Afrika kuna vipaji.Kama huamini mcheki huyu binti wa miaka 18 tu anayeitwa Nokulunga Buthelezi kutoka Afrika Kusini. Hivi sasa ametokea kuwa gumzo katika nchi za Ulaya na Marekani.Wengine wanamuita SnakeGirl.Tizama video hapo chini na kisha soma habari zake na kuangalia picha zake kama zilivyoandikwa na zinavyoonekana katika gazeti la Mail on Sunday la Uingereza kwa kubonyeza hapa.
Feedback / Comments
13 Responses to “TALENT FROM AFRICA!”
Leave a Reply


sending...
Asanteni sana B.C. kwa kutupa burudani kama hizi.
Kweli huyu ni “Snake girl”
Kwa kweli, Afrika kuna vipaji. Pia inaonekana kuna vipaji vingine vingi ambavyo havijaendelezwa au kuonekana.
Huyu binti hama hakika ana kipaji kizuri nasema hongera.
Lakini kumbukumbu zangu zipo njema.Kuna mtoto yupo shinyanga nilibahatika kuona habari yake mwaka 2004 kupitia kituo cha Star Tv.
Yote aliyoyafanya huyo dada yu le dogo anayafanya.Tatizo yule dogo kakosa watu wakuendeleza vipaji.Na ninayo imani kubwa kuna vijana wengi bongo wenye uwezo wa kufanya yote hayafanyao huo binti,tatizo ni PROMO..kama alivyo imba mmoja wa wasanii kutoka arusha..ingawa na yeye simsikii sijui tatizo ndio Promo.
Mapromoto wa bongo hawana lengo la kuendeleza vipaji.Lengo lao ni kutumia vipaji.
hapo kazi ipo/
ene wei tutafika tu.
Ana mifupa kweli? Aiseeeeee….. Its God-given…
Oh My good load. yaani when she was doing I felt like I was the one who was hurting. yaani good job and give praise to God.
Ouch,that looked damn painful
Dah! nami chris nilitaka jua kama wewe hvi mfupa upo kweli????? dah burudan moja nzuri sanaa.Hongera zake.
Mmh nimesisimka utasema naona nyoka vile duu,huyu dada ana mifupa jamani?mmh haumii kweli??Ndaki huyo wa shy sehemu gani?mimi wa huko embu nipe data zake plz.
nakupenda sana wewe dada
mungu akubariki unakipaji poa sana
daaah hii imenifungia mwaka 2008 still i get nightmares
mambo kwelikweli
Mungu wangu hivi ni mazoezi tu mtu unakuwa hivi au manake inatisha? Hongera sana!!! Lkn nimeogopa!!!
I do doubt if she can have a baby umm if she can cinceive. very impressive.
Mwili bila mifupa..!Mhh ajabu na kweli.