Comments on: YAMEANZA KUTIMIA,LOWASSA AJIUZULU!

By: nice kz
Siwezi kupoteza muda kwa kumpongeza Ndg. Lowasa kujiuzulu hiyo ilikuwa wajibu wala haikuwa ombi.  Hivi ufisadi alioufanya kwa kutesa watanzania tunaishi maisha ya shida, umeme ni nishati muhimu sana katika ukuaji wa nchi.

Leo tukitaka kumchambua lowasa na mafisadi wenzake   na imani kila mtanzania aliyemzalendo na nchi yake angejitolea kwa hali yoyote ile kuhakikisha lowasa na mafisadi wenzake wananyongwa na mali zao zinaingizwa kwenye  nchi ili kurekebisha  maisha ya watanzania tulionyonywa kwa muda kwa kuogopana.

Sasa imefika mwisho wa uvumilivu hatutakubali tuone watu wanajilimbikizia pesa kwa kujenga mahekalu wakati watoto wa kitanzania wanakaa chini mashuleni, huduma za afya ni shida kwa mtanzania wa kawaida. Tusipochukua hatua kwa ufisaidi wa richmond, BoT,TICTS na mikataba ya madini  kweli hata hiyo misaada ya kina Bush itakuwa nothing ni bora ingepelekwa Darfur  kuliko kuja kunenepesha mafisadi.  Lowasa na mafisaidi wenzake wanatakiwa hata bungeni wasikanyage tunaomba wananchi wa majimbo yao wachukue hatua ya kuwatema kwenye uchaguzi ujao.

Kwanza ninaimani mungu anasikia sala za waja wake si dhani kama wanamuda wa kuvuta hii puzi wasipotubu na kurejesha mali ya watanzania, ili wawe huru  na hii dhambi la kujilimbikizia.  Lowasa ulidhani utakufa au mitoto yako itaishi milele kwanza mungu atakupa mapigo ya ayubu ni hafadhali.

By: blackis is beuty
Ndugu yangu Gerald W.Chegenya nakusifu kwa comment yako nzuri Big up man!!! Umesema kweli

Nina uhakika kama ni kweli kala hizo pesa basi kala na wengi sana na baba zetu wamo humo humo kama si ndugu

Tujaribu kuangalia chanzo mpaka wakafikia kula hizo hela zote…Je JK alikuwa hajui????ainiingii akilini mtu wa chini yako kimadaraka afanye ufisadi kama huo na wewe ukae kimya tu eti unamuonea aibu!! BIG NO….let us look on the system

Kuna siri kubwa sana imefichika hapo

Kwanza kuvunjwa kwa baraza na kuundwa upya bado sio suluhisho.

Na nyie mlio sulibiswa kwa niaba….LOWASA na wenzako msikubali watajeni wenzenu maana nina imani hamjala peke yenu….SEMENI MSIOGOPE ili tujue mafisadi wote then tuanze upyaaa TANZANIA yetu

TATIZO NI SYSTEM WAJAMENI…….MIMI NAONA WOTE WALE WALE.HATA KAMA NI MSAFI AKISHAKUWA KWENYE SYSTEM ANAFANANA NAO

Anayejijua hana  dhambi/hana ufisadi ndani yake achukue jiwe na kuanza kumpiga FISADI

Ni maoni yangu tu wajameni

By: Gerald W.Chegenya
Binadamu kukosea ni jambo la kawaida sana hivyo mh,ajipange upya na hatutasahau utendaji wake kazi,na wale wote kwa namna moja ama nyingine waliotokea kufurahia kwa mh,hatujui maovu yao hivyo sisi binadamu tutambue kwamba tunatofautia kiakili,kimawazo na kiujuzi pia,MUNGU IBARIKI TANZANIA.

By: Mr. Upendo Furaha Amani
“Aliposulubiwa Lowasa”

Wakampeleka kwa SPIKA wakamuuliza wewe ni RICHMONDULI? hakujibu neno. SPIKA akaomba RIPOTI ndipo RICHMONDULI akasema NAJIUZULU. Wabunge wakapiga kelele wakisema ASULUBIWE! Spika akasema “nimsulibishe kiongozi wenu?” Wabunge wakapiga makelele “mwondoe! mwondoe! msulibishe!” Spika akasema mpelekeni CHIMWAGA hata yapata saa 11 wakamsulubisha RICHMONDULI, kulia KARAMAGIMBI, kushoto MSABAHAKI. KARAMAGIMBI akamwambia RICHMONDULI umefanya usanii mwingi jiokoe wewe nasisi pia. RICHMONDULI akalia kwa kimasai OONGAI PAPALAI, yaani MKUU MBONA UMENIACHA? kisha akazimia, akakata roho.

