Comments on: THE MAN

By: nice kz
hongera mwakyembe kwa kugusa mioyo ya watanzania wengi umefanya kazi keep it up, tunawapongeza wote mliokuwa kwenye kamati.  Kinachotakiwa sasa ni kuungana wabunge wote na wananchi tupo nyuma kuhakikisha mapendekezo yaliyotolewa juu ya scandal hii ya richmond yanafanyiwa kazi kutaifishiwa mali zao na kushitakiwa.

Vyombo vya sheria ni agizo la mungu vilikuwepo toka enzi za mitume  tunaomba hivi vyombo vichukue mkondo wake haki ya watanzania ipatikana  na mwaka huu ni wa nyakati tunaimani rasilimali za watanzania tutamiliki watanzania wenyewe mungu ametupa ni kwa nini tushindwe kumiliki.  Cha muhimu ni kuomba mamlaka kutoka kwa mungu tuweze kumiliki uchumi wetu wenyewe.

By: Nyanga G.Says
Huyu ndiye kiongozi bwana!!!!! Tunataka viongozi kama Mwakyembe, UKITAKA KUMUA NYANI USIMWANGALIE USONI. Mwakyembe umetutoa kimasomaso kinoma! keep it up!!

By: ngungu
hIVI kIKWETE SI ANGEMUWEKA TU HUYO AWE WAZIRI MKUU JAMANI

By: Matty
Any, acha tu apewe uwaziri hamna cha kusema eti kahongwa kivipi???kama kazi anaiweza so y? asipewe uwaziri??

Nadhani watu kama hawa ndo wanauchungu na nchi si huyo mmonduli wao, eti kwenye hotuba yake EL anadai Mwakyembe alisoma taarifa kwa mbwembwe! ndio acha atambe kwani si ndo kazi aliyopewa ala!!!ulitaka asome kwa uoga??yaani aliniboa hapo aliposema eti Mbwembwe!!!!!!mi nilitaka asome huku anakunyooshea kidole kabisaaaaaaaa ili uumie zaidi!

Mkeo alikuwa anafuta machozi ya kinafiki tu pale hamna lolote ukweli unauma daima nyie lazima muende motoni tu!!!!!!!

By: any
wasimpe uwaziri, itazua maneno, abakie apo apo alipo, wasijesema JK kamhonga uwaziri, he is smart not those cheap as.s.s!

By: mimi
There’s a natural mystic blowing through the air;

If you listen carefully now you will hear.

This could be the first trumpet, might as well be the last:

Many more will have to suffer,

Many more will have to die – don’t ask me why.

Things are not the way they used to be,

I won’t tell no lie;

One and all have to face reality now.

‘Though I’ve tried to find the answer to all the questions they ask.

‘Though I know it’s impossible to go livin’ through the past -

Don’t tell no lie.

There’s a natural mystic blowing through the air -

Can’t keep them down -

If you listen carefully now you will hear.

There’s a natural mystic blowing through the air.

This could be the first trumpet, might as well be the last:

Many more will have to suffer,

Many more will have to die – don’t ask me why.

There’s a natural mystic blowing through the air -

I won’t tell no lie;

If you listen carefully now you will hear:

There’s a natural mystic blowing through the air.

Such a natural mystic blowing through the air;

There’s a natural mystic blowing through the air;

Such a natural mystic blowing through the air;

Such a natural mystic blowing through the air;

Such a natural mystic blowing through the air.

By: BongoSamurai
Una kila haki ya kutembea kifua mbele SHUJAA wetu.

Ni wachache sana wanaoweza kuwa na ushujaa kama wako wa sisimizi kumuanguza tembo.

Welldone our HERO.

Mungu akubariki sana.

By: Matty
The man to stand!!!!!Safi sana kaka unamsimamo thabiti!ingefaa kama JK atakupa walau uwaziri.Wamekula hela za nchi yetu nyingi sana jamani wafilisiwe!!!!!!!!!!!!

By: noah gondwe
Hawa ndio watu ambao MUNGU anawabariki. Nakupongeza sanaaaaaa my father MWAKYEMBE with your commity. Kweli huko strongy hata bungeni tunakuona jinsi unavyoguswa na bajeti mbovu zenye mwanya wa rushwa. Sio kama baadhi ya wana CCM wenzako wanaona kabisa kuwa baadhi ya bajeti zina mapungufu makubwa tena  na kutamka kabisa pindi wachangiapo ila mwisho wanaunga mkono kwa 100%  huu kama sio uoga ni nini? Ila wewe na kamati yako mmeonyesha njia kwamba hata kama ni  wana CCM  damu na wakubwa wenu wanafanya madudu inawezekana kabisa kuwakosoa. Sasa hao ambao bado wanaogopa kuwakanya hao wakubwa eti kisa watakosa nafasi ya kupitishwa majina yao CC ili waweze kugombea ubunge wajue laana itayo ipata CCM  kwa manun”guniko makubwa ya watanzania kwa sababu ya ukali wa maisha yatakuwa juu yao. Pongezi sana na endelea na uzi huohuo  usija chama bali maslahi ya taifa. MUNGU UWAPA REHEMA ZAKE  WALE WANAOTETEA HAKI ZA WATU WAKE.

By: tonny
Mh.H.G.Mwakyembe nakupongeza kwa dhati kwa ujasiri na ukomavu wa kisiasa ulioudhihirisha jana Bungeni wakati ukiwasilisha Ripoti ya Ufisadi wa Richmond.Pongezi sana kwako na wanakamati wote pamoja na walioiwezesha kazi yenu kufanikiwa.Ulicho kifanya jana ni Mtaji mkubwa sana wa kisiasa kwa CCM katika uchaguzi mkuu ujao 2010.Lakini mtaji huo utahitaji kulindwa kwa gharama zote kwa kuwafichua mafisadi wote na kuwataka wajitoe katika Uongozi ili wakaendeleze biashara zao!Haita wazuia kuendelea kuwa wana CCM, lakini Uongozi basi,hawafai!Umesha ingia kwenye Kumbukumbu za Historia ya Mashujaa wa nchi hii!Bravo,Aluta Continua!