilikuwa nasema wanawake wa tanzania siwaelewi wanawezaje kukumbuka siku ya kuanzimisha siku ya wanawake tanzanina bila ya kumkumbuka  mwanzilishi mwanzilishi wa chama hicho na mpigania haki za wanawake ktk uongozi wakati huo hakika bibi huyo aliona mbali ingawa hakusoma kama hao waliosoma sasa.Ongereni sana mimi ni mjukuu halisi wa bibi huyo.MUNGU AILAZE PEPONI ROHO YAKE AMINA

By: ndesanjo
BC mmesema sawa kabisa. Asante kwa kutumia mfano huu wa Bibi Titi kuonyesha umuhimu wa kujihusisha na mradi kama wa Wikipedia ya Kiswahili ili tuweze kuenzi watu kama hawa kwa kuweka rekodi nzuri ya maisha na kazi zao kwa ajili yetu na vizazi vijavyo.

Anayependa kushiriki kuandika Wikipedia, anachotakiwa kufanya ni kwenda hapa: http://www.sw.wikipedia.org

Maelezo ya jinsi ya kushiriki sio magumu kuyaelewa.

Au pia unaweza kusoma makala hii ya “Wikipediolojia” inayoeleza jinsi ya kuhariri na kuandika makala kwenye Wikipedia:

http://www.jikomboe.com/?p=1573

By: amina
jamani wakubwa wa nchi lakini wanafaidi..mi namjua bibi titi tulikua tunakaa nae upanga watoto na wajukuu wote wapo mtoni…hiyo historia unaweza ukaiongezea hapo ndugu mwandishi au nimetoka nje ya topic

By: Upendo Furaha
Ukiona vinaelea, ujue vimeundwa.

Ndugu wadau wenzangu wa B.C. Tujue kuwa ukiona Nchi yetu ilipofika sasa, kuna watu ambao walijitoa Mhanga kwa ajili ya maendeleo yake.

Hivyo tumshukuru Mungu kwa kutunyanyulia watu hao (Nyerere na Bibi Titi) ambao ndio Waanzilishi wa Taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania. Mungu Ibariki Afrika, Mungu wabariki Walimwengu.

Nawasilisha.

By: Dinah
Bibi Titi alikuwa mwanamke wa kwanza ktk mengi Tanzania sambamba na Kawawa, Nyerere as kwa mwanamke alipaswa kukumbukwa zaidi ya jina lake kuwa jina la barabara hapo ktkati ya jiji…….Jamii na Taifa kwa ujumla inaonyesha kusahau kiaina. Wanawake wanaharakati embu mkumbukeni Bibi yetu huyu ei?

Samahani nimetoka nje yakinachozungumzia…..

*Nikirudi kwenye mada husika, ni kweli kabisa mimi nitakwenda kuandika au kuongezea historia ya Sitta (spika wa Bunge), Hayati Maswanya na Hayati Korimba.