By: frank kasera
HATUTAKUBALI MPAKA WAUJUMU WOTE WAFILISIWE MALI ZAO ZOTE KWANI KWA MTAJI HUU HATUJUI WAMEZIPATAJE?? JE KWA NINI WASIPELEKWE JELA?

By: frank kasera
SASA BAADA YA KUJIUZULU NAOMBA TU SASA MASHITAKA YAFUNGULIWE KWA WOTE WALIOUSIKA NA KISHA PESA  ZILIZOLIMWA ZIRUDUSHWE KWA WATANZANIA…….YAAANI VIONGOZI WA JK WANAMUANGUSHA SANA…….

By: Alfonso
Inafurahisha kwa kujiuzulu, lakini inasikitisha sana kwa kulalamika bila kuwa na sababu za msingi! mfano! Unasema taarifa iliwasilishwa kwa mbwe mbwe! je, ulitaka Dr. Mwakyembe awasilishe taarifa akiwa analia? kazi mlipa nyie kama bunge, alichofanya alifanya kwa niaba ya bunge na wewe ukiwa mbunge achilia mbali nafasi uliyokuwa nayo, hakuna haja ya kuonyesha chuki bro! la msingi wengi tumeelewa kuwa ukweli unauma! Pili unadai kuwa hukuta nafasi ya kuhojiwa, lakini kumbuka tume ilitoa nafasi kwa mtu yeyote mwenye maoni au taarifa apeleke kwa wakati uliopangwa na tume, kama ulikuwa na lolote, mbona hukwenda kwenye tume? Ungeonyesha uzalendo kama mtanzania namba tatu, lakini kwa mbwe mbwe zako ukasubiria waje kwako. Lakini usisahau ni chombo kikubwa ki-mamlaka ingawaje huenda ulikiona inferior kwako! Hakuna haja ya kulalamikia tume wala mwenyekiti wa tume, lalamikieni utashi wenu na tamaa zenu idha za mali au za kujipatia umaarufu kinyume cha taratibu! Dr. mwakyembe kufundisha sheria hakuna uhusiano na mliyoyafanya, hakuteuliwa kutafsiri sheria, kama sheria ilikiukwa thubutu kwenda mahakamani! Wanzania wote isipokuwa wewe watakuwa mawakili wa tume! UNGEPELEKA TAARIFA,  AU UNGEMTUMA HATA KATIBU WAKO KAMA ULIONA KWENDA WEWE NI NGUMU!

By: mmy
Hongera bwana Lowasa kwa kujiuzulu.  Pia umeonyesha ujasiri kiasi fulani kwa viongozi wa africa kujiuzulu bila kufukuzwa sio rahisi.

Subiri kiendeleacho utajulishwa.

tumebadirika kisiasa kwa kiasi furani watu wako wazi sana inapendeza sana

i wish tanzania all the best

By: Zanzibar
Kujiuzulu kwa Lowassa sio kitu geni kwetu. Mimi nina maswali

1) Kwa nini CRDB ichukue dhamana ya kutransfer hizo hela wakati CITIBANK ili katakata?

2) Hiyo kamati inaweza kuchunguza kwa njia ya benki CRDB walikuwa walipaji wa RICH MONDULI ?

3) Tusisimame hapa tu pia kuna mkataba wa bandarini TICTS ichunguzwe?

4) Kwanini serikali haiweki sheria kwa yeyote atakae patikana na hati ya kula RUSHWA au UBADHIRIFU mali zake na za familia yote ifilisiwe?

By: Nkima
Mtenda akitendewa huhisi kaonewa.  Eti kamati haikumtendea haki kwa kutomhoji.  Nadhani Bw. Lowassa amesahau kuwa alimfukuza kazi Mhandisi wa Manispaa ya Temeke tena mbele ya waandishi wa habari na wananchi waliokuwepo eneo la tukio la kuporomoka jengo la Chang’ombe Village, march 2006. Bw. Lowassa hakumpa  huyo Mhandisi nafasi ya kujitetea.