Comments on: WALIOTAJWA

By: Matty
Bora nchi iuzwe tugawane mshiko!!!!!nawatania jamani eheeee.

Ona wanavyotabasamu??coz wanajua washatunyonya wanyonge, wengine hapo sura wamekunja!!!utafikiri wako serious na maendeleo ya nchi yetu kumbe wamejilimbikizia mimali ya kufa mtu!

WAFILISIWEEEEEEEEEEEEEE

By: yunginfamous
hehehheh….. hizo zote kelele za mbu nje ya neti

So guys, are you gonna bark all day or you gonna bite??!!

By: amina
waende zao….ila bado kuna safari ndefu kwa watanzania watakaoteuliwa nao watakua walewale

By: Peter M
Siku zote uongo na ukweli vinajitenga, na siku za wezi ni arobaini, halafu bado na mengine yatakuja.  Wanyan’ganyi wote lazima wafilisiwe na washtakiwe. AIBU KUBWA. Lakini afadhali tunaanza kupona. Na wabunge wetu safari hii wamekataa kupigwa sindano ya ganzi; Walikuwa wapi siku zote hizi jamani, mbona kuna watu wangepona au wangepeleka watoto wao shule kama wangekuwa makini namna hii miaka yote! Tusaidie kuwauliza hao walikuwa wapi siku zote wakati tunaibiwa na watu amabao wanatucheke kila siku. Ndugu zangu, mlikuwa wapi?, mlilishwa nini? Hebu mtujibu na nyie!! Kama wafidhuli wasingeiibia nchi hii kwa miaka 40 Tanzania ingekuwa mbali sana. Bara bara zote kubwa zingekuwa za lami, hospitali zingekuwa super, mashule yetu yangekuwa mazuri sana. Na ajira ingekuwa tele tele, wamachinga wangepungua kwa asilimia 80%.  KIKWETE amaekuwa Garbachovu wa Tanzania, HONGERA SANA. JE NA CHAMA CHETU nacho je? mara ngapi kimekumbatia huo ududu? Je kinataka kujisafisha au nacho kijiuzulu? Haki bin Haki tu!! ??

By: mstari
MUNGU mkubwa na leo hii ndugu zangu wote mmeyaona,ila hayo tisa na kumi yaja muda c mrefu,kuna watu wanaona wao ndio tanzania km yao,km huyu lowassa,na km tungewaacha huko mbeleni wasingeshikika kabisa mana ingekua km mafioso vile,tunamuombea MUNGU bwana mwakyembe ili wasimdhuru,mana sijaona jasiri kama yeye kwa kizazi hiki na kujiuzulu haitoshi tunataka kuona wanafikishwa panapostahili na watulipe hela zote walizochukua,km hawana wafilisiwe,ila km nimngekua rais nafikiri adhabu ya kwanza kufikiri ni kifo kwa hawa wote waliohusika,ndio mana mwl.jk nyerere aliuliza hawa wahindi wanatafuta nn bungeni,na leo tumeona ya rostam aziz yani kila soo kubwa linalohusu hela bongo lazima kuwe na wahindi,nafikri wkt umefika sasa kufanya km ya iddi amini dada hapo uganda,maombi ya wabongo sasa yanajibiwa na si ajabu siku hata rais ambae na yeye anajifanya msafi akavuliwa nguo bungeni,naomba tuwaombee wale walio kwenye kamati ya madini nao wawe na nguvu na kuthubutu km kulikoonyeshwa jana na dr.harrison,ahsanteni sana.

By: hasira
huyu Dr. Harrosin Mwakyembe asipoangalia watamu-Amina Chifupa. Na wakimu-Amina Chifupa ndio hapo watakapokiona kivumbi chake

By: MAZWIGANG'ONDI
Pamoja na hayo yote, tukumbukeni kuwa yalishasemwa na wapinzani tukabaki tunawashangaa. Sasa nadhani rais ivunje balaza la mawaziri lote na awaondoe wale wote wanaotuhumiwa na wanaonuka rushwa. Wananchi tukichoka hatutakuwa na subira tena. Kama TAKUKURU wanadanganya, je wanayoyachnguza sasa watayaleta kwa usawa?

By: ola
MWALIMU NYERERE ALIKUA NA MAANA SANA NA ALIONA MBALI WAKATI ALIPOKATA LOWASSA KUGOMBEA CHEO NYETI KAMA HIKI.

MWALIMU ALIONA MBALI SANAA JAMANI,MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.

By: lala
Jamani nimefurahi sanaa sana tu,maana niliingiwa wasiwasi kwamba labda watanzania tumekua malimbukeni kulifumbia macho swala zito kama hili.

ni muhimu wahusika wote kuwajibishwa ipasavyo ili waliobaki wajue kwamba watanzania tumechoshwa na upuuzi wa muundo mzima wa serikali yetu,na mambo ya kiholela kama watu hawajaenda shule bwana!!!

its about time kilaza wastep down and watu wenye uchungu na nchi yao wastep in.

By: Kidon'goi ole Kiteytey...
Kwi kwi kwi tugawane mali zake mimi naanza na lile shamba la Ngómbe 3000 la Handeni….