Comments on: JK AVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI,AKUBALI OMBI LA EL

By: radhia kalombola
hao wote mafisadi! sasa chenge ajiuzulu,MWALIMU NYERERE ALIMKATAA LOWASSA KWA KUMFUKUZA IKULU KIPINDI KILE YUKO HAI…watu wanajifanya wajanja kumrudisha tena…walaumiane wenyewe…maana wanapendeleana 2.

By: Mama wa Kichagga
BC

Jamani tunapoongea hapa tupige picha kule vijijini! Achilia mbali mijini ambako watu wanashindwa kumudu hata mlo mmoja! Hela waliyokuwa wanalipana kwa mwezi @ mtu mmoja ingetosha kabisa kuwalipa social benefit allowance WaTZ  milioni 4 @ mtu sh. 30,000/mwezi sawa na sh. 120,000,000,000 kwa nchi nzima!

Hii changamoto [wind of change] lihamie ndani ya mawizara na idara zote za serikali na watu binafsi kama kweli tunamedhamiria kupambana na ufisadi kwani huko ndiko visima na chemichemi za ufisadi. JK yaani ni vijikundi vya mafisadi vimejitega kila mahali vikiamini bila mission town maisha hayaendi. Watu wanaishi kama mtoto wa mama na mototo wa kambo yaani ni unyama unyama tuu. Chunguza utapata majibu haya yote na kuzidi.

NB: Mh. JK Watu wanahasira si vijijini si mijini si maofisini maana mambo yanayotendeka na hali ya maisha ilivyo ni mabaya sana.

Wito: Chagua baraza la mawaziri ambalo linaweza kuueleza umma wa Watanzania wamewahi kuufanyia nini hadi waweze kupata hizo nafasi na pia WATAWAFANYIA NINI WATANZANIA TOFAUTI NA WENZAO WALIOWATANGULIA?. Ikiwezekana unapompendekeza mtu kabla hujampitisha awasilishe ripoti ya utendaji wake kwa maandishi na mkakati anaotarajia kuufanya.

KWANINI TUSIUTANGAZE MWAKA 2008 KAMA MAALUMU KWA KAMPENI YA KUPAMBANA NA UFISADI TZ? YAANI KAZI KUBWA IWE HIYO ILI MWAKANI TUFANYE KAZI KTK MAZINGIRA YA HAKI?

By: Dinah
I meant Waziri wa nishati na madini wa miaka ile Mr Kigoda.

By: Bangusilo
SISI TULIWAPENDA LAKINI RICHMINDS ILIWAPENDA ZAIDI NJINA LA ……. LIHIMIDIWE

By: Dinah
AlafuThis time Kikwe punguza mawaziri wasio na mpango (kila waziri anakuwa na makamuwake basi) mambo ya “Waziri sijui wanini katika ofisi ya nini inayoshughulikia nini” ni kuchezea senti za mvuja jasho, punguza uwingi ili ku-save pesa tupanue barabara.

Kila lakheri Kaka!

By: Dinah
Madau hapo hakuna haja ya uchunguzi  wala kuendesha kesi hao ni moja kwa moja kufirisiwa alafu jela kifungo cha maisha. Mambo ya uchunguzi (mwingine) na uendeshaji wakesi ni kupotezeana muda na pesa. Tume iliyowaanika ilifanya uchunguzi na kupata kilichopatikana.

Hivi Kogoda yuko wapi?

By: noah gondwe
Sio siri J.K ana kazi ngumu,  tatizo kubwa ni kwamba CCM wanabebana sana na yote tunayaona bungeni. Kipindi kile Mh Zitto Kabwe alivyoleta hoja ya madudu ya Karamagi wenzake walimtetea, ila sasa naona wana CCM wameanza kuchochwa. J.K anatakiwa awe strong kwenye maslayi ya nchi na sio ya kichama. Huyu Karamagi na wenzake wote akaunti zao zichonguzwe na ikioneka wamejilimbikizia mali, zote zirudishwe serikalini. Nakupongeza sana Raisi wangu Kikwete kwa kuvunja baraza lako la mawaziri ila pongezi zangu za dhati na kwa moyo wote ni pindi utakapowawajibisha hawa mafisadi wa nchi yeta. HAKUNA CHA URAFIKI KWENYE MAFISADI WA NCHI YETU.

By: Dada wa Kihaya
Safi sana Mkuu, vunja vunja tu hata wakimaind kimpango wao!

Watoe wazee wote weka vijana wachapa kazi ikibidi changanya na wapinzani kidogo ili kuleta ladha halisi ya democracy ,kama CCM wameshindwa unadhani what next?

Hapa ndo huwa nachoka na siasa za bongo!UFISADI hata aibu hawana hawa MAHARAMIA!uongo uongo, utapeli unafiki mwingi wa kichinichini tu!

