Comments on: KARAMAGI NA MSABAHA NAO WATANGAZA KUJIUZULU

By: fax
haoooooo!!!!!! wanaume wazima na elimu yenu mnaiba  aibu

mnaaibisha familia zenu wanashindwa pa kuweka nyuso zao.

By: fax
hivi ni kwa nini serekali yetu inapenda kulindana nadhani wanashiriki nao kufanya maovu, ila naamini mkono wa mungu utawaumbua hakuna chenye mwanzo kisichokuwa na mwisho.

mimi hata kama wakifia jela naona sawa tu.mmekula vya kutosha hukumu yenu imeandaliwa kama si na binadamu basi na mungu

majizi wakubwa nyie hizi ni nyakati za mwisho mtatajana tu bila kulazimishwa na mtu  na naomba kwa ajili yenu,hivi ww huoni hata aibu unakula jasho la mwenzako nakufananisha na mwanaume anayelishwa na mwanamke

By: jamy
Yaani hawa mafisadi waliokubuhu wafanywe kitu mbaya sio wanaachwa hivi kiulaini sheria ichukue mkondo wake.

By: fukara
Lione   hilo  li  haya  HALINA  HAYA   >>>>>>>>>

LINAKULA  MALI  YA  UMMA

na  bado  yai   kweli  mwizi  siku  zake  40  lili  anzia  wazo  Cement  company  likaingia  Bandari  TITCS  sasa  likae3nda  hukoooo….

Afilisiwe    na  Majangili  wenzake

bado  wengine  akina  Diallo  ,Mramba,YONA,  ROSTAM nawengine  yapo  majizi  mengi

HUyu Lowasa  nilijua  hata  fikka  mbali  maana  amezidi  na  Ule  ubalozi  wa  south  africa  ni  jengo  lake  afilisiwe  haraka   ili kodi   iingie  serikalini  na  si  kwenye  acc.  yake

MWIZI  mkubwa

namshukuru  saaana  mama  malecela  maana  nikiwa  bongo  nilisikiliza   kikao  cha  bunge  kujadili  Ripoti  ya  DR  MWakembe  yani  mama  alikuwa  mkali  sana na ameapa kutokomeza  ufisada

Hongereni  wananchi  wa  jimbo  la  same  mashariki  kwa  kuwa  na  MBUNGe  dawa

kwekli  tukipata  wanawake  10  kama  hao tutafika  mbali

Ila  kikwete  bado  anazuga

hakumteua  mama  huyu  wala  mwakyembe  kwenye  baraza  lake

we mwache  tu  aendelee  kucheza  na  watanzania

By: Global Voices Online » Tanzania’s Cabinet dissolved after corruption scandal
[...] and Minerals Nazir Karamagi and the Minister for East African Cooperation Dr. Ibrahim Msabaha by Bongo Celebrity and Charahani [...]

By: famo
Mimi kutoka moyoni kwa moyo wangu huu wa kimasikini na jinsi riport ilivyoniumiza. NAWAHAKIKISHIA WANAINCHI WOTE LAZIMA NIWASHUGHULIKIE KIKAMILIFU KAMA HAWATA PELEKWA KWENYE VYOMBO VYA SHERIA ILI WAWEZE KUFUNGWA. ROHO INANIUMA SANA KUONA BADO WANAENDELEA NA UBUNGE WAKATI SIFA ZA KUWA WABUNGE HAWANA. LOWASSA *** SANA WEWE, SIO MZALENDO KABISA. SASA HAMNA WALINZI WA HALI YA JUU, NITAJITOA MUHANGA KWA AJILI YENU

By: Mama wa Kichagga
Jamani tunapoongea hapa tupige picha kule vijijini! Achilia mbali mijini ambako watu wanashindwa kumudu hata mlo mmoja! Hela waliyokuwa wanalipana kwa mwezi @ mtu mmoja ingetosha kabisa kuwalipa social benefit allowance WaTZ  milioni 4 @ mtu sh. 30,000/mwezi sawa na sh. 120,000,000,000 kwa nchi nzima!

Hii changamoto [wind of change] lihamie ndani ya mawizara na idara zote za serikali na watu binafsi kama kweli tunamedhamiria kupambana na ufisadi kwani huko ndiko visima na chemichemi za ufisadi. JK yaani ni vijikundi vya mafisadi vimejitega kila mahali vikiamini bila mission town maisha hayaendi. Watu wanaishi kama mtoto wa mama na mototo wa kambo yaani ni unyama unyama tuu. Chunguza utapata majibu haya yote na kuzidi.

NB: Mh. JK Watu wanahasira si vijijini si mijini si maofisini maana mambo yanayotendeka na hali ya maisha ilivyo ni mabaya sana.

Wito: Chagua baraza la mawaziri ambalo linaweza kuueleza umma wa Watanzania wamewahi kuufanyia nini hadi waweze kupata hizo nafasi na pia WATAWAFANYIA NINI WATANZANIA TOFAUTI NA WENZAO WALIOWATANGULIA?. Ikiwezekana unapompendekeza mtu kabla hujampitisha awasilishe ripoti ya utendaji wake kwa maandishi na mkakati anaotarajia kuufanya.

KWANINI TUSIUTANGAZE MWAKA 2008 KAMA MAALUMU KWA KAMPENI YA KUPAMBANA NA UFISADI TZ? YAANI KAZI KUBWA IWE HIYO ILI MWAKANI TUFANYE KAZI KTK MAZINGIRA YA HAKI?

By: BongoSamurai
Naomba kuuliza…,

Hivi hawa nao ni bongo celebrities au?

By: BongoSamurai
Machoni kama watu…..

Hamna tofauti na wauaji..,mmepalilia umasikini Tanzania kwa uroho na ubinafsi wenu. Hospitali hazina dawa, shule hazina vifaa vya kutosha, maisha yanazidi kuwa magumu n.k. Kila kukicha inakuwa afadhali ya jana..!

Tanzania iliyopata uhuru miaka karibia 50 iliyopita bado inapigana na adui ujinga, maradhi na umasikini…!

Milikuwa watu wa kuhubiri msiyoyatenda na kuliigizia taifa hasara isiyoelezeka wala kuingia akilini.

MAFISADI WAKUBWA.

By: Matty
Huyu NaE Na miwani yakeeeeeehadi nakosea spelling.mihela yote hiyo ya migodini ona walivyochoka mashavu!!!!!RUDISHENI MALI ZA UMMMAAAAAAAAAA WAFILISIWE!!!!!!!