YAMEANZA KUTIMIA,LOWASSA AJIUZULU!

 

Aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Ngoyayi Lowassa(pichani) ameamua kujiuzulu Uwaziri Mkuu kufuatia kuhusishwa kwake na kashfa ya Richmond.Habari hii bado inaendelea,tutaendelea kuwaleteeni kadri taarifa zinavyozidi kupatikana.

Page 1 of 3 | Next page