Pls Jk wafilisiwe hawa watu, haina haja ya kucheka nao ushawapa nafasi wamezichezea kifisadi badala ya kufanya kazi kwa maslahi ya wananchi wote wanajinufaisha!

NAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA KATIKA UTEUZI WA PM NA MAWAZIRI SAFI.

By: tonny
Rais Kikwete,hii nifursa yako pekee kufungua ukurasa mpya wa kisiasa hapa nchini.Bara zima la Afrika na Dunia nzima macho yao yote yame elekezwa hapa Tanzania.Kwa nini?Kwa sababu pamoja na matatizo na mapungufu ya kisiasa na kiuchumi yaliyopo nchini,Tanzania bado ni kielelezo cha mfano bora wa Mwelekeo wa Bara zima la Afrika katika karne kadhaa zijazo.Kiswahili kina nafasi kubwa ya kuja kuwa lugha pekee asili itakayo zungumzwa na Watu wengi zaidi wenye asili ya Afrika na wageni watakao penda kufanya biashara na Afrika.Tanzania ni kielelezo cha Ukombozi wa kisiasa barani Afrika.TANZANIA HAS A HISTORIC ROLE TO PLAY IN AFRICA.Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.MAGEUZI NA MABORESHO YA DHATI KATIKA NYANJA ZOTE YAANZE SASA.Ili Tanzani tuwe Mfano Bora kwa wenzetu wote barani Afrika katika Utawala Bora na Mahusiano ya Kijamii.Nina mengi ya kusema.Lakini itoshe kwa kumuasa Rais Kikwete haya machache yafuatayo:Uamuzi wa Lowassa ni mchungu lakini Siasa ndivyo zilivyo.Kilchobaki ni kusonga mbele hakuna kurudi nyuma.Usifanye haraka ya kutangaza Baraza lako jipya la Mawaziri.TAKE YOUR TIME DEAR PRESIDENT!Watanzania tupo tayari kusubiri bila ya serikali hata kwa wiki mbili.Heri uchelewe kuteua Mawaziri wapya lakini uteue wachache na walio bora KULIKO kuwahi haraka haraka kuziba hizo nafasi na kuteua Mawaziri wasiokubalika na hawafai katika Uongozi wenye dhamana ya Uwaziri.Wazee wangu wote wenye umri mkubwa waweke pembeni.Na kama ni wazuri kiasi hicho kwamba huwezi kuwa mbali nao basi wawe washauri wako katika nyanja mbalimbali lakini siyo Uwaziri au Makatibu Wakuu.Uteuzi utakao ufanya sasa ndiyo utakao kuhakikishia ushindi wa kutakata katika uchaguzi mkuu ujao 2010!Kila utakaye mteua ndiye atakaye kuwa tafsiri na kielelezo cha fikra,tabia,dhamira na mwelekeo wako Mh.Rais!Watanzania watakutathmini wewe kupitia wale utkao wateua kuwa Mawaziri na katika nafasi nyeti za Uongozi.Kwa jinsi utakavyo lishughulikia kikamilifu na ipasavyo suala hili moja tu la Richmond ndivyo litakavyo punguza hasira ya watanzania katika matatizo mengine yaliyo bakia ya Buzwagi,Benki Kuu na mengineyo.Na watakuelewa makusudio yako nakukubali kuwa na subira katika hayo mengine.Usiogope kufanya kazi na sura mpya za viongozi ambao hawajapata kusikika katika nyanja za kisiasa.Ndiyo maana nikatoa ushauri kwamba katika hili asikusukume mtu.Wewe binafsi ndiye uliyeubeba Msalaba huu wa kuwavusha Watanzania.Utakabiliwa na majukumu mengi ya Kitaifa yatakayo hitaji marekebisho na mwanzo mpya.Lakini pia utakabiliwa na majukumu mazito zaidi ya kuhakikisha kwamba Viongozi wenzio wa nchi za Barani Afrika waliotoka nje ya mstari na kuzitumbukiza nchi zao katika migogoro mikubwa zaidi ya kisiasa, wananufaika na kisima cha hazina ya busara za kisiasa kilichopo Tanzania kilicho chimbwa na mababu zetu na kuja kuboreshwa na Mwalimu Nyerere na kuendelezwa na viongozi waliofuatia na kulindwa na watanzania wote katika ujumla wao kwa manufaa ya vizazi vijavyo.Tukumbuke Tanzania tunayo ijenga sasa ni ya watoto wetu na vizazi vijavyo,siyo yetu.Tanzania yetu ilishapita ni ile tuliorithishwa na mababu zetu!Wote tunaijua.Mrejee Muumba Wako,Sali na Umuombe kwa Dhati atakushushia MWANGA!

By: amina
haya vunja hilo baraza weka manyang’unyangu mengine..hawa wote mafisadi hadi vyama vya siasa vipige kelele.wao wenyewe wanalindana na bado spika sitta hafai