MY TANZANIA   |   PLACES TO GO   |   MEDIA   |   ONLINE ENTERTAINMENT    

 

Nchi bila utawala wa sheria inakuwa ni kama sio nchi vile,haiongozeki wala kubebeka. Pichani ni Jaji Mkuu wa Tanzania,Augustino Ramadhani.Yeye ndio mwenye jukumu la kuhakikisha kwamba mhimili wa tatu wa dola(Mahakama) unafanya kazi inazotakiwa kufanya na si vinginevyo.

Share and Enjoy:
  • Digg
  • Sphinn
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Mixx
  • Google Bookmarks
  • E-mail this story to a friend!
  • LinkedIn
  • Live
  • Spurl
  • Technorati
  • Yahoo! Buzz
  • YahooMyWeb

Feedback / Comments

6 Responses to “JAJI MKUU WA TANZANIA.”

  1. Comment by Upendo Furaha Amani on January 26th, 2008 10:19 am

    Hongera Jaji wetu mkuu Augustino Ramadhani kwa kuteuliwa kumrithi Jaji Barnabas Samatta.
    Watanzania tunachoomba ni Haki kutendeka kila nyanja, na kwa kila Mtanzania.
    Wasiwepo wa kuonea au kuonewa kutokana na hali yao ya kimaisha.
    Nawasilisha.

  2. Comment by Chris on January 26th, 2008 11:17 am

    Ideally, for effective separation of powers and ensuring checks and balances, ulivyosema ndo inavyotakiwa iwe. But is it what is happening?

    Practically, these people are more serving the interests of the Executive arm of the state. Kachaguliwa na Kikwete,unafikiri issue inayomhusu Kikwete atafanya nini? That complying to the interets za mkubwa.

    Mifano mingi tu ina-justify that. Lakini bora hawa kidogo kuliko Legislature.Maana Bunge mmmhhh,linatia kinyaa kabisa, na wapinzani walivyo kidogo, ndo wanamezwa kabisa.

  3. Comment by Kimori on January 26th, 2008 12:50 pm

    I think our Chief Justice this time should be a neutral figure because Augustino + Ramadhani = Neutral religion…hahahahaha!

  4. Comment by Matty on January 28th, 2008 4:03 am

    kimori sasa umenimaliza maana namimi nilikuwa nishapata mashaka kama ni christian or muslim???fanya kazi yako baba bila upendeleo wala rushwa!!!!!!!!!!!!

  5. Comment by mdunger on January 28th, 2008 5:07 am

    Jaji mkuu ahakikishe haki inapatikana mahakamani,bado mnyonge anapata tabu hata kupata dhamana!lUjitahidi usiendeshwe na waliokuteua,jaji ni mtu wa heshima sana.

  6. Comment by amina on January 29th, 2008 9:00 am

    hilo gauni nataka namimi nivae kwenye harusi yangu

Leave a Reply