Mwenyekiti wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi, amepokea rasmi tuzo inayoheshimika ya Martin Luther King. Mengi anakuwa Mtanzania wa nane kutwaa tuzo hiyo. Kwa undani wa habari hii bonyeza hapa.BC inampongeza Mengi kwa tuzo hiyo.

Feedback / Comments

12 Responses to “MENGI APATA TUZO YA MARTIN LUTHER KING.”

  1. Comment by Upendo Furaha Amani on January 31st, 2008 1:27 pm

    Hongera sana Mzee Regnald Mengi kwa mchango wako mkubwa katika mapambano dhidi ya rushwa akitumia vyombo vya habari unavyomiliki.
    Hongera sana kwa kupata tuzo ya Martin Luther King.
    Ninakutakia Maisha marefu ya Upendo Furaha na Amani.

  2. Comment by Upendo Furaha Amani on January 31st, 2008 1:28 pm

    Hongera sana Mzee Reginald Mengi kwa mchango wako mkubwa katika mapambano dhidi ya rushwa ukitumia vyombo vya habari unavyomiliki.
    Hongera sana kwa kupata tuzo ya Martin Luther King.
    Ninakutakia Maisha marefu ya Upendo Furaha na Amani.

  3. Comment by any on January 31st, 2008 6:26 pm

    Laura George?!!

  4. Comment by Kasenene on February 1st, 2008 12:06 am

    Laura George Kafanyaje!!

  5. Comment by owner on February 1st, 2008 12:48 am

    We Any Laura George katokea wapi tena hapo au unaota ndugu yangu, mbona ni nje ya mada kabisa. Any way labda una lako jambo ngoja niishie hapa.

  6. Comment by Nerra on February 1st, 2008 1:00 am

    You deserve it! Congratulations!

  7. Comment by Matty on February 1st, 2008 3:41 am

    Nakupongeza buroooooooooNzuri!!!!!!!!! Mungu akubariki maana unamoyo wa kusaidia hasa watoto wenye matatizo ya moyo nk.
    Hiyo tuzo ielekeze pia BOT kimtindo ili mafisadi waone haya maana pale ndo pananuka Rushwa sana ila tuombe mungu aiondoe hiyo rushwa maana inaudhi sanaaaaaaa watu wanajinufaisha wenyewe tu na mamigodi nk.

  8. Comment by janjuah on February 1st, 2008 4:42 am

    he mighty be corrupt himself! he is too close to serikali/watawala.

  9. Comment by ed on February 1st, 2008 5:05 am

    Good Job Mr Mengi, atleast your worrying about majority citizen of Tanzani

  10. Comment by Mama wa Kichagga on February 2nd, 2008 1:08 am

    MMiiku Meengi, (Mengi kwa kichagga)

    Kwaasha mbe!

    Hongera kaka, Kazi na dawa. Inatia moyo na endelea kufanya Tanzania na dunia kuwa mahali pazuri pa kuishi.

    KULALYE MBAKA! (USILE WALA KUPOKEA RUSHWA).

    MUNGU AKUZIDISHIE MAANA UTAIPELEKA KWA WENGINE PIA KULIKO WALIMBIKIZAJI.

  11. Comment by MASKINI TANZANIA on February 2nd, 2008 4:43 am

    BIB UP

  12. Comment by Ngaugu on February 4th, 2008 7:48 am

    BIB UP ndio nini? Au ulimaanisha big up??

Leave a Reply